Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Mwaka wa kuanguka nyani miti yote huteleza, bao la IT lakataliwa kwa kuotea.
 
Huyu Diamante ni mzuri sana.....Anawasumbua sana Rngland

England wamezidiwa kweli...
 
Wataliano hawana bahati,penati zikija nadhani waingereza wanaweza kuibuka kidedea.
 
Kwa kweli England wamezidiwa na wanacheza kama wameridhika na game kuamuliwa kwa mikwaju.
 
Huku ndo sikupenda hii game ifike... ITA watajilaumu sana kwa nafasi walizopoteza... Most of the time the defending team ndo huwa wanashinda kwenye Penalty....
 
Dkk 120 zimeisha hakuna mbabe,inabidi sasa mbabe apatikane kwa njia ya penati 2subiri 2one nani ataibuka kidedea na kwenda kucheza na Ujerumani kwenye nusu fainali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom