Euro 2012: The Official EURO 2012 Thread

Nawatakia kila lakheri Italy katika safari ya kuchukua ubingwa wa ulaya
 
wana wachezaji wazoefu kidogo.. na uhalanzi kwenye group qualifications walikuwa unbeaten nadhani

Chief Viper mbona hata ureno wana wachezaji wenye uzoefu sana. Ebu angalia kikosi chao:

Goalkeepers: Eduardo (Benfica), Rui Patrício (Sporting Lisbon), Beto (Cluj).

Defenders: Joao Pereira (Sporting), Bruno Alves (Zenit St Petersburg), Fabio Coentrao (Real Madrid), Pepe (Real Madrid), Ricardo Costa (Valencia), Rolando (Porto), Miguel Lopes (Braga).

Midfielders: Hugo Viana (Braga), Joao Moutinho (Porto), Miguel Veloso (Genoa), Raul Meireles (Chelsea), Ruben Micael (Zaragoza), Custodio (Braga).

Forwards: Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Hugo Almeida (Besiktas), Helder Postiga (Zaragoza), Nani (Manchester United), Nelson Oliveira (Benfica), Ricardo Quaresma (Besiktas), Silvestre Varela (Porto).

Halafu hiyo ya kuingia kwenye mashindano unbeaten, haisaidii sana. Kama unakumbuka Czech (nafikiri ni aidha World Cup 2006 au Euro 2008) waliingia na unbeaten run kwenye qualification games. Lakini kwenye mashindano walitolewa round ya kwanza tu; na walikuwa na kikosi kikali haswa.
 
Lol!!! mwenzenu leo yamenikuta... Nimekimbilia nyumbani kumbe ATN na UBC hawaonyeshi mechi, Mungu wangu
 
Mpira wa siku hizi hauna adabu hata England wanaweza kuwa mabingwa
 
Chief Viper mbona hata ureno wana wachezaji wenye uzoefu sana. Ebu angalia kikosi chao:

Goalkeepers: Eduardo (Benfica), Rui Patrício (Sporting Lisbon), Beto (Cluj).

Defenders: Joao Pereira (Sporting), Bruno Alves (Zenit St Petersburg), Fabio Coentrao (Real Madrid), Pepe (Real Madrid), Ricardo Costa (Valencia), Rolando (Porto), Miguel Lopes (Braga).

Midfielders: Hugo Viana (Braga), Joao Moutinho (Porto), Miguel Veloso (Genoa), Raul Meireles (Chelsea), Ruben Micael (Zaragoza), Custodio (Braga).

Forwards: Cristiano Ronaldo (Real Madrid), Hugo Almeida (Besiktas), Helder Postiga (Zaragoza), Nani (Manchester United), Nelson Oliveira (Benfica), Ricardo Quaresma (Besiktas), Silvestre Varela (Porto).

Halafu hiyo ya kuingia kwenye mashindano unbeaten, haisaidii sana. Kama unakumbuka Czech (nafikiri ni aidha World Cup 2006 au Euro 2008) waliingia na unbeaten run kwenye qualification games. Lakini kwenye mashindano walitolewa round ya kwanza tu; na walikuwa na kikosi kikali haswa.

yeh mkuu but nilimaanisha wazoefu pia kwenye haya mashindani ya namna hii!! nakumbuka Dr. riki abdallah enzi zile alikuwa akiwaita ujerumani paka mwenye roho saba....
 
Jamani nimekimbia toka mjini nikiwa na matumaini ya kuangalia mechi kupitia ATN na UBC lakini nashangaa hakuna kinachoendelea. Mwenye taarifa plz ili tuanze kujiandaa na nini cha kufanya

Hata mimi nimeshangaa.Nimepita sehemu nikaambia vijana tukaelea nyumbani,ATN ola UBC taarifa ya habari.Huu utakuwa wizi,maana star times walitangaza kuwa UBC wataonesha,nitakalipia Package ya UHURU{18,000} ili nione UBC.
 
Denmark wakiwa wajanja wapaki bus
Kwa aina ya mchezo wanaocheza Uholanzi basi litawafanya wafungwe,waendelee tu na mchezo wanaocheza...Uholanzi watajutia nafasi walizokosa 1st half.....

Timu zinaingia uwanjani sasa....
 
yeh mkuu but nilimaanisha wazoefu pia kwenye haya mashindani ya namna hii!! nakumbuka Dr. riki abdallah enzi zile alikuwa akiwaita ujerumani paka mwenye roho saba....

Kwahiyo shilingi yako ipo kwa Ujerumani sio? Anyway, ngoja tuone game yao hapo baadaye na Ureno itakuwaje!

Cheers.
 
Niambie kama uko na mimi kumpigia chapuo England kubeba ndoo...
Kwa sasa kwa kuwa tuko makundi tafauti nitakuunga mkono, lakini siku England itakapokuja pambana na Spain, utakuwa adui yangu nikupendae - lol.
 
Ingiza Huntelaar kipindi cha pili
 
Hata mimi nimeshangaa.Nimepita sehemu nikaambia vijana tukaelea nyumbani,ATN ola UBC taarifa ya habari.Huu utakuwa wizi,maana star times walitangaza kuwa UBC wataonesha,nitakalipia Package ya UHURU{18,000} ili nione UBC.
Mkuu Mutta mimi mwenyewe nimenunua kifurushi cha Uhuru leo pale Mlimani City. ATN nao wanauza TING halafu hawaonyeshi mechi
 
Last edited by a moderator:
Kwahiyo shilingi yako ipo kwa Ujerumani sio? Anyway, ngoja tuone game yao hapo baadaye na Ureno itakuwaje!

Cheers.

Ujerumani washindwe wenyewe tu mwaka huu...

Dah....what a miss by Van Bommel
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom