punainen-red
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 1,731
- 451
Hii Russia kama itakuwa hivi ktk michezo itakayofuata, itabidi wapinzani wao wajiandae kutoa jasho la ulimi!
SSAMBALI, nimeona zifuatazo (game za ufunguzi); piga hesabu mwenyewe.Kwani umeshaona NGAPI hadi leo hii?
I was watching the game at one Spanish Channel 4 where one commentetor said the same, that Russia is going to be a hard bone to crash. But football is football, let's wait for the last whistle in every match.A friend of mine who is currently staying in Moscow, tried to remind me earlier today that Russia are going dig deep in this Euros since their team has been prepared in and out the field!
MAMMAMIA naona wengi wanaitoa Ureno katika mahesabu! Mimi katika kundi B pesa yake naiweka kwa Ureno na aidha Ujerumani au Uholanzi kupita.Kundi B wanaliita kundi la kifo. Kuna uwezekano Holland au German kufika mbali kama sio mwisho.
Unajua Nzi, sio kwamba Ureno ni mbaya, lakini tuna kawaida ya kuangalia "performance ya timu wakati wa mechi za kirafiki za matayarisho. Na katika hilo haikufanya vizuri. Hata hivyo mm naamini katika maajabu ya kabumbu kwani "kucheza vizuri" ni muhimu lakini ushindi ni muhimu zaidi. Mimi ninabaki na Spain mpaka itakapowekwa pembeni ndio nitaamua kushabikia upande mwengine.MAMMAMIA naona wengi wanaitoa Ureno katika mahesabu! Mimi katika kundi B pesa yake naiweka kwa Ureno na aidha Ujerumani au Uholanzi kupita.
Hii Russia kama itakuwa hivi ktk michezo itakayofuata, itabidi wapinzani wao wajiandae kutoa jasho la ulimi!
inakuwaje wakuu!... game za leo zote tamu!
Jetri Willems mwenye miaka 18 wa Uholanzi kama atacheza leo basi ataweka rekodi ya mchezaji mdogo kucheza katika historia ya mashindano ya Euro