Oxlade-Chamberlain
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 8,635
- 2,209
Yaani ni kama Bayern Munich vile....
Yaap. Robben kazidi jamaa awaangalii wenzake
Yaani ni kama Bayern Munich vile....
Huo ushabiki ila experience matters mkuu, ila striking force yao jamaa ilibidi wawe wanaongoza mpaka sasaKwa hiyo Schneider hamumtaki tena...
Uholanzi hawana beki aisee.....Huyo Heitinga anawaumiza kweli
Kocha angejua angemtoa tu...Bora angemuingiza hata Dirk Kuyt...Huyu Robben anaua sana. Sio lazima kila mpira apige shuti yeye
Huyu Robben anaua sana. Sio lazima kila mpira apige shuti yeye
Daniel Sturridgeroben selfish kimtindo... namafananisha na yule dogo wa chelsea ambaye anasema yeye ni forward anachezeshwa out of position .. ni muingereza black.. jina limenitoka .. hatoi pasi mpaka mpira umshinde ...
roben selfish kimtindo... namafananisha na yule dogo wa chelsea ambaye anasema yeye ni forward anachezeshwa out of position .. ni muingereza black.. jina limenitoka .. hatoi pasi mpaka mpira umshinde ...
[FONT=century
gothic]Waholanzi sijui wana nini wanampira mzuri lakini sikuzote
wanakosa bahati,halafu robben kama vipi atolewe
tu[/FONT]
Atakua
Sturridge.
Holland wamefanya maisha yao magumu. Inabidi sasa. Akawafunge germany na
Portugal kama anataka kupita; kitu ambacho kigumu sana.
Waliwadharau sana Denmark....uholanzi walikuwa over confidence
Kweli robben ni glory hunter ni kama alivyowacost B Munich uefa,ila hili group ni gumu ngoja tuone baadae........Robben ni mchoyo.
Ila Schneider ni jembe hasa....maana mapande anayoyatoa si ya kitoto...
Sijui kwa nini kocha wa Uholanzi aliwaweka benchi Van De Vaart, Kuyt na Hantelaar....
Dakika ya 92...
Uholanzi wasipoangalia watatoka mapemaaaaaa
Waliwadharau sana Denmark....
Hali yao itakuwa mbaya sana maana Ureno na Germany ni wazuri zaidi ya Denmark...
Wameyafanya maisha yao kuwa magumu kweli....