Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Ingiza Huntelaar kipindi cha pili
Huyo na Rafa Van De Vaart ndo wataitoa Holland...
Denmark wanakosa goli la wazi....
Ingiza Huntelaar kipindi cha pili
Kwahiyo shilingi yako ipo kwa Ujerumani sio? Anyway, ngoja tuone game yao hapo baadaye na Ureno itakuwaje!
Cheers.
Msiwasahau mabingwa watetezi Spain na Ureno pia....yeh mkuu! bila kusahahu uholanzi pia
Yaani ni kama Bayern Munich vile....Holland naona hawana. Bahati
Rafa Van Der Vaart na Jan wanaingia,De Jong na Afelay nje...Ingiza Huntelaar kipindi cha pili
Si mnaye Carrick bana.....Na Anderson[FONT=century
gothic]Duh tuache majungu MAN UTD tunamuitaji Sneijder pale
kati..........[/FONT]
Hantelaar anakosa Goli la wazi kabisa...Ingiza Huntelaar kipindi cha pili
Hawa Uholanzi leo wako kama Bayern Munich walivocheza na Chelsick...Kazi kwelikweli........
Aaaah haaah si unaona kazi anayopiga hapa........jamaa uliowataja vichomi tu.Si mnaye Carrick bana.....Na Anderson
Kwa hiyo Schneider hamumtaki tena...Tushampata Kagawa ,kijana mdogo na kwa bei rahisi
Mkuu Mutta mimi mwenyewe nimenunua kifurushi cha Uhuru leo pale Mlimani City. ATN nao wanauza TING halafu hawaonyeshi mechi