Ambitious
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 2,143
- 884
Kaka nimefurahi kukusoma. Umeoa?
Thank you.Bado sijaoa..
Kaka nimefurahi kukusoma. Umeoa?
Hapa ni MMU, tunazungumza kwa ishara watoto wasije wakaskia. we mtu mzima lakini, najua umesoma terciary education, umesha elewa.
Uchafu ni tabia ya mtu kweli,wajua tena maisha yetu Mbu na hali ya hewa....tupunguziane kero...una chumba kimoja na sebule....unakuja umelewa mi nikalale sebuleni?? Jenga vyumba vya kutosha,weka mlinzi wako, ukirudi kalale mwenyewe kama kuoga huwezi.....sasa hili ndo hamlielewi vyema weusi wangu...lol
Kwa hiyo nimeweza kukuconvince kua rangi sio critera? Hata kama ukiulizwa point kuhusu swali hili huwezi kusema kua weusi wameku disapoint, itakua kwa sababu zingine tu?
Wazungu ni wakweli, wawazi, wanajali na sio wabinafsi kinyume na kaka zetu weusi.
Natafuta mdhungu jamani.
OK, asante kwa kunijibu. Subiri uoe alafu tutaongelea pia changamoto zinazo wapata wanaume weusi.Thank you.Bado sijaoa..
~pttuuu!...temea pembeni bana, wasikuharibu hawa...mdhungu wa nini na wewe?
Point yangu ni kwamba mazingira yenyewe ya Afrika ndio shida, wala sio rangi ya ngozi. sometimes huyu huyu Mwafrika ukimpeleka mazingira fulani anageuka, na yule mzungu akipelekwa mazingira fulani anabadilika pia.
Angalia vizuri utakuta wanaume wenye kucheat (wazungu au weusi) wanafanana fanana kitabia. Na wale wasio cheat wanafanana pia. na ukijaribu kuchunguza zaidi unaweza kukuta kua vigezo vya kuvanana vinahusisha familia waliko toka, mji wanao ishi, kiwango cha usomi, kiwango cha pato, uhusiano na familia baada ya ndoa, uhusiano na rafiki zake baada ya ndoa etc.
Ogopa emerging class... kuna research (in various continents) inaonesha kabisa kua emerging class wanapenda kujionesha sana na kuspend pesa nyingi kwenye vitu vya imediate consumption kama magari ya kifahari, pombe, chakula na mavazi whereas masikini wanatumia pesa on primary needs na middle class family wanatumia on long term investment kama financial investment, nyumba na viwanja.
Hapo tayari umesha ona ni kina nani watakua likely kua na tabia za kijinga.
Sasa Afrika hiyo emerging class ni kubwa kuliko ulaya, na ndio maana huku wengi wanakua na tabia hizo. sio rangi ya ngozi, ni mazingira tu.
Kwa kweli kuna watu wawili nigependa sana kuwasoma katika discussion hii sababu nilisha waona wakiongelea similar topic katika thread ingine. Ni Nyani Ngabu na Kiranga...
Inaweza ila anavaa kama sheikh kwa siku kumi kwanza. lolorait, hivi hiyo mikono ya sweta haiwezi kutengenezwa ukubwani? Lol
..hehe...pheeewww, madongo left right and centre!....
...haya michelle nimekusikia, ...kuolewa na mzungu pia waweza jikuta mnaishia kwenye ka studio vile vile, au bedroom flat....humo humo na mbwa wake!
...kuolewa na mzungu sio 100% guarantee ya kuyashinda maisha kama wadada wengi wa kibantu wanavyofikiria...
Si ndio nimekwambia tabia hizo mnazo zitaja sio dominant kwa race, ni dominant kwa socioeconomic background...Hapana,sikusema rangi ni criteria, nilichotaka kusema ni kuwa kuna tabia fulani ziko dominant kwa kila race....mtu awe huru kuchagua kutokana na aina ya mume/partner amtakaye na matarajio yake...!
great minds think alike :A S thumbs_up:This is a fair argument.
kwani wana ubaya mbu? Hebu niambie nisije nikaangukia pua. Lol.
Ngoja nikwambie mimi ninavoona mdogo wangu: kama unataka mzungu sawa. Kama unataka mweusi ni sawa pia. Ila usiende kwa mzungu sababu umekata tamaa kwa weusi coz ukija kukuta na huko ni hayo hayo utakosa pa kwenda (au utataka mchina?).kwani wana ubaya mbu? Hebu niambie nisije nikaangukia pua. Lol.
Inaweza ila anavaa kama sheikh kwa siku kumi kwanza. lol
kumbuka ukimwambia unaweza kupata jibu la: you got to love me the way I am...
Kama unaona utaweza kumconvince hapo ndio tuendelee na utafiti.
Umeanza diversion sasa Mbu, tunaongelea uchafu na kutoipa muda familia,ushaenda kwenye extra bed mate...mbwa...lol...huu ndo utumwa niliouzungumza pale mwanzo, na nikasisitiza watu waolewe na wazungu kwa malengo sahihi na wawe na uwezo na wenye kujitegemea kiuchumi na kifikra.
Sidhani kama watu wote wanaoolewa na wazungu wana tafuta kuyashinda maisha,wengine wako vizuri tu sema kutokana na tabia za wanaume weusi wanaamua kutafuta alternative.....!
Hapa sasa unaniangusha, sina budi ila kukupinga na wewe! huwezi kugeneralize hivi!
...enhee, mtoto mzuri wewe unasikiliza wakubwa wako, sio unakurupuka tu maamuzi ati wabantu hawafai...
1. utapoteza asili yako, mila, desturi na tabia ulizokuzwa nazo
2. itakubidi maisha yako yote uishi kisanii...uige uzungu uzungu tu hata kwa mambo yaliyo nje ya matakwa yako
3. kuna hatari wanao mwenyewe ukaonekana/kuulizwa mtaani ati wewe ni childminder/housegirl wa mzungu gani..?!
4. na mengine mengi ya kusikitisha...
5.....kwanza hawa wazungu wakishavusha 50yrs wanaanza kupoteza kumbukumbu, dementia ndio ugonjwa wao mkubwa...i hope hutapenda kuishia kama carer wa mumeo, au?