Point yangu ni kwamba mazingira yenyewe ya Afrika ndio shida, wala sio rangi ya ngozi. sometimes huyu huyu Mwafrika ukimpeleka mazingira fulani anageuka, na yule mzungu akipelekwa mazingira fulani anabadilika pia.
Angalia vizuri utakuta wanaume wenye kucheat (wazungu au weusi) wanafanana fanana kitabia. Na wale wasio cheat wanafanana pia. na ukijaribu kuchunguza zaidi unaweza kukuta kua vigezo vya kuvanana vinahusisha familia waliko toka, mji wanao ishi, kiwango cha usomi, kiwango cha pato, uhusiano na familia baada ya ndoa, uhusiano na rafiki zake baada ya ndoa etc.
Ogopa emerging class... kuna research (in various continents) inaonesha kabisa kua emerging class wanapenda kujionesha sana na kuspend pesa nyingi kwenye vitu vya imediate consumption kama magari ya kifahari, pombe, chakula na mavazi whereas masikini wanatumia pesa on primary needs na middle class family wanatumia on long term investment kama financial investment, nyumba na viwanja.
Hapo tayari umesha ona ni kina nani watakua likely kua na tabia za kijinga.
Sasa Afrika hiyo emerging class ni kubwa kuliko ulaya, na ndio maana huku wengi wanakua na tabia hizo. sio rangi ya ngozi, ni mazingira tu.