Raba kali
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 206
- 475
Hivi leo jihani watu wanalia kwa uchungu eti katuheshimisha watanzania 😅
Kuna watu wameonekana wana uchungu na furaha kubwa kuliko hata yeye mwenyewe, waliomzaa pengine na waliompambania
Eti mtu analia kabisa "Eti ohhh asante mama na Tanzania ya awamu ya sita ina makubwa". Sasa kama hawa pumbav wanalia nini hapa? 😅
You better watch your back