Hilo ndio tatizo kuu , mtu kushindwa kuelewa matatizo yako binafsi na hali yako halisi hiyo ndio mbaya kuliko ubaya wenyewe.Naona niko sawa kabisa.
Na wewe ndipo unakosea kuleta judgements kwa mtu usiye mjua?Hilo ndio tatizo kuu , mtu kushindwa kuelewa matatizo yako binafsi na hali yako halisi hiyo ndio mbaya kuliko ubaya wenyewe.
Halafu naona UmeGeneralize wakati Jf ina member wengi sana , sidhani kama una uhakika wanafika hata members 100 umeinteract nao mpaka ufike hilo hitimisho .
Hiyo umefanya vipi mpaka kugundua hayo ?
Sawa , ngoja niSave energy yangu.Na wewe ndipo unakosea kuleta judgements kwa mtu usiye mjua?
Nimeuliza wanajukwaa kwasababu mimi najiona niko sawa...
Acha kuleta projection zako na judgements zenye mind games.
Toa sababu, sio kudhani sijifahamu
Dada nashangaa wanajukwaa wa anichukie bila sababu za msingi, je kuna dosari yoyote umeiona kwangu?
Sawa kama wewe ndio una ni noti leo..Duh kwani wataka nini?
Si kiwastani una reaction 2 kwa kila post unaandika... ? Leo ndio nimekunoti humu.. hivyo ndio kwa uzihuu nikaingia kwa mshangao unalalamika kisa nini... 😅
Who is this guy? 😹Sawa , ngoja niSave energy yangu.
Mimi sina maneno zaidi ngoja waje hao wanajukwaa wengine View attachment 3692205
ChiwawaNani anakuchukia wakati huna umaarufu humu? Ndio kwanza naiona id yako!
Ana ID'S nyingi.Who is this guy? 😹
Kwan we nijinsia gan mana nashindwa kuelewa eti wananichukia we umeingia kwenye mioyo yao au jf kuna botton ya kuchukiaDada nashangaa wanajukwaa wa anichukie bila sababu za msingi, je kuna dosari yoyote umeiona kwangu?