britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,230
- 48,623
MSIMBO: KASRI LA MCHANGA
NDEGE ALIYEKATWA MBAWA yule aliyepigwa teke la adabu eti anatia chumvi kwenye supu ya jirani, sasa wanasema eti AMETUA KWA MIAMBA YA CHUMVI
Kumbe ni KARATASI YA JANA IMECHOMWA LEO
Ni MCHORO WA KUTA WA MITHIRI YA MELI NDOGO wanapiga rangi nyeupe kwenye ukuta mweusi ili KONDOO WA MJINI waamini eti MBUZI HAJAFUNGWA
Mwili wa jana umevaa suti ya leo.
LENGO KUU:Kuwapa USINGIZI WA ASALI wale WANA KIJIWENI CHA KIJANI waliokuwa wanasema TAA YETU IMEZIMIKA
Wanauza BARAFU JANGWANI eti kila kitu shwari, kumbe CHAI BILA SUKARI
Mkubwa MK cc Pascal Mayalla amewatisha sana kwamba anajua mengi na ni mzoefu! Kule MOON IKAMSHUKA AJUZA
Britanicca