Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,378
- 3,379
Juzi kati niliwakuta vijana fulani pale mtaani kwetu wakibishana kwamba ni kabila gani huko bara wanawake wanaongoza kwa kuwa makalio makubwa.
Kijana mmoja ambaye aliishi huko bara alidai kwamba kabila ambalo wanawake wamejaaliwa hizo neema za Allah ni wanawake wa Kimnyema.
Mwingine alidai ni wanawake wa Kinyakyusa, lakini hata hivyo wengi waliunga mkono kwamba wanawake wa kimayema Mashaallah kwa neema za Allah.
Hebu nitoeni tongo tongo, jambo hili lina ukweli kiasi gani?