#TeamBazazi at WORK: Haolewi mtu hapa!

#TeamBazazi at WORK: Haolewi mtu hapa!

cheating-wife.jpg
kiwatengu akitaka kumdungua Erickb52 baada ya kumfumania akiwa na shansarie lol..
 
Last edited by a moderator:
hahahaha mkuu we si ndio Mkuu wa mabazazi, mi ndio nashangaa ameniwekaje kwenye ubazazi, wallah namfwata hukohuko zenzi

cc. Zinduna
Mkuu unanidhalilisha mbele ya makasisi wenzangu ujue.

Huyu Zinduna kuna kitu anantafuta. Na maadam najua pa kumpata, basi haidhuru naye atakipata.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom