Eti uchochezi, uchochezi gani?

Kiukweli sikuwa nafahamu kama CHADEMA wanatisha na wanaogopeka kiasi hiki, umarufu weka umepaa ndani ya wiki tatu ndani na nje ya mipaka ya Tanzania kuliko wakati mwingine wowote tangu kusajiliwa kwake, mbinu hii imefanikiwa kwa 100%.
Kabisa, siku ya leo BBC swahili Ukuta, Voa kiswahili ni Ukuta, DW Ukuta, yaani wewe acha tu
 
Nimeipenda hii [emoji109]
 

Nakuelewa sana Nyani.

Binafsi nampenda na kumuheshimu binadamu asiyeogopa kuelezea hisia zake juu ya jambo fulani hata kama ni haki yake kisa tu anawaogopa watu flani.

Ndio maana hata kati ya wabunge wote wa ccm waliopo, Musukuma is my fovorite kwa sababu anasimamia anachokiamini na kukisema bila kugopa mtu.

Kuhusu huyu mheshimiwa mtukufu malaika mkuu tulienae, anachofanya ni kutumia intimidation kuwatawala kwanzia hao wasaidizi wake kiasi kwamba hata wao wenyewe sasa wanazitafsri kauli zake kwa namna itakayompendeza yeye.

Nna huakika wengi wao zaidi ya 90% akiwemo mkuu mwenyewe, ukiwauliza haya maneno ya mtandaoni yanachochea vipi uvunjifu wa amani hawawezi kutoa majibu sahihi.
 
Akiendelea kufanya "anachofanya" vizuri ataendelea na kuwa wa maisha kama mu7, PK na RM. Wengine haya tuliyajua mapema tukaonya lakini tuliambulia kuitwa watetezi wa mafisadi.

Nani anaisoma namba? Wote kabisa!!
 
Guys we have to be patient, presidaa yashamuwia magumu ndio maana anasema tumwombee.Tuweni watulivu tu pengine mabo yatanyooka ingawa sina uhakika.
Bora uendelee kutokuwa na uhakika hivyo hivyo, kuliko kujipa moyo.
 
I can assure you...so muda mrefu jf itapigwa pini
 
Taifa ninajenga watu wa kujipendekeza na wanafiki....ukimsikiliza AG unaweza sema afadhalo ya mwenyekiti wa mtaa
Alooo.... kwa nilivyo mskia akiongea hata Makonda ana nafuu.
 
Tanzania ambayo Africa nzima tuliheshimika tumegeuka mara hii kuwa kichekesho. Nchi inaendeshwa na matamko ya viongozi tu. Taratibu za kila siku zimeshindikana. Jamani huyu mtu hana watoto wa kumwambia. Tafadhali wasanii wamtungie wimbo kama ule wa "Riziwan ongea na mshua......."
 
Jaman naombeni maana ya neno uchochez na kwenye katiba yetu wapi limetamkwa? Na kwa mantiki ipi?

Na je sasahivi hairuhusiwi kujadilinia chochote kuhusu siasa unaitwa mchochezi
 
Serikali ifungue jela nyingi za kufunga CHADEMA 6 million πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
 
"Magufuli is the real deal" , per PLO Lumumba. [I only know of one Real Deal and that's Evander Holyfiled - 5 time heavyweight champion of the world]

That was some 8 or 9 months ago.

Akiba ya maneno jamani...akiba ya maneno!

Hahaaa...hivi huyu PLO Lumumba leo hii bado ataweza kusema hayo maneno kweli?

Magufuli is the real deal? Really?

Angalia video kwenye dakika ya 1:20.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…