Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,473
- 19,269
sijastaafu, hata miaka 40 sijafika. nimetoka kwasababu sipendi mshahara nilianzisha law firm yangu binafsi. upo hapo? nikipata kesi wengi ninao bishana nao tunajuana kwasababu nimefanya nao kazi, wengi wao nawajua ubora wao na udhaifu wao. na tunaheshimiana. tukiwa mahakamani ni vita tu muraa, ila tukitoka tunasalimiana kama ndugu.Du! Kama wewe mwenyewe unakiri umetoka huko umewaacha sasa sijui ulistaafu au imekuwaje mpaka uko private! Sasa kwa maana hiyo ukipata kesi ukabishane nao utaiacha?