Eti, nifanye nini?

Hahah usiniambie bwana mkubwa kashatupia kambani, jamaa yupo faster!!!

Anawaogopa akina shemeji 'zima taa' kama akina nyie.
huna cha mke wa kaka wala mtoto wa Mama wa Kambo.
 
Last edited by a moderator:
Anawaogopa akina shemeji 'zima taa' kama akina nyie.
huna cha mke wa kaka wala mtoto wa Mama wa Kambo.

mmh shem hizo shutma sasa, mie nimepita Jandoni bhanaaa heshima ndio wangu mwiko lol
 
teh teh teh... taratibu bibi naona usingizi umefika haya ulalwe salama... Na sie ndo twalal.ana hivyoooooo!!!!! byeeeeeee.....b

Wifi una Ugwadu kama Mbilimbi mbichi.
Haya na matunda tuyaone, hukuja kucheza Disko huko.
haya lalaneni swalama.
 
Na daktari amesema ni mapacha

kumbe upo around...
Ulikunywa juisi ya Tende na maziwa nini? maana mapacha si mchezo ati lazima utakua ulishughulika kama mwiko wakti wa kusonga SEMBE
 
kumbe upo around...
Ulikunywa juisi ya Tende na maziwa nini? maana mapacha si mchezo ati lazima utakua ulishughulika kama mwiko wakti wa kusonga SEMBE

Acha tujinafasi.
 
vukani kuya pande hz.
nikuone.

Nipo dada, nilikuwa nasoma mchezo maana charminglady kuw ahumu kuna waume za watu nisije vamia koloni la watu nikatolewa ngeu, hapa najaribu kusoma mchezo

Kuna mkaka anaitwa Ruttashobolwa na tedo naona kama vile wananinyatia, je wana wenyewe hao au nijitwalie mmoja?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…