Eti, nifanye nini?


Karibu kisura vukani..
 
Last edited by a moderator:
Muelezee kbs asije akarushiwa ngumi akicheza na waume zetu.

tena sio ngumi pekeyake.. bali na vitu vyenye ncha kali vinavyotomea upande usiojulikana...
Chezeiya mume wa mtu wewe"!!!!

Mekukosa sana my wify... mzima wewe?????
 
hahahahah hujalala bado??? mie ngoja nijilaze bana...2moro ni siku ndefu..

Nilale tena?
Mwenzio naelea Mars huku.
Napiga piga kifua cha Muzee Pedeshee la Kihindi.
 
Afu we shem,
Umekimbia nyumba unakuja kupunga upepo huku.
Ntakukata DuDu yako.

dudu yangu inalindwa na mitambo maalum ya kuzuia wezi...ukiigusa tu unapigwa shoti ya makalio
 
tena sio ngumi pekeyake.. bali na vitu vyenye ncha kali vinavyotomea upande usiojulikana...
Chezeiya mume wa mtu wewe"!!!!

Mekukosa sana my wify... mzima wewe?????

Hapo Chacha.

Wifi langu la Ukwenhe.
Afu wifi eti kaka yupo huko?
Maana aliniaga juzi kuwa anakuja pande hizo.
 
dudu yangu inalindwa na mitambo maalum ya kuzuia wezi...ukiigusa tu unapigwa shoti ya makalio

Usinitishie kujamba wakati unahara wewe.

Hilo dudu la ukubwa gani mpaka ulikodishie Ulinzi.
Tupa kuleeeeeeeeeeeeeeeeeeee............!!!!!!!!!!!!
😛lane:
 
Hapo Chacha.

Wifi langu la Ukwenhe.
Afu wifi eti kaka yupo huko?
Maana aliniaga juzi kuwa anakuja pande hizo.

yupo yupo kabisa... anakaga masato na masangara... ila atakuna usihofu my wify najua ushammiss sana tu. Haya lala salama ngoja sie tupigiane hadisi na kakako hapa!!!!!
 
Hapo Chacha.

Wifi langu la Ukwenhe.
Afu wifi eti kaka yupo huko?
Maana aliniaga juzi kuwa anakuja pande hizo.

yupo yupo kabisa... anakaga masato na masangara... ila atakuna usihofu my wify najua ushammiss sana tu. Haya lala salama ngoja sie tupigiane hadisi na kakako hapa mpaka tuupate usingizo!!!!!
 
yupo yupo kabisa... anakaga masato na masangara... ila atakuna usihofu my wify najua ushammiss sana tu. Haya lala salama ngoja sie tupigiane hadisi na kakako hapa!!!!!

Hadi namuonea wivu kaka yangu,
Na alivyokuwa na Ugwadu nahisi ataondoka na vipande vya nyamanyama.
 
Kwenda zako.
Afu we shem wewe unajua mimi nina :mimba: ya Chimbuvu?
asa nichokoze na ikitoka tu,Utanipa nyingine.

Hahah usiniambie bwana mkubwa kashatupia kambani, jamaa yupo faster!!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…