Eti, nifanye nini?

unamaanisha/hebu mfafanulie mwenzio vizuri banaaaa!
 
kuna wa kiuongo na kiukweli, kama mamito wango snowhite na Madame B wao wana wenza wa kiukwelikweli
mbona umenisahau mimi shosti? vukani karibu tu, soma mchezo taratibu na wewe utakuwa mwenyeji, ila usiwe unapotea sana.....
wenzio huwa tunapeana sana sapoti kwa mambo mengi
 
Last edited by a moderator:
watu8 unanikumbusha machungu aiseee ila yupo anawachora tu mnavyoniandama!
Heheheheee mi kwa Amyner sibanduki hata kama iweje

Hiyo quote ya Amyner kama ya kutengeneza hivi, nipe link tafwadhal...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahahahaha
Bosssss nilifikiri umekwisha lala.
Kijacho akijambo?

hajambo saaana... nambembeleza hapa alale ndiposa nami nlale... yan mtoto mtukutu hata kabla hajatoka mutumbo kha!!!! alitoka cjui itakuwaje????
 
kweli aseee, mwambie basi himaya yako asijevamia bure....
he heeeeeeeeeeee, himaya haitajwi hadharani, si unajua watu wanavyopenda ambavyo ni TAKEN? wataanza kumng'ang'ania hapa kama mpira wa kona..... aku mwaya, ngoja niendelee kumdatisha kwa raha zangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…