Tetesi: Eti Mbowe Freeman kahamia CCM?

Tetesi: Eti Mbowe Freeman kahamia CCM?

Mbowe akihamia CCM hatafanya kwa kificho. Ataita press conference na kutoa sababu zake za kufanya hivyo. Hii ilivyo ni mojawapo ya juhudi za kutaka kumchafua na kumchokonoa aseme jambo.

Amandla...
🤣
 
Ana haki ya kuhamia chama chochote nchini. Acha nongwa kama aisha mashauzina
 
Anaweza kuhamia tu huko.

Wanasiasa hawana aibu kabisa.

Umemsahau Msigwa alivyohamia Ccm kisa kupishana na Mbowe na akazungushwa na Ccm nchi nzima akipandishwa jukwaani Ili kuwakaanga Chadema, halafu baada ya Lissu kushinda Uenyekiti na yeye amerejea tena Chadema.
Unamfananisha Msigwa na Mbowe? Mbowe anaweza kuacha siasa lakini hata siku moja hatahamia CCM. Anaweza kuondoka Chadema lakini hataenda CCM.

Amandla...
 
Yooote yametokea, but Mbowe is still a symbol of Chadema. Alikoanzia na Chadema mpaka alipoifikisha, siwezi kumtukana.
Aliamini katika siasa za reconciliation, hakujua kuwa CCM hakuna mtu bali mashetani!

Sema approach yake ilikuwa too diplomatic ambayo kwa CCM haitakiwi.
100%
 
Anaweza kuhamia tu huko.

Wanasiasa hawana aibu kabisa.

Umemsahau Msigwa alivyohamia Ccm kisa kupishana na Mbowe na akazungushwa na Ccm nchi nzima akipandishwa jukwaani Ili kuwakaanga Chadema, halafu baada ya Lissu kushinda Uenyekiti na yeye amerejea tena Chadema.
Mbowe sio Msigwa. Hana papara. Hawezi kupanda jukwaa la CCM kujidhalilisha baada ya kazi ndefu na CHADEMA. Keshatumika na kulipwa na kushtukiwa. Atakaa pembeni.
 
Back
Top Bottom