Tetesi: Eti Mbowe Freeman kahamia CCM?

Tetesi: Eti Mbowe Freeman kahamia CCM?

Mbowe hawezi kuhamia CCM ila atakuja kurudisha chama chake chadema, alikosea sana kuwaachi mambwa makapuku chama chake. Hakuna cha demokrasia angalia sasa nyumbu makapuku wasio na adabu wala ustaarabu wanavyomtukana. Mtu umejenga taasisi yako kwa jasho na damu leo utukanwe na vitoto vidogo makapuku tu? Inauma sana, mimi mwenyewe naumia sijui Mbowe anajisikiaje? Wafuasi wa chadema ni jamii isiyokubalika popote pale duniani, Mbowe alitakiwa aheshimiwe kwa gharama yyte na wa kumlinda ni viongozi wa sasa, jamii gani hovyo km ya chadema? Ndiyo maana sazingine unamwelewa Museveni akisema anayetaka urais wa Uganda aingie porini maana mwafrika anakugeuka ht kabla hujafa! Mbowe alitakiwa amrithishe chama chake yule kijana wake James, huwezi kuwaridhisha haya mambwa meusi
Machoko mtapigwa miti kwenye makorido ya Lumumba mpaka akili ziwakae sawa pumbavu nyinyi
 
Kijana wa mbowe kwenye one two
Mbowe deserves heshima by whatever yard stick measure. Nimesema mara nyingi kuwa one of my favorite politician ni Lisu akiwa Chadema. Ila approach aliyotumia kuingia ushindani ilikuwa si ya kirafiki na Mbowe!........ni hilo tu, short of that Lisu anafit sana alipo kwa sasa as Mwenyekiti wa Chadema. Nilitegemea smooth power handover ya uongozi to Lisu bila misuguano tuliyoiona
 
Mbowe hawezi kuhamia CCM ila atakuja kurudisha chama chake chadema, alikosea sana kuwaachi mambwa makapuku chama chake. Hakuna cha demokrasia angalia sasa nyumbu makapuku wasio na adabu wala ustaarabu wanavyomtukana. Mtu umejenga taasisi yako kwa jasho na damu leo utukanwe na vitoto vidogo makapuku tu? Inauma sana, mimi mwenyewe naumia sijui Mbowe anajisikiaje? Wafuasi wa chadema ni jamii isiyokubalika popote pale duniani, Mbowe alitakiwa aheshimiwe kwa gharama yyte na wa kumlinda ni viongozi wa sasa, jamii gani hovyo km ya chadema? Ndiyo maana sazingine unamwelewa Museveni akisema anayetaka urais wa Uganda aingie porini maana mwafrika anakugeuka ht kabla hujafa! Mbowe alitakiwa amrithishe chama chake yule kijana wake James, huwezi kuwaridhisha haya mambwa meusi
Mbwa ni wale wawili walikaliana uchi wakakuzaa msenge wewe.
 
Mwenye uhakika atuwekee hapa.
Siamini pamoja na yote yaliyomtokea kwenye uchaguzi, bado ni ASSET kwa Chadema, ASSET kubwa

This would be the worst day of my life in politics
Zama za Mbowe zilishatamatika, hata asipohamia chama kingine lakini ameshapoteza credibility ya kuitwa mwanachadema.

Kitu cha kwanza kwenye umoja wowote ni Solidality hata iwe ni vikundi vya vikoba uhudhulii kwenye shida za wenzako wewe si mmoja wao tena.

Mbowe alishajitowa Chadema amebaki na kadi tu.
 
Liangalie bwege km hili, kaa mbali na wapumbavu km hawa, Mbowe amewekwa ndani kukaa gerezani mara ngapi? Amekoswakoswa kuuawa mara ngapi? Halafu anatokea mbwa km huyu eti lini alitoka CCM?
Hizi ni hasira za kukosa mshahara kwa miezi mitatu. Utashindia uji mpaka ukome. Askofu Malasusa na Prof. Mahali, kazeni hivyo hivyo. Hakuna kulegeza mpaka hii mbuzi ikale majani.
 
Siyo gaid Tena?
Siyo DJ Tena?
Siyo chaga dema Tena?
Siyo chadema tec Tena?
Siyo makengeza Tena?
Chadema ilifanya KOSA KUBWA SANA kumtoa Mzee Mbowe kwenye Uwenyekiti wa Chadema Taifa. Bahati mbaya historia huzungumza baada ya muda kupita.

Sasa hivi kwenye nchi HAKUNA Kiongozi yeyote wa upinzani mwenye "guts" za Kiongozi wa Upinzani. Unaweza kusema yupo Lissu. Sawa. How are sure that Lissu isn't a project?

Ahahahahaha!!!
 
Back
Top Bottom