IMO kila mmoja ana namba za muhimu za kushika kichwani in case of emergencies ama matatizo or hata ile kuhofia simu ikiibiwa... saingine ata ile hali ya kusema kua nikizimikiwa charge walau number ninayo kichwani.... sasa kama kati ya number uloshika kichwani ya mume/mke haipo... that says a lot.... Labda uwe hujashika hata moja, kua kichwa chako kigumu kushika number...

mmh, asante Asha kumbe hii kitu huwa inawakera sana eeeh...?
Huyu jamaa ni wakunyimwa unyumba mpaka akiamshwa usingizini awe anazitaja tena haraka ebooo! makubwa gani tukumbuke tena ? kuna njemba ilileta zogo kubwa baada ya kutofahamu saizi ya kiatu cha mkewe miaka 6 ndani ya ndoa.Hata mi ningekuwa ndio mkewe ningemind. Madogo hamkumbuki makubwa je? Mmh!
Nliyenaye kuna siku alinishangaa eti kwa nini mpaka sasa sijui size ya kiuno na mguu wake! Sikumwelewa[/QUOTE Hilo ni kosa la jinai kiuno unachokishika kila mara na mguu unaousogeza pembeni usijuwe vipimo ?

Huyu jamaa ni wakunyimwa unyumba mpaka akiamshwa usingizini awe anazitaja tena haraka ebooo! makubwa gani tukumbuke tena ? kuna njemba ilileta zogo kubwa baada ya kutofahamu saizi ya kiatu cha mkewe miaka 6 ndani ya ndoa.

Mi nafahamu namba za simu za kama wanawake sita kichwani hahaha!

Wanaume mfahamu saizi ya kiuno,sidiria,kiatu na lazima namba ya simu lol!

Bila kusahau tarehe ya kuzaliwa.
Bacha hivi unaniambia ukute mkeo kashika number kibao kichwani kwake lakini yako hajui na ni ya mda mrefu... utafurahia kweli??
mmh, asante Asha kumbe hii kitu huwa inawakera sana eeeh...?