Eti jamani wana jf iit possible mtu kupata mchumba through mtandao uwe simu ama net

Kama alivyosema Maria Roza inawezekana au isiwezekane cha msingi ni kuwa makini tu.
hapo kwenye kuwa makini ndio balaa, nyie wenzetu wa jinsia nyingine mnatuchanganya sana..sometimes unaweza ukahisi umefanya good choice kumbe ndo umeuvaaa
 
]hapo kwenye kuwa makini ndio balaa, nyie wenetu wa jinsia nyingine mnatuchanganya sana..sometimes unaweza ukahisi umefanya good choice kumbe ndo umeuvaaa
 
Hii mbona ipo, na wapo wengi tu ambao wanaishi pamoja na wamekutana kupitia mtandao.
 
mhh!! Marytina usiseme hivyo ww!!
Ni rahisi kupata bussness patnas,associates kwenye net ila ile mnatokeana directly I LV U, I LUV U mara wachumba hapo siwaelewi kabisa.
Labda kutokana na hizo patnaship na associates baadae awe mchumba jambo ambalo ni la kawaida.
 
Kuna demu 1 nilikuwa nachat naye sana kwa internet tukapeana simu alikuwa ana sauti nzuri inayomtoa nyoka pangoni, siku 1 tulipanga tukutane stears town ili tujuane akawa amefika ananisubiri, nilipokuja kumuona bado kidogo nizimie maana alikuwa bonge la jimama halafu jeusi kama mkaa halafu kichwani ameweka msuko wa ajabu kama amebebe mzigo, nikajibabaisha nikamdanganya ngoja nalipa tax nakuja sasa hivi, nikakimbia mpaka leo nawaogopa mademu wa mtandaoni
 
yap its true nikumuomba mungu..kuna couple moja naifahamu kwa ukaribu sana... toka enzi za rafiki wa kalamu msichana alikwa weruweru jamaa alikuwa mzumbe later on mdada akafaulu kila kala jamaa akawa yupo dar..waliishi kama freinds for three years wakaja kuonana u cant believe finest sasa hivi ni yf and hasband with one kid...all we can say they are lucky
 
Yes it happens na kama wote wawili mna malengo ya kweli na sio kumpotezea muda mwenzako inakuwa ni kitu kizuri sana ila cha msingi wote wawili ni kumtanguliza Mungu mbele ili aweze kuwaepusha na vishawishi na tamaa zilizopo mbele maana wanadamu siku hizi wamekuwa tofauti but all in all believe in yourself.
 
Back
Top Bottom