Mkodoleaji
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 458
- 138
Uzuri mwingine wa NBAA ni kuwa mitihani haivuji aka tetere kataga kama vyuoni.
Ulimakafu siyo vizuri kusingizia vyuo. Ni chuo gani ambacho mitihani ilivuja na ikathibitika hivyo? Kwa taarifa yako mitihani ya NBAA hutungwa na hao hao walimu wa vyuo. Hivyo NBAA inategemea sana vyuo vikuu.