Eti CPA ni ngumu kuliko MBA?

Eti CPA ni ngumu kuliko MBA?

Kwani mwenye Advanced Diploma hawezi kuwa na CPA? Mbona wengine wana CPA na walimaliza Form Four tu?

CPA inataka utulivu na kutokata tamaa.Unafanya wanafuta unaendelea mpaka kinaeleweka.
 
inashangaza sana mnappoisifia hiyo CPA kuwa ni professional, Professional.... Juzi tume-interview mtu ana CPA hajui hata kutengeneza payroll? tukampa afanye project analysis hawezi? tatizo la tanzania ni mfumo mbovu pande zote si NBAA wala si vyuo vyetu vyote ni hovyo vipo kimasilahi zaidi.....NBAA ilitakiwa mtu afanye mitihani akiwa na experience ya kazi walau two years ili ajue displine ya Uhasibu lakini leo hii mtu anatoka na Advanced diploma yake ama B.com anafanya Module E anafauru maana masomo ni yaleyale ya chuoni na anamalizia na module F napo ni yaleyale...ukimleta ofisini hajui kazi anajua calculation za NBAA tu....wasomi wetu ukiwaleta kazini hawana tofauti na wasio na hizo qualification. tena ni bora ukamchukua mtu wa form four then ukamtrain mwenyewe kuliko kuchukua mtu wa chuoni kwanza hata kiingereza hawajui vizuri wanajing'atang'ata tu.

Experience ina matter ktk kujenga professional competence ya mtu...naunga mkono.
 
Ndugu yangu nina wasi wasi na elimu yako! ni professional gani uwa wanafundisha kazi 100%? wanachokifanya ni kufungua ufahamu wa wanafunzi tu! hata ukikuta mtu kasoma Havard sidhani kama ukimpa Tally au Quick book atakuwa anaijua. Hizo ni software tu na zinafundishika hata kwa mtu asiye na uwezo darasani.

Na unaposema wanaofanya mitihani wawe na experience ya miaka miwili, wewe umewahi kuona ni professional fani yenye hizo requirement? hata ma advocate na ACCA hawana! na kazi za tanzania zimeshakuwa ngumu na za kujuana, wenye uwezo wasio na marefa hawana kazi, na vilaza wenye marefa wako kwenye vitengo (hii nchi haiangalii competency tena), kwa maana hiyo watakaofanya mitihani watakuwa ni wangapi? unadhani ufauru wa mitihani utakuwaje? kwa hiyo unataka mtu akiwa anatafuta kazi akae tu nyumbani bila kuongeza elimu eti kisa hana experience? Na kwa wanaotaka kujiajiri je? ambao wanataka qualification kwa ajiri ya status zao na biashara zao, wasifanye mitihani kisa hawanexperience? kweli wewe unamawazo mgando hasa!

CPA ni elimu kubwa sana, inampa mwanafunzi uwezo mkubwa wa kiuhasibu ambao hakuna chuo kinachoweza kuitoa! kama unaibeza hiyo ni juu yako, lakini ukweli utabaki pale pale. ile ni profession na haitashushwa na yeyote. Cha kujua ni kuwa, huwezi kuwa chief internal auditor, chief accountant au financial controller bila CPA! hacheni kufukuza upepo! CPA iko juuuuuu.....!

najua unajaribu kujitetea kuwa CPA si chochote ila kama unataka kupima na kujua umuimu wake, next session ya May ingiza timu. Mi niko nakula matunda ya CPA yangu. pole yako!
 
Jamani CPA kazi ipo.MBA(CM) ya Mzumbe ni kama mchekea nw kila mtu anayo.

Watu watakuwa wamejua umuhimu wa elimu. wacha wasome, kwani hampendi wasome? Mzumbe imeshakuwa tishio kwa vyuo vingine, imeharibu soko la vyuo kibao na ndo mana hata mtu aliyesoma street university anaamua kuishambulia.
 
Si busara mtu kuchangia hoja kama hii ikiwa huna vitu vyote yaani MBA na CPA au CPSP. Nimeamua nichangie kwa kuwa nimeona kuna upotoshaji hapa. Nilinza na first degree UDSM na kumalizia MBA hapohapo. Baadae nilifanya zote CPSP na hatimaye CPA. Shule za proffessional achana nazo na zina full of challenge.
 
Haiwezi kuwa na haitakuja kuwa! ADCA ilikuwa na course work lakini CPA haina! Jamani CPA ni kitu kingine. Vyuoni tunapelekwa tu inategemea na mwalimu alivyo. Lakini ukiona mtu ana CPA jua kuwa yuko competent hasa kwenye masomo ya uhasibu.
Ukiwa chuo unakuwa unajibu mtihani wa mwalimu wako ambaye ndo amekufundisha0 kwa maana hiyo degree ni ya chuo, lakini CPA inapima standard ya vitu ambavyo kila mhasibu ni lazima avijue, ndo mana unasoma unakokujua na mtihani unatungwa uko NBAA. pass mark ni 40 lakini kuipata ni kasheshe! silabasi ni kubwa mno na inabidi ujue kila kitu maan huwezi jua mtihani utatoka wapi!
CPA ndo shule peke niliyowahi kuiona maishani mwangu kuwa ni ngumu sana! unasoma weeee lakini kikitungwa kitu unajiona mdogo kama pipi!
Ndugu zangu tusiibeze CPA, ile ni bad news. tangu 1975 NBAA ilivyoanzishwa hadi leo wametoa CPA 3608 tu! ukiweka walikwisha kufa, kusataafu8a ambao wako nje ya nchi!

Ni kweli kabisa,binafsi na usomaji wangu wa ujanja ujanja nilijaribu lakini nilitolewa katika hatua za awali....nikakimbilia kwenye angle nyingine,cpa hapana kuchezea zile module zao!

Si kweli mkuu! Mtaala wa bodi unafata sheria za IFAC na toka zamani huwezi kufanya hata ATEC 1 bila kuwa na credit 5(sio pass) tena kwenye credit lazima hesabu na English ziwemo! Hata wanaoanzia ATEC II ni form six wenye sifa za kujiunga university! Lakini pia NBAA inatoa exemption kulingana na coverage yako ya professional subjects ktk uhasibu ndio maana Adv.diploma na B.com za uhasibu wana exempt. sawa

Ngoja nikung'ate sikio,siku hizi watu wanawapiga changa la macho,mimi kuna watu nawajua wana cheti cha ule wanaouita mtihani mgumu wa serikali unaotungwa pale magogoni(Higher standard govt accounting),wanakubaliwa kuanzia module A tena wala sio ATEC!yani unafanya mtihani wa magogoni wa masomo manne,public finance and administration,Book keeping na Govt accounting 1 and 2,hakuna hesabu ni hayo masomo manne tu then ukifaulu unaenda pale jirani na maktaba kujisajiri module A! wenye masikio msikie na kuichangamkia hiyo short cut,na mtihani wa magogoni hauhitaji credit,mradi uwe umemaliza form four tu!kazi kwenu,lakini CPA ni ngumu kutoka nayo!
 
Lakini tuache utani NBAA wamezidi kubana,bora wangeanza kutoa tuition wao wenyewe ingesaidia,halafu kamchezo ka kuingia kazini sa tatu mpaka saa nane mwisho hupati huduma pale kwao wakaache,sisi ni wateja wao na wengi tunakuwa makazini hiyo saa tatu na tunaanza kutoka saa tisa mpaka kumi,watusubiri sisi ndio tunafanya wawepo kwa hela zetu!
 
Ngoja nikung'ate sikio,siku hizi watu wanawapiga changa la macho,mimi kuna watu nawajua wana cheti cha ule wanaouita mtihani mgumu wa serikali unaotungwa pale magogoni(Higher standard govt accounting),wanakubaliwa kuanzia module A tena wala sio ATEC!yani unafanya mtihani wa magogoni wa masomo manne,public finance and administration,Book keeping na Govt accounting 1 and 2,hakuna hesabu ni hayo masomo manne tu then ukifaulu unaenda pale jirani na maktaba kujisajiri module A! wenye masikio msikie na kuichangamkia hiyo short cut,na mtihani wa magogoni hauhitaji credit,mradi uwe umemaliza form four tu!kazi kwenu,lakini CPA ni ngumu kutoka nayo!

Ndugu yangu, hiyo si short cut, laba ni long cut. Module E ni foundation stage. mbele yako unakuwa unamasomo zaidi ya 20! yaaani ni sawa na mtu anayeenda kusoma degree. Kutoka hapo magogoni na kuamua kufata NBAA route, unaweza usiipitate hiyo CPA au kuipata baada ya miaka kibao. ni heri ukaenda chuo kwa miaka 3 then ukaja ukaanzia module E, ambapo unakuwa umebakiza vipindi sita tu!

na watu wanakwambia kuwa intermidiate stage ndo bad news! kusoma QM na corparate finance tokea review class, utatoka kweli?
 
Na Mzumbe University ndio walioharibu,UDSM mpaka sasa hawakubali ukiwa na Adv.Dip kupiga masters.
Unajua si suala la mzumbe university kuwa ndo wanaharibu mfumo, wao wanafuata mfumo wa elimu ambao una ambua kozi yoyote ya kuanzia miaka mitatu na kuendelea katika undergraduate kozi kuwa equivalent na degree course. Ukiritimba na monopoly ya UDSM bythen ndo unasababisha matatizo yote haya, and people are to rigid to change thier mind set to recognize other private and public universities. Zamani ukitaka kwenda kusoma masters degree popote kama hukusoma UDSM ulitakiwa upate recommendation letter kutoka UDSM, but now we have TCU wanaosajiri Universities na kozi zote katika vyuo vikuu, na hatujasikia wakikemea hilo. Kama unadhani ni kosa kutoa MBA with Advanced Diploma na ushahidi unao unaweza kupeleleka complains TCU wao watatoa clarification kama regulatory authority. Ndg yangu ungekuwa mtawala in any institution usingetoa lalamiko kama hili, mana serikali imepunguza sana kama sio kuondoa kabisa ruzuku kwa vyuo vya elimu ya juu,therefore as an institution if u want to survive u need to play with the available opportunities!! ambapo kwa vyuo ni kuongeza idadi ya kozi, kuongeza idadi ya wanafunzi wanaodahiliwa, na ili kuweza kufanya yote hayo yafanikiwe unatakiwa kuendesha chuo kwa mtizamo wakibiashara, na strategy unayotumia ni kupunguza masharti ya kujiunga na kuhakikisha wachache wana-fail. Vyuo vyote sasa ndo vinaoperate katika mfumo huo,e.g. Uclas wameanzisha kozi ha community Dev, Uhasibu n.k ambazo ndo kozi soko la elimu lina interest nazo. Mwisho tuache ukiritimba na tubadili mawazo MBA inaweza kusomwa hata mtu yoyote mwenye kozi ya miaka 3 kama pia ana uzoefu wa kazi wa miaka zaidi ya 3.
 
Ndugu yangu, hiyo si short cut, laba ni long cut. Module E ni foundation stage. mbele yako unakuwa unamasomo zaidi ya 20! yaaani ni sawa na mtu anayeenda kusoma degree. Kutoka hapo magogoni na kuamua kufata NBAA route, unaweza usiipitate hiyo CPA au kuipata baada ya miaka kibao. ni heri ukaenda chuo kwa miaka 3 then ukaja ukaanzia module E, ambapo unakuwa umebakiza vipindi sita tu!

na watu wanakwambia kuwa intermidiate stage ndo bad news! kusoma QM na corparate finance tokea review class, utatoka kweli?
usipokua na haraka unatoka cuz unaweza kupiga moja moja ingawa kweli ni kazi ngumu.....!
 
najiunga na MBA ya Mzumbe 2011..

CPA naweka kapuni kwanza. mwenye macho haambiwi tazama!!!
 
najiunga na MBA ya Mzumbe 2011..

CPA naweka kapuni kwanza. mwenye macho haambiwi tazama!!!

mbona wa 2011 wameanza tangu november? kama unataka kujiunga 2012, unaweza kufanya mtihani wa may then november ukaendelea na MBA yako. Na kuna wengine huwa wanafanya viwili kwa mpigo, wakati unapiga masters hasa kama ni evening class unakuwa unapiga na CPA on the same time. Hata mimi nilifanya hivyo na niligraduate CPA kabla ya masters, so inawezekana!
 
Ndugu yangu nina wasi wasi na elimu yako! ni professional gani uwa wanafundisha kazi 100%? wanachokifanya ni kufungua ufahamu wa wanafunzi tu! hata ukikuta mtu kasoma Havard sidhani kama ukimpa Tally au Quick book atakuwa anaijua. Hizo ni software tu na zinafundishika hata kwa mtu asiye na uwezo darasani.

Na unaposema wanaofanya mitihani wawe na experience ya miaka miwili, wewe umewahi kuona ni professional fani yenye hizo requirement? hata ma advocate na ACCA hawana! na kazi za tanzania zimeshakuwa ngumu na za kujuana, wenye uwezo wasio na marefa hawana kazi, na vilaza wenye marefa wako kwenye vitengo (hii nchi haiangalii competency tena), kwa maana hiyo watakaofanya mitihani watakuwa ni wangapi? unadhani ufauru wa mitihani utakuwaje? kwa hiyo unataka mtu akiwa anatafuta kazi akae tu nyumbani bila kuongeza elimu eti kisa hana experience? Na kwa wanaotaka kujiajiri je? ambao wanataka qualification kwa ajiri ya status zao na biashara zao, wasifanye mitihani kisa hawanexperience? kweli wewe unamawazo mgando hasa!

CPA ni elimu kubwa sana, inampa mwanafunzi uwezo mkubwa wa kiuhasibu ambao hakuna chuo kinachoweza kuitoa! kama unaibeza hiyo ni juu yako, lakini ukweli utabaki pale pale. ile ni profession na haitashushwa na yeyote. Cha kujua ni kuwa, huwezi kuwa chief internal auditor, chief accountant au financial controller bila CPA! hacheni kufukuza upepo! CPA iko juuuuuu.....!

najua unajaribu kujitetea kuwa CPA si chochote ila kama unataka kupima na kujua umuimu wake, next session ya May ingiza timu. Mi niko nakula matunda ya CPA yangu. pole yako!

Mmmh! hapo tu nimeanza kupata doubt maana una CPA lakini analytically u don't know the essence of CPA, as i know it's just a certification by board of Accountant & Auditors....holding CPA doesn't mean you're competent enough to be a financial controller or finance manager of an organization you need to have analytical understanding of the financial matter in the context of Accounting and Finance in general . Many CPA holders they actually know how to prepare financial statements, framework and all informations required in preparation and presentation of financial reports but that's does not cover the context of finance manager or financial controller. you must be equipped with analytical understanding for example , have to analyse financial and business risks the organization may have, the overall co-operate understanding etc.
 
Kujadili kipi kigumu na kipi kirahisi kwa kweli ni vigumu kufikia muafaka kwa sababu kila moja ina procedures zake ambazo ni tofauti kabisa. Kwa mfano wakati CPA examinations hazina continous assessment yaani unaingia kwenye mtihani ukiwa na sifuri grade, kwenye MBA kuna continous assessment ambayo inajumulisha vitu kama project na kadhalika. Hivyo kulingalisha hivyo vitu kunaonyesha mambo mawili.

Kwanza ni kujaribu kufanya kuwa na CPA huhitaji MBA au kuwa na MBA huhitaji CPA kitu ambacho siyo kweli. Hivi vitu unaweza kuwa navyo kwa sababu vina malengo tofauti. Na hapa ni kwamba CPA iko kitechnical zaidi na MBA iko kimenejimenti zaidi. Sasa kama mtu unataka kupanda kwenye ngazi za uongozi hadi kuwa CEOs MBA itakusaidia sana. Kama unataka kuwa Chief Accountant CPA ni ya muhimu sana (si kwa sababu ya knowledge tu bali pia kwa sababu ya kisheria).

Pili ni kujaribu kushindanisha elimu nje ya chuo na elimu ya Chuo Kikuu. Unajua miaka ya zamani CPA ilikuzwa kuliko Degree au Masters kwa sababu watu wengi waliokuwa wamefanya hawakuwa wamepitia Chuo Kikuu. Hivyo kwao CPA ilitumika konyesha kwamba elimu ya Chuo Kikuu haina kitu. Kwa sasa hivi siyo sawa. Unakuta wengi wanaofanya CPA wamemaliza vyuo vikuu na ndiyo maana wanapata some exemptions. Halafu kingine, ni kwamba CPA ni mojawapo ya entry requirement kwenye MBA. Maana yake ni kwamba katika Universty level, CPA, CSP, ACCA hizi ni equivalent na first degrees. Wakati University zinaona hizi ni equivalent na first degrees, NBAA kwa mfano, CPA is the highest professional acheivement. Hapa hakuna anayekosea ni kwamba mifumo ya professional bodies ni tofauti na Universities.
 
Pia tunaweza kuangalia wengine wanavyoangalia hii profession (source: The Institute of Certified Management Accountant (ICMA) Indonesia which is an official branch of the ICMA Australia)[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading, width: 100%"]What do you mean by "recognised" accounting qualification? [/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"][/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"][/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD] FAQ - FAQ [/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]A recognised accounting qualification is either :
1. An undergraduate degree with an accounting specialisation (at least 25% of the degree must be accounting and finance subjects) from an "accredited" university, or
2. An postgraduate degree (e.g. MCom, MBA) with an accounting specialisation (at least 25% of the degree must be accounting and finance subjects) from an "accredited" university, or
3. A professional accounting qualification from a body granted a Royal Charter or Government Charter. Most "Certified" bodies are also acceptable, however, in some countries, as the word "Certified" is not a restricted term, there are some accounting bodies using "certified" in their title that would be unacceptable to the ICMA as a recognised accounting qualification, or
4. Those holding membership of the following accounting professional bodies HAVE been recognised in the past by the ICMA as having a recognised accounting qualification.
  • All Chartered Accounting bodies worldwide
  • AICPA (USA)
  • CPA Australia
  • MIA (Malaysia)
  • MICPA (Malaysia)
  • ICPAS (Singapore)
  • ICWA (India)
  • ICMA (Pakistan)
  • ICMA (Bangladesh)
  • CIMA (UK)
  • CACA (UK)
  • ICSA (UK)
  • CGA (Canada)
  • SMA (Canada)
  • CPA (Philippines)
  • ICMA (PNG)
  • CPAC (China)
  • LACPA (Lebanon)
  • CPA Ireland
  • Saudi Organisation of CPAs (Middle-East)
Note: CMA members of IMA USA are required to complete 2 units of the GMA Stage 4 program: Financial Management and Financial Statement Analysis.
Those holding membership of the following accounting (and related) bodies HAVE NOT been recognised in the past by the ICMA as having a recognised accounting qualification.
  • Non-CMA members of IMA (USA)
  • Association of International Accountants (UK)
  • Association of Cost and Executive Accountants (UK)
  • Society of Certified Management Accountants (Sri Lanka)
  • Institute of Certified Management Accountants (Sri Lanka)
  • Society of Company and Commercial Accountants (UK)
  • Society of International Accounting Technicians (UK)
  • International Institute of Certified Management Accountants (USA)
  • Associate of the Institute of Co-operative and Management Accountants, (Malaysia).
  • Institute of Financial Accountants (UK)
  • Chartered Financial Management Analyst (USA)
  • Chartered Portfolio & Investment Manager (USA)
  • Chartered Trust and Estate Planner (USA)
  • Certified Economic Policy Analyst (USA)
  • The Registered Financial Planners Institute (USA)
  • Society of Registered Financial Planners Limited (HK)
  • Institute of Financial Consultants (Certified Financial Consultant)
  • Association of Financial Planners (UK)
  • Chartered Business Administrator (USA)
  • Chartered Business Administrator (Canada)
  • Canadian of Institute of Professional Accountants
  • Institute of Professional Financial Managers (IFC USA),
  • American Academy of Financial Management (AAFM-USA)*
  • Institute of Professional Financial Managers (UK)
  • Association Of Certified Fraud Examiners (USA)
  • The Institute of Commercial & Financial Accountants of Southern Africa (South Africa)
  • Association of Certified Management Accountants (UK)
  • Institute of Chartered Accountants of the Commonwealth
  • Association of Certified Public Accountants (U.K.)
  • Institute of Executives and Managers (U.K.)
  • Institute of Service Industries Management (U.K.)
  • The Institute of Co-Operative and Management Accountants, Malaysia.
  • Association of Incorporated Secretaries and Administrators (U.K.)
  • Institute of Certified Public Accountants (New Zealand)
  • Institute of Certified Management Accountants of New Zealand
  • CPA International (there are many bodies with this name operating in different countries)
  • All members of the U.K. based Confederation of Independent Accountancy Bodies (CIAB).
* The AAFM conducts non-examination seminars leading to a host of post-graduate sounding certifications such as Master Financial Professional, Certified Cost Accountant etc., all of which are NOT recognised by ICMA for membership purposes.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Haiwezi kuwa na haitakuja kuwa! ADCA ilikuwa na course work lakini CPA haina! Jamani CPA ni kitu kingine. Vyuoni tunapelekwa tu inategemea na mwalimu alivyo. Lakini ukiona mtu ana CPA jua kuwa yuko competent hasa kwenye masomo ya uhasibu.
Ukiwa chuo unakuwa unajibu mtihani wa mwalimu wako ambaye ndo amekufundisha0 kwa maana hiyo degree ni ya chuo, lakini CPA inapima standard ya vitu ambavyo kila mhasibu ni lazima avijue, ndo mana unasoma unakokujua na mtihani unatungwa uko NBAA. pass mark ni 40 lakini kuipata ni kasheshe! silabasi ni kubwa mno na inabidi ujue kila kitu maan huwezi jua mtihani utatoka wapi!
CPA ndo shule peke niliyowahi kuiona maishani mwangu kuwa ni ngumu sana! unasoma weeee lakini kikitungwa kitu unajiona mdogo kama pipi!
Ndugu zangu tusiibeze CPA, ile ni bad news. tangu 1975 NBAA ilivyoanzishwa hadi leo wametoa CPA 3608 tu! ukiweka walikwisha kufa, kusataafu8a ambao wako nje ya nchi!
Uzuri mwingine wa NBAA ni kuwa mitihani haivuji aka tetere kataga kama vyuoni.
 
Back
Top Bottom