Eti alimsahau mtoto wake kwenye gari

Eti alimsahau mtoto wake kwenye gari

Status
Not open for further replies.
Haya eti una roho mbaya huna huruma!!!?? ,umejuaje hajui chochote kukuhusu!!!!??

Muulize naitwa nani, ninaishi wapi, nina umri gani, nilizaliwa wapi, elimu yangu, na mengineyo kama hayo halafu uone kama atathubutu kukujibu.
 
Muulize naitwa nani, ninaishi wapi, nina umri gani, nilizaliwa wapi, elimu yangu, na mengineyo kama hayo halafu uone kama atathubutu kukujibu.

Unaitwa nyani ngabu,unaishi jamii, umri wako 36 ,elimu yako...... mengine atajibu na yeye nimemsaidiaa
 
Stress za nje acheni tu!!! ila kwa hawa wazawa akili zao sometimes ni majanga mazito
Na usikute kafanya kusudi.... kagombana na mkewe anaua mtoto kwao kitu cha kawaida sana
 
Tumbo la uzazi limeuma, labda awe ni mgonjwa wa akili vinginevyo namkata kama spinach.

Mie tu sikuwepo nkakuta watoto wa paka wamewasahau ndani, afu wamefanya fumigation, hadi machozi yalinitoka. Hata first aid hawakuwapa, niliwarusha kichura

seuse mtoto wa binadamu?
 
Eish!
Uchungu jamaaaani katoto so helpless...
Mambo mengine magumu jamanii!
 
Sasa ndo unanipasha? Asili yako haijifichi.

Kama kuelezwa ukweli ndo kupashwa basi ndiyo, nimekupasha.

Bibie hujui chochote juu yangu achilia mbali asili yangu zaidi ya kusoma mabandiko yangu humu JF kwa kutumia jina bandia.

Kwa nini unataka kulazimisha mambo?
 
Hii imenikumbusha kisa cha kulee nadhani Tabata, jamaa kafika kwa dada kaacha mlango wa gari wazi dada kampokea wakaenda zao sebuleni kupiga embryo? huku nje wajomba (toddlers) wanachezea/ kufurahia gari ya mjomba mara wakajiloki ndani sebuleni umbea umenoga wanahisi ukimya umezidi kutoka nje majanga i think at least 1 toddler was dead mwingine taabani kwa kukosa hewa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom