Eti alimsahau mtoto wake kwenye gari

Eti alimsahau mtoto wake kwenye gari

Status
Not open for further replies.
Halafu wanaume wengi wanapokuwa na matatizo wanaelemewa kwa sababu ni wagumu kushirikisha watu wa nje,unakuta anaungua ndani kwa ndani na kutengeneza sumu bila yeye kujua madhara ya mbeleni
 
Kuna mambo ni magumu kuingia akilini kwamba mtu anaweza fanya. Ngoja tuone upeleleza utaendaje.
 
Mhhhhh its too bad kwakweli ila ni ngumu kumjudge huyo dingi kwa kutochimba chanzo cha kosa lake.
 
Mtoto unamweka mwenyewe kwenye gari, unamfunga kwenye car seat umpeleke daycare halafu uende kazini.

Badala ya kumpeleka daycare eti unamsahau kwenye gari huku vioo umefunga halafu wewe unaenda kazini.

Unamwacha mwanao (wa miezi 22) ndani ya gari kwenye joto la summer huko Georgia. Baada ya masaa 7 au nane unatoka kazini eti ndo unagundua kuwa ulimsahau mwanao kwenye gari!

Unaanza kujiliza kama vile umekuwa possessed! Yeah right! I ain't buying it one bit. Soma mwenyewe hii habari hapo chini.....


Source

Stress za kuishi ulaya ni mbaya mara mia kuliko stress za uswazi kwetu manzese
 
Cobby county wanahusika na nini

Siyo "Cobby" county. Ni Cobb county.

Inahusika kwa sababu tukio lilitokea ndani ya hiyo county kwa hiyo, hiyo ndo jurisdiction yenye mamlaka ya kumfungulia mashitaka na kuendesha kesi ya jinai dhidi yake.
 
Mi kuna siku wangu nilimsahau mgongonii yaan nikasahau kama nimebeba mtoto aisee
 
Siyo "Cobby" county. Ni Cobb county.

Inahusika kwa sababu tukio lilitokea ndani ya hiyo county kwa hiyo, hiyo ndo jurisdiction yenye mamlaka ya kumfungulia mashitaka na kuendesha kesi ya jinai dhidi yake.

Kidhungu kilikuja na meliii aisee
 
Mhhhh.... hii iliyokupata leo itakua ni bahati mbaya...

Bibie, kwani unanijua kiasi gani hadi udhani kuwa unachokijua juu yangu ndo uhalisia wa maisha yangu?

Umejiunga lini JF wewe? Na zaidi ya JF unanijua?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom