Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,760
Taja wewe lako
mbona mmeniandama vipi siwaelewi eti lol
Taja wewe lako
mi sipo kokote am couch girl
Pitia kwa ofis uchukue ur gift
Love u love u ming mingi.
Hahahaaaaa wewe zitakua hazikutoshi Nyani.
Yaani ushindwe kujua mood ya mtu kwa maandishi yake!!! Au umekurupuka usingizini?
mbona mmeniandama vipi siwaelewi eti lol
Aah nisiliwe kwan mi nani
Kwi kwi kwi
Kuliwa sawa ila nataka kujua upo kundi lipi
Agrrrrrrrr
Ooh really?! Sijambo.....
You don't?
hahahahaha nirushie kwa mpesa nitanunua mwenyewe
Kumbe wanaume nao mnabeba mapochi siku hizi......
Mtoto utamsahau vipi kwenye gari? Tena ambaye umemweka kwenye car seat inayoangalia nyuma kama ambavyo sheria inavyotaka?
Tena ukiwa umemweka katikati kwenye rear seat ambako unamwona hata kwenye rear-view mirror!
Lazima atanyea debe tu huyo jamaa. Coz they don't play in Cobb county, GA.
hahahahaha nirushie kwa mpesa nitanunua mwenyewe
Mimi nataka kukujua kindakindaki
He eee best yaani unataka nikupe pesa noooo
Gift Yang sio ya pesa
Nshaandaa .usihofu ntafanya mpango uletewe.
hahahaaha huwezi kunijua mi ni kinyonga
Unajichekesha nini sasa wakati hujui chochote?
Such a dunderhead!
Heeee... we wa ajabu kweli kweli, yani nisifurahi kisa Nyani!!!! We umezoea kununa ndo mana umezeeka.... hahahaaaaaaaaaaa...