Esther Matiko hivi ukiangalia hii video bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana bungeni?

G Sam

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
12,276
Reaction score
38,847
Askari polisi abakufanyia udhalilishaji hadharani na bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana. Kwa wenzetu hiyo ni kesi kubwa kama mhusika akivalia njuga na anaungwa mkono na mamlaka. Ila wewe sasa.

Hii video watakuja kuiona wanao wakiwa watu wazima kisha wataangalia ulizungimza nini!
 
View attachment 3347690

Ana akaunt X au Insta? Arushiwe hii video au isambazwe sehemu nyingi watu waione. Na aseme alifanyiwa kitendo sahohi kabisa.
 
Sikuhizi anatembelea V8 ni ngumu kukumbuka huu unyama....hao ndiyo watanzania mkuu
 
Askari polisi abakufanyia udhalilishaji hadharani na bado una nguvu ya kuongea uliyoongea jana. Kwa wenzetu hiyo ni kesi kubwa kama mhusika akivalia njuga na anaungwa mkono na mamlaka. Ila wewe sasa.

Hii video watakuja kuiona wanao wakiwa watu wazima kisha wataangalia ulizungimza nini!
View attachment 3347690
Wengine ni Malaya tu kwenye siasa na hawajitambui kwa lolote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom