Ester Bulaya akamatwa na Polisi jijini Mwanza

Ester Bulaya akamatwa na Polisi jijini Mwanza

Hakuna Mwanajeshi wa Hitler aliyeshitakiwa, walioshitakiwa wote ni Wakubwa waliokuwa wanatoa Amri lkn siyo wale wa chini waliokuwa wanatekeleza Amri, vivyo hivyo Unyarwanda!

Kwanza kinyume chake ndiyo hutokea kwamba Askari huweza kushitakiwa pale anapokaidi kutii Amri ya mkubwa wake!
Inasemwa amri halali...haisemwi amri tu. Wapo walioshitakiwa kinyume na unavyosema. Siyo kwa watoa amri tu. Bahati nzuri siku hizi info ziko tu ukigoogle. Ya Hitler ni nzuri zaidi kumbuka amri inatoka juu na watekelezaji ni mlolongo wa maafisa mpaka askari wa kawaida. Yeyote aliyetekeleza amri isiyo halali iwe kwa kutoa amri (kama maelekezo) au kwa kutenda moja kwa moja wote wanakuwa na makosa.
 
Inasemwa amri halali...haisemwi amri tu. Wapo wakioshitakiwa kinyume na unavyosema. Siyo kwa watoa amri tu. Bahati nzuri siku hizi info ziko tu ukigoogle

Kwa Askari hakuna Amri halali au haramu, Amri ni Amri na maadamu imetoka kwa Mkubwa wake anapswa kutekeleza tu na siyo kinyume chake hii ni sehemu kubwa ya mafunzo yao, na kama nilivyokwishasema hakuna Askari anayeshitakiwa kwa kutekeleza Amri ya ktk juu bali kwa maana kila mwenye akili kidogo anafahamu kwamba kama Askari ni mwiko kupinga Amri ya Mkubwa wako na ndiyo maana wanoshitakiwa ni watoa Amri na siyo Askari watekelezaji!
 
Kwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
We ota mchana tu, nchi inaondoka hiyo! Kutoka wabunge 3 mwaka 2005 mpaka makumi kadhaa.
 
Yap! safi sana jeshi letu la polisi wanyoosheni hao waleta vurugu, na wasiotaka kufuata sheria sweka ndani ***** chezea dola wewe! na bado mtanyoooooka tu kudadadeki...!!!!
 
Acha kujidhalilisha.Askari hawezi kuhoji amri ya Bosi wake.Jeshi sio kijiwe cha haki za binadamu na wanaharakati.Hata ukiambiwa lala kwenye moto unalala haraka baadae kama unahisi kuonewa ndio utaomba kwa unyenyekevu kueleweshwa.Kimsingi,kwenye uwanja wa mapambano, ukikataa amri ya mkuu wako anaweza kuamuru askari mwingine akuchape risasi.
Kujidhalilisha na nani?Sinema ya Bulaya
 
Polccm full vituko, January kamtapeli Mzungu hata kumuongelea hamjamuongelea, wakat kitendo alichofanya Jm ni wiz mkubwa

Kinachoshangaza ni spika wa bunge kutoa idhini ya kumkamata Bulaya.Tumezoeshwa kuona spika akitoa kibali kukamatwa kwa wabunge wa ccm na sio upinzani au amejisahau Bulaya yupo upinzani na alishamwangusha kigogo wao Wassira kwenye jimbo?Kina Mdee,Waitara na wote wanaodaiwa kumpiga mkurugenzi Ndugai aliwatolea idhini?Nanyi polisi/ccm au yeyote alietoa idhini ya kukodi ndege kumsafirisha Bulaya kwa kodi zetu na kwenda kumpea dhamana Dsm ni nani? Hivi hamkuona busara kuiambia polisi Mwz wakamtafuta na kumpa summons ikimjulisha afike polisi kituo cha kati Dsm ili J'tatu ahudhurie mahakani kuunganishwa na wenzie kwenye kesi ya kushambulia na kujeruhi? Mimi nafikiri raisi umepata pa kutumbua haiwezekani raisi ukusanye mapato matumizi yawe hayo.
 
Yap! safi sana jeshi letu la polisi wanyoosheni hao waleta vurugu, na wasiotaka kufuata sheria sweka ndani ***** chezea dola wewe! na bado mtanyoooooka tu kudadadeki...!!!!
Watapigwa tu kwa maana hakuna namna!!
 
Mkuu tatizo kubwa Raisi aliyepo ni wa DINI yetu! just imagine haya yangefa, nyika Raisi ni JK, shari kingekuwaje? just be honest hali ingekuwaje
Ingekua shwari mkuu , kwani kuna tatizo gani askari akimkamata mhalifu? Naona mmeshupaa kurushiana makombora, kwanini msitulie mpaka ielezwe sababu ya kukamatwa kwake?
 
Iko mifano mingi. Mtoa amri na mtekelezaji wakawajibishwa. Amri lazima iwe halali. Ebu fuatilia wanajeshi wa Hitler walivyofungwa kwa kutekeleza amri ovu. Hata huko Rwanda pia. Na huko Amerika Kusini kuna mifano mingi tu. Hata jeshini sheria zao zinaelekeza amri halali inakuwaje. Mtu hawezi kukuambia nenda kamuue fulani na familia yake ukatekeleza bila sababu za msingi ukasema ni amri halali.
Mkuu, anamaanisha kwamba, hakuna mtoa amri anaetoa amri bila sababu ya maana. Au niseme, hao watoa amri ni watu wanao aminika,
 
Kama Seif, Duni, Slaa, Mbatia, Mbowe au Zitto yaani at least wanazo records of accomplishment huku kuhama wakati wa uchaguzi kuna hitaji jicho la tatu ndio maana watu wapya wanatafuta na wao kick za ajabu wengine wanarusha ngumi yaani sinema tu.
INATEGEMEA NCHI NA NCHI LAKINI HAPA USA MTU ANAWEZA KUHAMA WAKATI WOWOTE, YOU CAN MOVE TO ANOTHER PART ANYTIME AND YOU WILL BE CONSIDERED AS A MEMBER IF YOU FULFILL ALL THE REQUIREMENTS.
SASA SIWEZI KUPINGA HICHO UNACHOKISEMA MAY BE HUO NDIO MTAZAMO WAKO BUT WHAT I KNOW, SHE IS AN OPPOSITION LEGISLATOR
 
Kinachoshangaza ni spika wa bunge kutoa idhini ya kumkamata Bulaya.Tumezoeshwa kuona spika akitoa kibali kukamatwa kwa wabunge wa ccm na sio upinzani au amejisahau Bulaya yupo upinzani na alishamwangusha kigogo wao Wassira kwenye jimbo?Kina Mdee,Waitara na wote wanaodaiwa kumpiga mkurugenzi Ndugai aliwatolea idhini?Nanyi polisi/ccm au yeyote alietoa idhini ya kukodi ndege kumsafirisha Bulaya kwa kodi zetu na kwenda kumpea dhamana Dsm ni nani? Hivi hamkuona busara kuiambia polisi Mwz wakamtafuta na kumpa summons ikimjulisha afike polisi kituo cha kati Dsm ili J'tatu ahudhurie mahakani kuunganishwa na wenzie kwenye kesi ya kushambulia na kujeruhi? Mimi nafikiri raisi umepata pa kutumbua haiwezekani raisi ukusanye mapato matumizi yawe hayo.
Spika alipiga mtu kule jimboni kwake mpaka akazimia mbona hakukamatwa? Hizo amri za hovyo hovyo wazidhani zitawasaidia bali zinaongeza chuki kwa serikali.
 
Mkuu, anamaanisha kwamba, hakuna mtoa amri anaetoa amri bila sababu ya maana. Au niseme, hao watoa amri ni watu wanao aminika,
Siku hizi watoe Amri wengi wanatoa Amri za kusaka sifa na kuwakomoa watu lakini wamesahau kuwa kumweka mtu jela ni kumjengea umaarufu na huruma toka kwa wananchi.
 
Siku hizi hata mjumbe wa nyumba kumi akitoa Amri kwa RPC amkamate mtu kwa nia ya kumkomoa wanaenda kumkamata usiku wa manane hata kama mchana alishinda jirani na kituo cha polisi, hizo Amri za kutolewa hovyo hovyo zisipodhibitiwa mapema ipo siku itatolewa Amri kuwa RPC awekwe ndani kwa kuchelewa kukamata mtu aliyegundua anaonewa. Amri za hovyo hovyo mwishoe huja kuwaumiza wale waliokuwa wakizitimiza, ndiyo maana ma-RPC wengi huishia kuhamishiwa wizarani kusoma magazeti wengine akina Chagonji sasa ni makatibu tawala. Mwisho wa ubaya ni Aibu.
 
Mkuu, anamaanisha kwamba, hakuna mtoa amri anaetoa amri bila sababu ya maana. Au niseme, hao watoa amri ni watu wanao aminika,
Siyo alichomaanisha. Soma maandishi yake ya kwanza. Kwamba kiongozi anakutuma kamuue fulani na familia yake yote! Nawe usihoji kulikoni kwa sababu tu wewe ni askari! By the way hata hao waliokuwawakitoa amri za Hitler (na Rwandana kwa kinaPinochet) na kuzitekeleza walifikiti hivyo lakini wameishia pabaya. Ukikataa kutekeleza amri isiyo halali utakuwa na utetezi wa kutosha na utaonekana shujaa.
 
Nimeisoma mkuu, ndio maana nikasema alimaanisha, kwa kua huo aliotumia ni mfano tu. Idi Amini alipowaamuru askari wake kuvamia nchi yetu, kule Bukoba watu wakufa na wengine mdomo ilimwagika. Kule Iraq, Libya nk, UK na Us walituma askari wao kupiga zile nchi, watu wa kawaida wengi waliuwawa na wengine kupoteza viungo. Nadhani ilionyeshwa kwenye tv, wakiwemo watoto na mamazao. Na hakuna askari alieshtakiwa kwa hilo. Ila askari waliofikishwa mahakamani ni wale tu waliofanya kinyume na walivyotumwa. Kmf kuwachua mateka na kuwafunga kamba, kuwafunika macho, kuwavua nguo, na kuawapiga picha, yaani adhalilishaji. Walitumwa kwenda kuua, na wakaua na hakuna ubishi wala kesi.
 
Back
Top Bottom