bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,815
Jamaa ujakua Tu ? Maana unajidhalilisha Sana..Kapora mume wa mtu nini? Maana Esther Bulaya anakuwaga na hizo skendo
Jamaa ujakua Tu ? Maana unajidhalilisha Sana..Kapora mume wa mtu nini? Maana Esther Bulaya anakuwaga na hizo skendo
Kapora mume wa mtu nini? Maana Esther Bulaya anakuwaga na hizo skendo
Kamuulize aliye kosa kura Mbeya atakuwa jibu.Huko hata CCM wanampenda pole sana.Kwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
Jamaa ujakua Tu ? Maana unajidhalilisha Sana..Kapora mume wa mtu nini? Maana Esther Bulaya anakuwaga na hizo skendo
Kulikuwa na RB na arrest warranty?
Kitu mbaya sana
Mbona huyo sio mpinzani? Kafata ubunge juzi Tu huko CCM zaidi kuliko huko upinzani
Ndo maana unaambiwa vua gamba vaa gwanda . Hawawez kuitwa magamba tena .Hivi baada ya magamba waliokuwa CCM kuondoka na kujiunga CHADEMA bado kuna watu wanaiita CCM chama cha magamba? Mbona itakuwa utani sasa? Ukweli ni kuwa kwa sasa chama cha magamba ni CHADEMA na hilo jambo kwetu sisi tuliokuwa tuna imani na CHADEMA linatuuma sana sana. Tulimbilie wapi kujifariji?
Ulishamkuta wapi akilala na mume wa mtu? Kama mkeo ni mama mpole basi mpe pole lakini siyo Ester. Uwe na nidhamu vinginevyo tutapost picha za mkeo humu.Kapora mume wa mtu nini? Maana Esther Bulaya anakuwaga na hizo skendo
Dah aisee sikujua kama na ww una akili mgando hivyo . Huyo mume wa mtu kampora bungeni au. Bunge linahusiana VIP na mambo binafsi.Kapora mume wa mtu nini? Maana Esther Bulaya anakuwaga na hizo skendo
makada wanaruhusiwa kupiga na kuwa bila kushtakiwa, Mh. alipewa na bonus ya uspika.Spika huyu wakati wa kampeni alishawahi kumshushia mwanachama mwenzie kipigo hivi alichukuliwa hatua gani
Kapora mume wa mtu nini? Maana Esther Bulaya anakuwaga na hizo skendo
iHivi baada ya magamba waliokuwa CCM kuondoka na kujiunga CHADEMA bado kuna watu wanaiita CCM chama cha magamba? Mbona itakuwa utani sasa? Ukweli ni kuwa kwa sasa chama cha magamba ni CHADEMA na hilo jambo kwetu sisi tuliokuwa tuna imani na CHADEMA linatuuma sana sana. Tulimbilie wapi kujifariji?
kamng'oa wasira jimbo la BUNDAHuyu mdada aliwafanyaje CCM?
alimpa kichapo Tyson kule bunda bila huruma tena TKOHuyu mdada aliwafanyaje CCM?
Halafu ikifika 2020 utasema subiri 2025. Tushawazoea ninyi!Kwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji