Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,233
kama hujui kazi ya hague acha kuropokahuu Udikteta utakwisha lini ? Wasake Uhuru Mahakama au ikibidi wapeleke malalamiko Mahakama ya kimataifa The Hague .
kama hujui kazi ya hague acha kuropokahuu Udikteta utakwisha lini ? Wasake Uhuru Mahakama au ikibidi wapeleke malalamiko Mahakama ya kimataifa The Hague .
.....Just in>>>>>>
Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya, tayari amesafirishwa kupelekwa Dar es Salaam kutokea Mwanza chini ya uangalizi wa Polisi kwa ndege ya Precision Air
tanzania vyombo vya dola vinaongoza kukamata na kunyanyasa viongozi wa upinzani hasa jeshi la polis. sijawahi kusikia mbunge wa ccm akikamatwa na polis kamwe....
Ameteuliwa kuwa kiranja mkuu wa wana demokrasia!Hivi yule aliyempiga mchi wa kichwa mgombea mwenzake, kesi IPO hatua gani?
Mmhh si ulisema 2010 hapiti, akapita!Kwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
Haahaaahaa, nimecheka sana, wasira angejua nae angetumia mchi.Ameteuliwa kuwa kiranja mkuu wa wana demokrasia!
Mchi ule CV nzuri!!!
Msitake kumsingizia kila kitu Magufuli. Hakuna mtu anaye teus mtu kisha akamruhusu kuiba. Ni Kikwete pekee. By the way labda Ndugai katumia kanuni na sheria za Bunge ili kumwonyesha Rais kwamba na yeye ana tumbua tumbua akipata nafasi.Kama tunaamini kwamba Ndugai anafanya mambo bila ya JPM kujau , na pengine hata kuyabariki, then we are part of the problem. Tujikumbushe nani alimetua ubunge wa ghalfa Dada Tulia!
Ni amri halali. Askari atakayetekeleza amri uliyoitolea mfano atakuwa mjinga na yeye atawajibishwa. Sijui ni jeshi lipi hilo unalolisemea.Haujui unachokiongea na wala hauelewi chochote kuhusu Jeshi linavyofanya kazi, kama Mkuu wa Jeshi akisema upigwe risasi wewe pamoja na familia yako na itakuwa hivyo Askari hawezi kupinga Amri ya mkubwa wake hata siku moja na kama akifanya hivyo basi hana kazi na hiyo ni sehemu ya mafunzo yao na ndio maana unaona Marekani Raisi anatuma Majeshi kupigana Vita Iraki ingawaje kila mtu anajua kwamba ni illegal war lkn siyo kazi ya Askari kuhoji uhalali wa anachotumwa bali ni kazi yake ni kutii na kutekeleza tu, hivyo kama askari wetu walipewa Amri kwenda kumkamata Mbunge Bulaya watafanya hivyo bila hata ya kupepesa macho kwani siyo kazi ya Askari kuhoji sababu ya kukumata wao ni kutii Amri TU na si vinginevyo!
Ni amri halali. Askari atakayetekeleza amri uliyoitolea mfano atakuwa mjinga na yeye atawajibishwa. Sijui ni jeshi lipi hilo unalolisemea.
Iko mifano mingi. Mtoa amri na mtekelezaji wakawajibishwa. Amri lazima iwe halali. Ebu fuatilia wanajeshi wa Hitler walivyofungwa kwa kutekeleza amri ovu. Hata huko Rwanda pia. Na huko Amerika Kusini kuna mifano mingi tu. Hata jeshini sheria zao zinaelekeza amri halali inakuwaje. Mtu hawezi kukuambia nenda kamuue fulani na familia yake ukatekeleza bila sababu za msingi ukasema ni amri halali.Hakuna askari Dunia hii anayewajibishwa kwa kutekeleza Amri aliyopewa, bali anayeweza kuwajibishwa ni mtoa Amri lkn siyo Askari, askari kazi yake ni kutekeleza tu na hapaswi kuhoji Amri ya mkubwa wake na hiyo ni Dunia mzima Wazungu wanaita chain of commmand inaanzia juu mpaka chini!
usipojiheshimu na hautaheshimika kamweKapora mume wa mtu nini? Maana Esther Bulaya anakuwaga na hizo skendo
Iko mifano mingi. Mtoa amri na mtekelezaji wakawajibishwa. Amri lazima iwe halali. Ebu fuatilia wanajeshi wa Hitler walivyofungwa kwa kutekeleza amri ovu. Hata huko Rwanda pia. Na huko Amerika Kusini kuna mifano mingi tu. Hata jeshini sheria zao zinaelekeza amri halali inakuwaje. Mtu hawezi kukuambia nenda kamuue fulani na familia yake ukatekeleza bila sababu za msingi ukasema ni amri halali.
Ukiandika mambo ya maana ukachanganya na huu ujinga unaonekana mjinga kulikoAlikuwa na Halima Mdee hotelini.
Kumbe kweli!
Ulishawahi kumuheshimu huyu kiumbe?usipojiheshimu na hautaheshimika kamwe
Wivu?Alikuwa na Halima Mdee hotelini.
Kumbe kweli!