Ester Bulaya akamatwa na Polisi jijini Mwanza

Ester Bulaya akamatwa na Polisi jijini Mwanza

mizuka ya imepanda ndugai,hamasa ni kubwa sana kwa ndugai
 
Kwa amri Speaker Job Ndugai. Ila sio kwa amri ya Chama Chetu ni Job Ndugai the Speaker..though Speaker ni Mteule kutoka CCM yetu. Nawakumbusha pia haina uhusiano wa kukamatwa kwake kudhoofisha CDM yenu. Hivyo basi Mkutano Mkuu sijui na Kamati Kii haina uhusiano na Kukamatwa kwa Ester..Naota tu lakini..🙂😉
 
WEWE SONGAMBELE UMENICHEKESHA, KWANI KUWA MPINZANI UNATAKIWA UKAE MUDA GANI?

Kama Seif, Duni, Slaa, Mbatia, Mbowe au Zitto yaani at least wanazo records of accomplishment huku kuhama wakati wa uchaguzi kuna hitaji jicho la tatu ndio maana watu wapya wanatafuta na wao kick za ajabu wengine wanarusha ngumi yaani sinema tu.
 
Umekaa kimajungu majungu tu na hakuna chochote ukijuacho! Askari hawawezi kumkamata raia mwema hata siku moja!
Unaishi nchi gani wewe? Unapingana na Mwenyekiti wa chama chako na Rais mstaafu aliyepata kusema Polisi waache kubambikia watu kesi? Jee hata huyu waziri wa mambo ya ndani wa sasa hivi aliposema Polisi wamekisiri kwa kutunga kesi na atawashughulikia hilo nalo hujasikia?
Au kwako wewe kuwa mpinzani tuu sio raia mwema?
 
Kwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
Ulituambia tusubiri 2015 sasa umehamia 2020. Zilezile tabia za vingueuwe pori za kujipa matumaini..... kumbe Simba kapumzika tu.
 
Hizi ni mbinu za kizamani sana,kuna watu ndani ya serikali bado wanatumia mbinu za Karne ya Kanu kuwanyamazisha upinzani.
Haya yote yanatokana na poor thinking capacity ya hao watu,there are many ways to deal with a mp ,sio mpaka mkamkamate,na mabunduki yenu na maland rover ..
Hivi police wangle m sermon bulaya aende central mwanza au Banda au Dar wangepungukiwa nini? Kwa I bulaya Ana murder case mpaka akamatwe usiku?
Nchi za wenzetu police wanapo deal na wabunge hasa wa upinzani,huwa Wana waita kituoni au CID for grilling ,Ili isije onekana anaonewa.
Wito Wangu kwa Jes la police,tumieni njia na mbinu za kisasa..mnawapa hao wabunge sifa na popularity zaid Mnavyo zidi kuwafrastrate .
 
Umekaa kimajungu majungu tu na hakuna chochote ukijuacho! Askari hawawezi kumkamata raia mwema hata siku moja!

Ingekuwa na akili hata ndogo kama mbegu ya mchicha ungeenda kumuuliza Ndugai kosa alikotenda Esther.Vinginevyo tumia akili ukijibu wakubwa zako
 
Unaishi nchi gani wewe? Unapingana na Mwenyekiti wa chama chako na Rais mstaafu aliyepata kusema Polisi waache kubambikia watu kesi? Jee hata huyu waziri wa mambo ya ndani wa sasa hivi aliposema Polisi wamekisiri kwa kutunga kesi na atawashughulikia hilo nalo hujasikia?
Au kwako wewe kuwa mpinzani tuu sio raia mwema?
Kuwa mpinzani ni kosa la jinai.Ndiyo sababu ya Kamata kamata. Kuwa mpinzani ni raia wakigeni.Ngoja tusubiri Mkuu wa kaya ataendekeza hili mpaka lini.
 
Kwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
Maneno yako si mageni tunayasoma kila siku kwenye khanga
 
Kwa amri Speaker Job Ndugai. Ila sio kwa amri ya Chama Chetu ni Job Ndugai the Speaker..though Speaker ni Mteule kutoka CCM yetu. Nawakumbusha pia haina uhusiano wa kukamatwa kwake kudhoofisha CDM yenu. Hivyo basi Mkutano Mkuu sijui na Kamati Kii haina uhusiano na Kukamatwa kwa Ester..Naota tu lakini..🙂😉
Maneno yako na ID yako haviendani.Muulize Ndugai kama hiyo ndiyo kumuonyesha Magufuli kwamba anafanya kazi au anamuharibia Magufuli??Mwisho wa siku anaopambana nao ndiyo anafanya nao kazi kila siku.
 
Ingekuwa na akili hata ndogo kama mbegu ya mchicha ungeenda kumuuliza Ndugai kosa alikotenda Esther.Vinginevyo tumia akili ukijibu wakubwa zako

Sasa mnapaswa kumuuliza na kumlalamikia Spika wa Bunge lkn siyo Askari wetu, Askari wetu hutekeleza Amri Tu na siyo vinginevyo!
 
Ule muendelezo wa kukamata kamata wabunge wa Upinzani umeendelea usiku wa kuamkia Jumamosi kuelekea kwenye kikao cha Kamati kuu na Baadae Baraza kuu la CHADEMA baada ya Polisi wa Mwanza kumkamata Mbunge Ester Bulaya wa jimbo la Bunda mjini akiwa hotelini.

Updates:Mh Ester Amos Bulaya mbunge wa Bunda mjini atapelekwa Dar es salaam kwa ndege ya kampuni ya Precission chini ya ulinzi mkali wa polisi, na atapelekwa kituo cha kati (Central Police) jijini Dar.
 
Sasa mnapaswa kumuuliza na kumlalamikia Spika wa Bunge lkn siyo Askari wetu, Askari wetu hutekeleza Amri Tu na siyo vinginevyo!

Askari wenu wa chama cha Majambazi?? Askari wenu yupi??Ndiyo tunayoyasema hapa acheni kutumia vyombo vya dola kwa manufaa yenu.Vyombo vya dola linatakiwa viwe neutral.

Hivi Nyerere akirudi Leo Akina CCM mnachowafanyia watanzania wenzenu sababu tu ni Wapinzani atawaelewa???Yaani kwa CCM ukiwa mpinzani ni adui wa Taifa,CCM mbatofauti gani na M7?Mmebakiza kuorder wapinzani wavuliwe nguo na soon hiyo anakuja.

Kama Spika wabunge ataenda mbali kuwafunga wabunge ili aonekane basi hafai hata kuwa Mchungaji kuku
 
Updates:Mh Ester Amos Bulaya mbunge wa Bunda mjini atapelekwa Dar es salaam kwa ndege ya kampuni ya Precission chini ya ulinzi mkali wa polisi, na atapelekwa kituo cha kati (Central Police) jijini Dar.

Esther Bulaya ni Jambazi???Hivi Ndugai akili zake ziko nzima kweli??
 
Kwa hiyo kwa akili yako unadhani kuwa kilichompa ushindi Sugu ni ile mihemko ya bungeni? Subiri 2020 jinsi wabunge wako watakavyosombwa na maji
Kwa zile kura zenu zile sawa, tunakubali Lakini kwa kura Halali kabisa ndani ya boksi. Sahau.
 
hii nchi ukiwa chama pinzani bs serakali itakuchukua kuliko inavochukiwa al-shabab.
 
Huu unyanyasaji sasa, kuna haja gani ya kuwa na vyama pinzani lol!
 
Back
Top Bottom