Ester Bulaya akamatwa na Polisi jijini Mwanza

Ester Bulaya akamatwa na Polisi jijini Mwanza

Ndiyo, kama Askri akiambiwa shuti anashuti na hashitakiwi mahali kwa kutii amri bali anayeshitakiwa ni aliyetoa Amri ndiyo maana unaona hata vitani kwenye watu wanaoshitakiwa baada ya vita kuisha siyo askari bali ni waliotoa Amri kwa Askari, ukienda Mahakama ya Arusha hakuna Askari anayeshitakiwa pale bali ni Wanasiasa waliotoa Amri kwa askari!
Tofautisha Jeshi la Polisi na JKT na JWTZ na pia tofautisha amri ya vitani na amri za ukamataji , Kila Watu wana code of conducts Za kazi zao , Amri inayotekelezwa na Jeshi la Polisi ni amri halali Kwani jukumu Lao ni kulinda usalama wa Raia na mali zao , Fahamu hili Mkuu
 
Mambo ya kukamatana kamatana kijinga siku hizi yamepitwa na wakati. Watanzania wana taka maendeleo na Rais kaonyesha njia kiasi kwamba hakuna Mtanzania makini anapoteza muda wake kufuatilia ujinga wa kina Ndugai na bunge lake. Hivi Change bado yupo jamani?
Kama tunaamini kwamba Ndugai anafanya mambo bila ya JPM kujau , na pengine hata kuyabariki, then we are part of the problem. Tujikumbushe nani alimetua ubunge wa ghalfa Dada Tulia!
 
Sio viongozi wa dini tu mkuu, hata wanaharakati akina Kijo Bisimba, Kibamba , Ananilea Nkya etc ambao walikuwa moto mto awamu ya nne, leo hii hata hawakohoi, kisa tutamharibia wa DINI yetu! waafrika tunadhambi sana ya UNAFIKI
Wako Kimya , mfano suala la ZNZ ulisikia kuna Mwanasheria yoyote anayoliongelea?
 
Ndiyo, kama Askri akiambiwa shuti anashuti na hashitakiwi mahali kwa kutii amri bali anayeshitakiwa ni aliyetoa Amri ndiyo maana unaona hata vitani kwenye watu wanaoshitakiwa baada ya vita kuisha siyo askari bali ni waliotoa Amri kwa Askari, ukienda Mahakama ya Arusha hakuna Askari anayeshitakiwa pale bali ni Wanasiasa waliotoa Amri kwa askari!
rules of engagement.
 
Tofautisha Jeshi la Polisi na JKT na JWTZ na pia tofautisha amri ya vitani na amri za ukamataji , Kila Watu wana code of conducts Za kazi zao , Amri inayotekelezwa na Jeshi la Polisi ni amri halali Kwani jukumu Lao ni kulinda usalama wa Raia na mali zao , Fahamu hili Mkuu

Hakuna tofauti kati ya jeshi la Polisi na JWTZ kwenye utendaji, tofauti ipo kwenye aina tu ya mafunzo lkn kila kitu kinabakia kama kilivyo!
Hivyo askari hawezi kukaidi Amri ya mkubwa wake hata siku moja!
 
Utafikiri vibibi kah kwa wote viko bize utafikiri vidume mtajua wenyewwe mnavyojifanyaga hahaha
 
Buraya,Mh Sana. Huyu dada mbona kalegea macho,hivi anatumia ile kitu original toka meru?
 
Update Mhe. Amesafirishwa na ndege ya Precision chini ya uangalizi wa Polisi kuelekea DSM
 
Kukamata bila sababu za kueleweka ni uonezi na uvunjifu wa haki za binadamu.

Mleta mada tupe sababu ya kukamatwa kwake.
spika wa bunge alishtuka usingizini saa2;40 am,..kaamka2 akamwona mkewe anaota,...kumuamsha akamsimulia ndoto mumewe,. leo nmeota esta bulaya anakutukana bungeni na kukudhalilsha,...ahh bas job ndungai akapanic na kutoa order polisi kuwa ester bulaya akamatwe sasa hivi,.....polisi bila kuhoji wakatekeleza ,.....

teh teh mawazo2..
 
View attachment 329145

Mbunge wa jimbo la Bunda,Ester Bulaya amekamatwa na Jeshi la Polisi jijini Mwanza na kulazimika kulala rumande baada ya kunyimwa dhamana.

Polisi walivamia Hoteli aliyofikia mbunge huyo na kumkamata majira ya saa 7 usiku na kisha kumpeleka kituo cha kati cha Jijini Mwanza akiwa ameambatana na Mhe. Halima Mdee (Mb) , Joyce Sokombe (Mb) pamoja na Wakili John Malya.

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Justus Kamugisha amesema hati ya kukamatwa kwake imetoka ofisi ya Bunge na kwamba Mbunge huyo anashikiliwa kama mtuhumiwa ambaye anatakiwa kusafirishwa kwenda Dar es Salaam.

Wabunge hawa pamoja na uongozi wa juu wa CHADEMA Wako jijini Mwanza kwa ajili ya kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kinachofanyika leo katika Hotel ya Gold Crest.
Huko rumande hawakumgegeda?
 
Just in>>>>>>

Mbunge wa Jimbo la Bunda Mjini, Esther Bulaya, tayari amesafirishwa kupelekwa Dar es Salaam kutokea Mwanza chini ya uangalizi wa Polisi kwa ndege ya Precision Air
 
Tofautisha Jeshi la Polisi na JKT na JWTZ na pia tofautisha amri ya vitani na amri za ukamataji , Kila Watu wana code of conducts Za kazi zao , Amri inayotekelezwa na Jeshi la Polisi ni amri halali Kwani jukumu Lao ni kulinda usalama wa Raia na mali zao , Fahamu hili Mkuu

Kwa hiyo Ester Bulaya mbunge, amehatarisha usalama wa nani, ameiba mali ya nani? Tufahamishane wewe policcm
 
Hakuna tofauti kati ya jeshi la Polisi na JWTZ kwenye utendaji, tofauti ipo kwenye aina tu ya mafunzo lkn kila kitu kinabakia kama kilivyo!
Hivyo askari hawezi kukaidi Amri ya mkubwa wake hata siku moja!

Kuna tofauti kubwa tu. ...labda kama hujui. ...
Usiongee vitu kwa nadharia pasipo ufahamu wa kina
 
Back
Top Bottom