Ester Bulaya akamatwa na Polisi jijini Mwanza

Haujui unachokiongea na wala hauelewi chochote kuhusu Jeshi linavyofanya kazi, kama Mkuu wa Jeshi akisema upigwe risasi wewe pamoja na familia yako na itakuwa hivyo Askari hawezi kupinga Amri ya mkubwa wake hata siku moja na kama akifanya hivyo basi hana kazi na hiyo ni sehemu ya mafunzo yao na ndio maana unaona Marekani Raisi anatuma Majeshi kupigana Vita Iraki ingawaje kila mtu anajua kwamba ni illegal war lkn siyo kazi ya Askari kuhoji uhalali wa anachotumwa bali ni kazi yake ni kutii na kutekeleza tu, hivyo kama askari wetu walipewa Amri kwenda kumkamata Mbunge Bulaya watafanya hivyo bila hata ya kupepesa macho kwani siyo kazi ya Askari kuhoji sababu ya kukumata wao ni kutii Amri TU na si vinginevyo!

Wewe ni mburura kabisa hata hewa unayovuta unadhulumu wenye uelewa. Kimsingi wewe ni zero na mzigo kwa waliokulea na jamii kwa ujumla
 
View attachment 329145

Mbunge wa jimbo la Bunda,Ester Bulaya amekamatwa na Jeshi la Polisi jijini Mwanza na kulazimika kulala rumande baada ya kunyimwa dhamana.

Polisi walivamia Hoteli aliyofikia mbunge huyo na kumkamata majira ya saa 7 usiku na kisha kumpeleka kituo cha kati cha Jijini Mwanza akiwa ameambatana na Mhe. Halima Mdee (Mb) , Joyce Sokombe (Mb) pamoja na Wakili John Malya.

Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza Justus Kamugisha amesema hati ya kukamatwa kwake imetoka ofisi ya Bunge na kwamba Mbunge huyo anashikiliwa kama mtuhumiwa ambaye anatakiwa kusafirishwa kwenda Dar es Salaam.

Wabunge hawa pamoja na uongozi wa juu wa CHADEMA Wako jijini Mwanza kwa ajili ya kikao cha Baraza Kuu la chama hicho kinachofanyika leo katika Hotel ya Gold Crest.
Bunge nalo linatoa hati ya kukamatwa Kwa Mhe. Mbunge ?Anashtakiwa Kwa Kosa lipi?Mbunge ni Mtu anayeaminika kulikuwa na sababu gani ya kumweka ndani na kuongeza gharama za matumizi?Nadhani Huku tunakokwenda sio kuzuri Sana
 
Haujui unachokiongea na wala hauelewi chochote kuhusu Jeshi linavyofanya kazi, kama Mkuu wa Jeshi akisema upigwe risasi wewe pamoja na familia yako na itakuwa hivyo Askari hawezi kupinga Amri ya mkubwa wake hata siku moja na kama akifanya hivyo basi hana kazi na hiyo ni sehemu ya mafunzo yao na ndio maana unaona Marekani Raisi anatuma Majeshi kupigana Vita Iraki ingawaje kila mtu anajua kwamba ni illegal war lkn siyo kazi ya Askari kuhoji uhalali wa anachotumwa bali ni kazi yake ni kutii na kutekeleza tu, hivyo kama askari wetu walipewa Amri kwenda kumkamata Mbunge Bulaya watafanya hivyo bila hata ya kupepesa macho kwani siyo kazi ya Askari kuhoji sababu ya kukumata wao ni kutii Amri TU na si vinginevyo!

Wewe ni mburura kabisa hats hewa unayovuta unadhulumu wenye uelewa. Kimsingi wewe ni zero na mzigo kwa waliokulea na jamii kwa ujumla
 
Ndiyo hivyo kama ulikuwa haujui Askari kazi yake ni kutekeza Amri tu na siyo kuhoji Amri aliyopewa kama unataka kulalamika nenda Mahakamani au kwa aliyetoa Amri na hapa kwa maana ya Spika lkn kulaumu Askari wetu ni kutokuwa na Akili!
 
wanaharakati wa haki za binadamu, wasaidizi wa kisheria, TAMWA , TAWLA,viongozi wa dini wote kimyaaaaaaaaaaaaaaaa! tusimuharibie wa DINI yetu! ingekuwa ni ile awamu ya muislamu pangekuwa hapatoshi maandamano na matamko, hadi mashtaka ICC
 
....

.....Easter Bulaya 2015 ...2020 ....2025 Mbunge Bunda !!!! ...Mpandisheni chart tu
 
wanaharakati wa haki za binadamu, wasaidizi wa kisheria, TAMWA , TAWLA,viongozi wa dini wote kimyaaaaaaaaaaaaaaaa! tusimuharibie wa DINI yetu! ingekuwa ni ile awamu ya muislamu pangekuwa hapatoshi maandamano na matamko, hadi mashtaka ICC
Wako Kimyaaaaaa
 
Masikini Esther, kosa lake ni kumshinda katika uchaguzi waziri mwandamizi wa ccm!
Lakini tuwekane sawa, Esther kura yake ilikuwa moja tu kama ya mpinzani wake hivyo waliomuondoa huyo waziri ni wananchi. Na wananchi hawakumuondoa kinyume cha sheria bali kupitia sanduku la kura katika uchaguzi ulioitishwa kihalali na kufuata sheria zote za nchi.
Lakini pia, kama kweli huyo aliyeagiza kukamatwa kwake ni kweli basi tusisahau kuwa ni huyu huyu aliyempiga mpinzani wake hadharani mpaka akazimia!
 
Ndiyo hivyo kama ulikuwa haujui Askari kazi yake ni kutekeza Amri tu na siyo kuhoji Amri aliyopewa kama unataka kulalamika nenda Mahakamani au kwa aliyetoa Amri na hapa kwa maana ya Spika lkn kulaumu Askari wetu ni kutokuwa na Akili!
Kwa hiyo Mkuu , ukiambiwa ua na bosi wako Askari Wewe unaua tu?Ikigundulika ya Kuwa umefanya mauaji Nani anashtakiwa?Wewe au bosi wako?
 
Masikini Esther, kosa lake ni kumshinda katika uchaguzi waziri mwandamizi wa ccm!
Lakini tuwekane sawa, Esther kura yake ilikuwa moja tu kama ya mpinzani wake hivyo waliomuondoa huyo waziri ni wananchi. Na wananchi hawakumuondoa kinyume cha sheria bali kupitia sanduku la kura katika uchaguzi ulioitishwa kihalali na kufuata sheria zote za nchi.
Lakini pia, kama kweli huyo aliyeagiza kukamatwa kwake ni kweli basi tusisahau kuwa ni huyu huyu aliyempiga mpinzani wake hadharani mpaka akazimia!
Najiuliza hati ya kukamatwa kwako imetolewa na Bunge?Je anashtakiwa na Bunge au?Na Kwa kifungu gani?
 
Haujui unachokiongea na wala hauelewi chochote kuhusu Jeshi linavyofanya kazi, kama Mkuu wa Jeshi akisema upigwe risasi wewe pamoja na familia yako na itakuwa hivyo Askari hawezi kupinga Amri ya mkubwa wake hata siku moja na kama akifanya hivyo basi hana kazi na hiyo ni sehemu ya mafunzo yao na ndio maana unaona Marekani Raisi anatuma Majeshi kupigana Vita Iraki ingawaje kila mtu anajua kwamba ni illegal war lkn siyo kazi ya Askari kuhoji uhalali wa anachotumwa bali ni kazi yake ni kutii na kutekeleza tu, hivyo kama askari wetu walipewa Amri kwenda kumkamata Mbunge Bulaya watafanya hivyo bila hata ya kupepesa macho kwani siyo kazi ya Askari kuhoji sababu ya kukumata wao ni kutii Amri TU na si vinginevyo!
Mkuu Amri nyingine sio halali
 
Halafu kuna mtu anasema muniombee kwa Mungu kazi ninayofanya ni ngumu sana. Anadhani Mungu ni Mkapa? Unaona haki haitendeki nawe mamlaka ya kukemea unayo na uko kimya unadhani Mungu ni wa kumdhihaki namna hiyo?
Hawa viongozi wa dini nao sijui wakoje siku hizi! Wanashindwa kumfata na kumuambia acha kumdhihaki Mungu wewe!
 
Viongozi wa dini Kila Siku wanajishushia hadhi Yao , wako so biased mpaka waumini wamepoteza Imani na wengi wao hawaaminiki tena Mkuu
 
Mkuu tatizo kubwa Raisi aliyepo ni wa DINI yetu! just imagine haya yangefanyika Raisi ni JK, kivumbi kingekuwaje? just be honest hali ingekuwaje
 
Halafu kuna mtu anasema muniombee kwa Mungu kazi ninayofanya ni ngumu sana. Anadhani Mungu ni Mkapa? Unaona haki haitendeki nawe mamlaka ya kukemea unayo na uko kimya unadhani Mungu ni wa kumdhihaki namna hiyo?
Hawa viongozi wa dini nao sijui wakoje siku hizi! Wanashindwa kumfata na kumuambia acha kumdhihaki Mungu wewe!
Ha ha ha ha ha ha hAa. Kweli Mkuu, wanafikiri Mungu Ni Benjamin. Inaumiza sana, natamani ningekua nimesomea sheria! Ningekua najitolea Ktk kesi Kama hizi, wangenyooka tu.
 
Viongozi wa dini Kila Siku wanajishushia hadhi Yao , wako so biased mpaka waumini wamepoteza Imani na wengi wao hawaaminiki tena Mkuu
Sio viongozi wa dini tu mkuu, hata wanaharakati akina Kijo Bisimba, Kibamba , Ananilea Nkya etc ambao walikuwa moto mto awamu ya nne, leo hii hata hawakohoi, kisa tutamharibia wa DINI yetu! waafrika tunadhambi sana ya UNAFIKI
 
Kwa hiyo Mkuu , ukiambiwa ua na bosi wako Askari Wewe unaua tu?Ikigundulika ya Kuwa umefanya mauaji Nani anashtakiwa?Wewe au bosi wako?

Ndiyo, kama Askri akiambiwa shuti anashuti na hashitakiwi mahali kwa kutii amri bali anayeshitakiwa ni aliyetoa Amri ndiyo maana unaona hata vitani kwenye watu wanaoshitakiwa baada ya vita kuisha siyo askari bali ni waliotoa Amri kwa Askari, ukienda Mahakama ya Arusha hakuna Askari anayeshitakiwa pale bali ni Wanasiasa waliotoa Amri kwa askari!
 
Hakuna kitu magamba wanatoa chati kwa upinzani kama hayo mambo ya kukamata kamata viongozi wa vyama vya upinzani.
Hata sijui akili zao huwa zinawatuma nini?! Upuuzi huu unaonesha wazi kwa raia kuwa magamba wanatumia nguvu ya ziada kuzima wapinzani.
Lakini magamba yenyewe wala hata hayaelewi, kila siku yanakamatisha wapinzani na kuachiwa, na kutoa headlines kwa viongozi wa upinzani.
Sijui kwanini ukiwa CCM unakuwa kama una akili haba?

Ova
That's is Ndio Tatizo , kuna ulazima gani wa kuwakamata Kama hivyo?why wasingempigia Simu na kumwambia anahitajika?Sub standards Kama hizi na nguvu nyingi zina Madhara sana?Kesi zote za kisiasa mwisho wako ni ushindi Kwa mshatakiwa ?Sijajua utaratibu but nadhani they can do no than that
 
Back
Top Bottom