kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,818
- 7,484
hahaha...hii kesi mnaweza ninyi mnaojua kiinglishi bhanaha ha ha ur greater think 4 real

Mkuu lancanshire, nchi hii ina wenyewe na wenyewe ndo hao uliowataja. Hakuna wa kuwagusa.Watafutwe wote waliohusika kuanzia Maswi, Muhongo, Ndulu wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.
Huyu ni mfia ccm hawezi Fanya chochote hata kama mungeamua kumsifu na kumuabudu usiku na mchanaAngeweza kama angepata Support. Kila kukicha ni kumkashifu,kumvunjia heshima, kudharau, kumdhalilisha kumtukana n.k Halafu eti unataka afukue vya mtangulizi wake kwa watu wasio na shukrani kama ninyi. Naamini na yy ameona ninyi si wa kuwakimbilia. Unafikiri nani atakuwa mfariji wake. Mimi nahakika Magu angeweza kufanya yasiyotarajiwa kwa kuwa ana uthubutu ila ss anamfanyia nani? Ss tuliowanafiki hata shukrani hatuna. .ili akikorofishana na wenzake tukae tumcheke. ..peleka huko upuuzi wako !!
Huu ni uchochezi!Wakuu habari za muda huu,kama ilivyo ada nawaletea facts tupu bila majungu wala upendeleo wowote.
Nawaomba tutumie muda tulivu kuyasoma na kuyachambua kwa umakini.
Ni hivi,muda wa kuweka mambo yote hadharani sasa umefika,hakuna la kuficha tena...Hili sakata ambalo kila kukicha watanzania wamekua wakipotoshwa na ukweli wa jambo,hasa kwa lengo la kutaka kuwalinda wahuskia wakuu,sasa umefika mwisho,nitaeleza kwa ufupi tu.
1. PESA ZILIVYO HAMISHWA/IBIWA BANK KUU.
Taarifa rasmi na za uhakika,pia kulingana na hukumu ya jaji UTAMWA kama inavyo onesha katika viambatanisho vya hukumu iyo hapo chini,pesa hizo zilihamishwa kutoka benki kuu tarehe 5 Desemba 2013.Pesa hizi zilihamishwa bila mbia mmojawapo alie kuwa akimiliki asilimia 30 ya hisa hizo kuwa na taarifa yoyote wala kujua kinacho endelea.
2:KIBALI NA SABABU YA KUHAMISHA PESA HIZO.
Taarifa za uhakika zinasema pesa hizo zilihamishwa bank kuu BoT bila mbia huyo kuwa na taarifa,zilipata kibali maalumu kutoka Ikulu (Rais wa kipindi husika),na hapa ndipo Gavana wa benki kuu alipo amua kujali maslahi ya kazi yake pasipo kujali weredi wa taaruma yake kwani hakutakiwa kuruhusu pesa hizo kuhama pasipo wabia wote wawili yani VIP na PAP kukubaliana.
Inasemekana mp-ango ulikua kuiba pesa hizo kwa makubaliano maalum ya Singa singa na taasisi hizo za juu alafu mbia wa upande mwingine afanyiwe 'MANYUVA'
3:NAMNA VIP ALIVYOPATA MALIPO YAKE YA HISA 30%.
Baada ya Rugemalira kushtuka kujua pesa zote tayari zilisha kombwa BoT bila taarifa,akakimbilia mahakamani tarehe 21 january 2014 (hapa ikumbukwe pesa ziliibiwa BoT tarehe 5 December 2013) ambayo ikawa msingi na sababu ya malipo yake halali.
Singa Singa alipoona jamaa kakimbilia mahakamani aliwaambia jamaa kuwa ni heri mumlipe jamaa madai yake bila hivyo kwa ninavyo mfahamu jamaa huyu (Ruge) hakitaeleweka!
Alikua akiwambia akina nani??bila shaka majibu mnayo taasisi kubwa kabisa kuliko zote....
4:KESI MAHAKAMANI.
Kesi ikaenda mahakamani,na madai ya Ruge kama yalivyo hainishwa katika viambatanishi hapo chini akitaka mahakama ikamate akaunti zote za PAP na mali zake zote popote pale zilipo na izizuie mpaka atakapo lipwa haki yake stahiki.
Madai yapo mengi mnaweza kusoma wenyewe chini.
5:MALIPO YA MBIA WA 30% (RUGE).
Baada ya mambo kuwa moto mahakamani,ni baada ya Ruge kuchachamaa,Singa singa na wezi wenzie walio shirikiana kuiba pesa BoT kwa kibali na baraka maalum wakaomba shitaka liondolewe mahakamani na warudi mezani wakae na kuyamaliza na Ruge.
Wakakaa na kukubaliana wamlipe jamaa ila chini ya mashariti ambayo pia mahakama iliyabariki kama mtakavyo ona ktk viambatanishi.
Walikubaliana kumlipa na yeye akataka pesa zake zote zilipwe kupitia benki ya mkombozi ambako aliamini zitakua salama kabisa.
Pia wakakubaliana Ruge aondoe mashitaka yote mahakamani lakini pia afunge mjadala na kibaya zaidi HARUHUSIWI KULIZUNGUMZIA POPOTE SUALA HILI LA ESCROW.
Hapa mtaelewa ndio maana ktk sakata zima mpaka kesho hujawahi kumsikia jamaa huyu RUGE akisema chochote wala kuzungumza mahala popote juu ya sakata hili la ESCROW ,ni kutokana na hukumu iyo ya mahakama ya jaji UTAMWA.
Mahakama pia kwa kujiridhisha kuwa pesa hizi zilikua halali kwake Mr Ruge wakamtaka pia mara tu baada ya kupata malipo yake basi wamkate kodi ya serikali ambayo ni karibu bil38,kodi hii ilikatwa juu kwa juu na bank mara tu malipo yalipo fanyika
Kwa maana hiyo,kimsingi na kisheria huyu jamaa RUGE hakuwa na pesa za ESCROW,pesa za ESCROW account zilisha ibiwa mda bila yeye kujua,yeye alijua baadae ndipo akaenda kudai haki mahakamani.Bila ivyo hasinge ambulia chochote.
Na kwa wale wanao fatilia mambo mtakubakiana kabisa na mimi,myonge mnyongeni haki yake mpeni,huyu jamaa ni mzalendo wa kutosha kabisa,kwanza nyuma alisha ishitaki hii IPTL ambayo naye alikua mbia kuwa inawalalia watanzania kwa kuwa na gharama kubwa za uendeshaji.
6:HITIMISHO
Baada ya malipo hayo ndipo jamaa akafanya yake kama anavyo laumiwa kuwa alitoa rushwa lakini kimsingi kuna maswali ya msingi ya kujiuliza:
>Kama jamaa alipata pesa alizo kuwa ameporwa bila kujua na akaja kupata mahakamani,na akalipa kodi ya serikali kama alivyo takiwa,wizi wake hapa uko wapi?
>Upande wa pili ambao ulikua na hisa zaidi ya 70% ambao ndio walio husika kuiba pesa hizo kwa msaada wa Ikulu,lakini pia kwa kutumia benki ya Stanbic kugawa mabilioni ya pesa na mpaka sasa hakuna hata alie hoji wala kutaja orodha iyo ambako kuna semekana vigogo na vinara wakubwa wa wizi huo wako huko,na bank husika bado inafanya shughuli zake bila matatizo yoyote.Pia ikumbukwe huyu mbia alie miliki asilimia 70% pamoja na utapeli wote lakini pia hakulipa serikalini kodi hata senti moja??Je kuna nini upande huo??
Swali kubwa na la msingi sana,ni kuona na kutafakari kwanini kila kukicha kelele ni zile zile za watu wa Mkombozi Bank ambao pamoja na yote mpaka sasa mahakama zimeshindwa kuwachukulia hatia kwasababu zimeona hakuna makosa aliyo fanyika kwani Ruge alikua na mamlaka ya kutumia pesa zake atakavyo.ila mbona kuna nguvu kubwa hisio ya kawaida inatumika kuwalinda hawa jamaa wa upade wa pili wakiongozwa na bwana Singa singa??
Wadau naomba niishie hapo kwa leo,tafadhari pitia hukumu hii kwa umakini hapa chini na tujadili.
Nawasilisha
View attachment 405593 View attachment 405594 View attachment 405595 View attachment 405596 View attachment 405597 View attachment 405593 View attachment 405593 View attachment 405594 View attachment 405595 View attachment 405596 View attachment 405597 View attachment 405598 View attachment 405599 View attachment 405600
miTANGANYIKA ni rahisi kuitawala sababu inaamini katika Maneno matupuNwaigwe Kwani yeye kashughulikia mafisadi wapi? Kesi ya Lugumi imepaishwa,yule wa dakika 7 kaishia wapi? Yule wa bilioni 40 za polisi yuko wapi? Alieuza mashine ya Uhuru yuko wapi?
TISS, hawana udhaifu wowote bali wanautumikia mfumo ulio udhaifuHapa ndipo nilipo ona Udhaifu wa TISS...hata DG wa sasa alikuwa kule Bot na alikuwa kwenye kitengo cha Risk Management aliyajuwa haya yote.
mwache mungu aitwe mungu mbembewe za mwakyembe na mahakama ya mafisadi, hilo limetua bila kutarajia, na tuone hiyo mahakama ikifanya kazi kwa double standard.Hivi bado CCM wanayo moral authority ya kuongoza nchi hii kweli? Na sijui JPM anajisikiaje kuwa mwenyekiti wa chama kama hiki huku yeye mwenyewe akijivisha joho la mtetezi wa wanyonge. I don't understand.Kwa bahati mbaya sana katika serikali hii bado tunaona dalili za wazi za kuwalinda mafisadi badala ya kuwashuhulikia kwa nguvu zote. Mahakama zipo, mahakimu wapo, mafisadi wapo, nini tatizo? Inakera kwa kweli.
miTANGANYIKA ni rahisi kuitawala ....sababu inaamini katika Maneno matupumpigania ufisadi alizima lugumi kama anazima mshumaa ataweza escrow!
utasikia kuna majitu wanamsifu jamaa eti anapingana na ufisadi huwa nawashangaa
Thubutu! Labda kama ni wa vyama vya upinzani.Nitalala nao mbereee....
Huoni povu nyingi zinamwagikia huko?Watumishi Ndio Punching Bag ya Rais!
Utaambiwa kwani yeye sio mwananchi?Wenzetu chochote wanachofanya wanahahakisha kina benefit kwa wananchi kwanza. Wana sign contract ambayo itawafaidisha wananchi lakini huku kwetu ni tofauti, maslahi yao mbele wananchi baadae!
Maranyingi namchukulia Mwakyembe kama ni msanii wa sharia vile.mwache mungu aitwe mungu mbembewe za mwakyembe na mahakama ya mafisadi, hilo limetua bila kutarajia, na tuone hiyo mahakama ikifanya kazi kwa double standard.
Endeleeni kuleta fyokofyoko wenye hati miliki na nchi hii wataifungiaThis is why we need JF ki ukwel we get everything in here.
Kwa sasa atapotezea kwa kuelekeza nguvu zake kukandamiza upinzani usiwapelekee wananchi habari za ESCROWMagufuli anajifanya kama haoni vile, Huo mziki hauwezi
Kwa sasa wameelekeza nguvu zao zote kwenye makosa ya kutukana Rais mitandaoni."Handle With Care". Katika mataifa yetu machanga ambayo Taasisi nyeti ni dhaifu inahitaji umakini mkubwa sana kushughulikia mambo makubwa kama haya.
Nadhani unajaribu kumuondoa huyo unayemuita Ruge, lakini bado swali kubwa ni je, Ruge na hata huyo Singa walistahili kugawana pesa hizo? Hili ni muhimu kujibiwa. Kama hazikuwa pesa zao, basi wote ni wachafu bila kujali kama alitaka kuzulumiwa na nani.Wakuu habari za muda huu,kama ilivyo ada nawaletea facts tupu bila majungu wala upendeleo wowote.