Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,343
- 33,487
lobbying za washington nyingi ni za kufaidisha makampuni makubwa,mabenki na viwanda vya silahaWenzetu chochote wanachofanya wanahahakisha kina benefit kwa wananchi kwanza. Wana sign contract ambayo itawafaidisha wananchi lakini huku kwetu ni tofauti, maslahi yao mbele wananchi baadae!