Lissu hakujitetea kwa ukamilifu kutokana na baadhi ya haki zake kama mshitakiwa kukiukwa aidha na mahakama ama magereza.
1. Haki ya kuongea na mawakili wake. KANYIMWA
2. Haki ya kupata mashahidi anaowataka. KANYIMWA
3. Haki ya kutoteswa. KANYIMWA, alilalamika kuwekewa kamera hadi chooni.
4. Haki ya kuwasiliana na ndugu, jamaa na familia yake. KANYIMWA
5. Haki ya kupata matibabu. KANYIMWA
6. Haki ya chakula na maji safi. KANYIMWA, alilalamika mahakamani.
7. Haki ya kuheshimiwa utu wake. KANYIMWA
8. Haki ya kupelekwa mahakamani kwa wakati. KANYIMWA, kakaa gerezani zaidi ya miezi 8 bila kufikishwa mahakamani.
9. Haki ya kuchukuliwa kuwa hana hatia. KANYIMWA
10. Haki ya kusikilizwa kwa haki bila upendeleo mbele ya mahakama. KANYIMWA.
Umemnyima haki ya kusikilizwa, umezuia mashahidi wake kuletwa mahakamani, umemzuia kukutana na mawakili wake, magereza inamnyima uhuru wa faragha wa kutembelewa na ndugu zake na faragha ya kukutana na mawakili zake, halafu unataka kumnyonga. Hiyo haitakuwa hukumu ya haki.