ESCROW sio siri tena, mambo yote hadharani

Si amlipe tu yule jamaa wa ARVS Madabida haki yake si alishinda kesi na mahakama ikaamuru serikali imlipe? Ama wanatii tuu amri ya mahakama kulipa 400 m kwa siku kwa IPTL
 
iv Lizabon Akija Hapa Si anaweza pata presha kijana wa watu jaman

Hii serikali Hii ni pasua kichwa

aaaaaaaarrrrrggggg

waiter zungusha nipunguze mawazo
 
Hivi "mkuu sana" wa kipindi kile hakupata mgao hapa?

Hivi yule mkuu wa wakusanya ushuru wa kipindi kile japo kwa sasa yuko ndani atakuwa ametulia tu?????Hakuwa na details za mambo haya?
 
Katika mradi huo sidhani Ruge alikuwa kachanga hata senti kununua ile mitambo na kuisimika,yeye katika ubia huo alikuwa katoa shamba lake la mihogo kama plot,
nadhaani malipo yalipotoka singer akaona uzito kugawana na ruge ambae hakuwa na mchango wa pesa katika mradi zaidi ya kiwanja na kuwa na connection serikalini.
Ni baada ya ruge kuona yeye kama mbia anaweza asiambulie kitu ndo kaenda mahakamani,na singer akaona isiwe tabu kama mradi ukiwa wake na akamudu kuzalisha megawat 500 atakula hela ndefu kuliko vile vijisenti,akaamua kununua zile asilimia 30 za hisa za Ruge kwa bilioni 75,akampay off,

Ruge ambaye alikuwa hajawahi kukamata kitita kama hicho akapagawa,akaanza kulipa fadhila,
sijui ile plot aliipataje,ruge akampa tibaijuka bilion moja,kumbuka kipindi hicho tibaijuka alikuwa waziri wa ardhi,nadhani ile haikuwa rushwa bali shukrani,akakumbuka pia maaskofu walikuwa wakimuombea na baraka zimefurika,akawapa mabilioni,akagawa makanisani na baadhi ya viongozi waliokuwa wakimnyooshea mambo yake,actually katika bilion 75 inawezekana alitumia bilion 5 tu kugawa takrima,bilioni 70 akatia kibindoni na kuachana na PAP.
SASA katika hela ya escrow ukitoa ile alilipwa ruge zinabaki ngapi vile?
 
Yako maswala ya utata kibao kwenye sakata la pesa za ESCROW ambayo hata sheria zetu na za kimataifa gongana, kwa mfano:
1) TANESCO kutozwa zaidi, nje ya mkataba, tozo la mitambo kutumika
2) TANESCO kuhusishwa na ukopaji kwenye Standard Charter
3) PAP kununua hisa za VIP
4) PAP kulipwa fedha za ESCROW akaunti iliyofunguliwa mahususi hadi shauri na (1) litakakwisha

Nk
 
Katika mradi huo sidhani Ruge alikuwa kachanga hata senti kununua ile mitambo na kuisimika,yeye katika ubia huo alikuwa katoa shamba lake la mihogo kama plot,
nadhaani malipo yalipotoka singer akaona uzito kugawana na ruge ambae hakuwa na mchango wa pesa katika mradi zaidi ya kiwanja na kuwa na connection serikalini.
Ni baada ya ruge kuona yeye kama mbia anaweza asiambulie kitu ndo kaenda mahakamani,na singer akaona isiwe tabu kama mradi ukiwa wake na akamudu kuzalisha megawat 500 atakula hela ndefu kuliko vile vijisenti,akaamua kununua zile asilimia 30 za hisa za Ruge kwa bilioni 75,akampay off,

Ruge ambaye alikuwa hajawahi kukamata kitita kama hicho akapagawa,akaanza kulipa fadhila,
sijui ile plot aliipataje,ruge akampa tibaijuka bilion moja,kumbuka kipindi hicho tibaijuka alikuwa waziri wa ardhi,nadhani ile haikuwa rushwa bali shukrani,akakumbuka pia maaskofu walikuwa wakimuombea na baraka zimefurika,akawapa mabilioni,akagawa makanisani na baadhi ya viongozi waliokuwa wakimnyooshea mambo yake,actually katika bilion 75 inawezekana alitumia bilion 5 tu kugawa takrima,bilioni 70 akatia kibindoni na kuachana na PAP.
SASA katika hela ya escrow ukitoa ile alilipwa ruge zinabaki ngapi vile?
kwanini sikumfaham Ruge toka zaman niwe naye karibu nimpige juju ya kufa mtu hata niambulie tu kabilion. Yani ingekuwa hivyo ningempiga kembola ya hatariii
 
Nimekusoma uzuri bwana joanfaith lakini bado nina wasiwasi na Rugemalira bado hawezi kuchomoka kwenye hii scandal. Vyombo vya uchunguzi vifanye kazi yake ile list ya watu aliowapa 1.6 billion @ tena kwa mafungu ( nadhani) umenielewa haijatokea accidentally. Huu ilikuwa mpango. Kwa upande wa pili huko nadhani ndio kwa wakubwa mwenyewe akiwepo former President wakaamuwa kugawana. Magufuli kama kweli ana nia ya dhati ya kupambana na ufisadi nchini hiki ni kipimo katika utawala wake.
 
Yaani hii ni kama mechi ya mpira refa ana hamu ya kufunga magoli lakini wachezaji wote wanapaisha mipira hewani mwisho wa siku mtu anafungwa tano bila inaitwa hainaga ushemeji.
 
Katika mradi huo sidhani Ruge alikuwa kachanga hata senti kununua ile mitambo na kuisimika,yeye katika ubia huo alikuwa katoa shamba lake la mihogo kama plot,
nadhaani malipo yalipotoka singer akaona uzito kugawana na ruge ambae hakuwa na mchango wa pesa katika mradi zaidi ya kiwanja na kuwa na connection serikalini.
Ni baada ya ruge kuona yeye kama mbia anaweza asiambulie kitu ndo kaenda mahakamani,na singer akaona isiwe tabu kama mradi ukiwa wake na akamudu kuzalisha megawat 500 atakula hela ndefu kuliko vile vijisenti,akaamua kununua zile asilimia 30 za hisa za Ruge kwa bilioni 75,akampay off,

Ruge ambaye alikuwa hajawahi kukamata kitita kama hicho akapagawa,akaanza kulipa fadhila,
sijui ile plot aliipataje,ruge akampa tibaijuka bilion moja,kumbuka kipindi hicho tibaijuka alikuwa waziri wa ardhi,nadhani ile haikuwa rushwa bali shukrani,akakumbuka pia maaskofu walikuwa wakimuombea na baraka zimefurika,akawapa mabilioni,akagawa makanisani na baadhi ya viongozi waliokuwa wakimnyooshea mambo yake,actually katika bilion 75 inawezekana alitumia bilion 5 tu kugawa takrima,bilioni 70 akatia kibindoni na kuachana na PAP.
SASA katika hela ya escrow ukitoa ile alilipwa ruge zinabaki ngapi vile?

Hili liko ndani ya uwezo wa uwezo wangu: umesema Ruge hakuwahi kukamata kitita kama kile? Yaani yale ndo mabilioni ya kwanza Ruge kushika??? Mmmm
 
Watafutwe wote waliohusika kuanzia Maswi, Muhongo, Ndulu wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.
 
huu mfupa unaweza ukamshinda
But if he goes after this, he leaves a legacy, kwamba kweli he walks the talk- kuhusu kupambana na ufisadi, and people might actually disregard his inaction on the lugumi scandal
Thubutu! Hawezi fanya lolote
Unakumbuka ilu filamu ya zamani WHERE EAGLES FEAR TO TREAD?
 
Back
Top Bottom