Nyando
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 412
- 112
Mwizi siyo singasinga Bali ni mwenzetu tusioweza kuwagusa. Hii habari ya nitashughulikia mafisadi ni wimbo tu kama nyimbo nyingine.Lugumi ametushinda tutamuweza singasinga!
Mwizi siyo singasinga Bali ni mwenzetu tusioweza kuwagusa. Hii habari ya nitashughulikia mafisadi ni wimbo tu kama nyimbo nyingine.Lugumi ametushinda tutamuweza singasinga!
Hao watumishi hewa anaoshughulikia wameajiriwa ktk dhama zake? Mengi anayoyashughulikia yalifanyika awamu zilizopita, usimtetee na hilo linamuhusu aangaike nalo. Tofauti na hapo uchungu na nchi yake siuoni mkuuANaweza kuzuia tu haya yasitokee tena inatosha!Kufukua mambo ambayo hukuwa na maamuzi nayo sioni kama kuna umuhimu!Kila zama na kitabu chake
huu mfupa unaweza ukamshinda
But if he goes after this, he leaves a legacy, kwamba kweli he walks the talk- kuhusu kupambana na ufisadi, and people might actually disregard his inaction on the lugumi scandal
Nadhani unajaribu kumuondoa huyo unayemuita Ruge, lakini bado swali kubwa ni je, Ruge na hata huyo Singa walistahili kugawana pesa hizo? Hili ni muhimu kujibiwa. Kama hazikuwa pesa zao, basi wote ni wachafu bila kujali kama alitaka kuzulumiwa na nani.
Jinsi alivyozigawa kuna kitu hapo. Pesa ya halali haiwezi kugawanywa kiasi hicho. Hatuhitaji kuambiwa ni uamuzi wake, common sense hairuhusu jibu la aina hiyo. Je, hao ndo walimpa siri kwamba pesa imechotwa? Je, Nani ktk uongozi wa serikali iliyo timamu anaweza kuruhusu kiongozi kupewa pesa na mtu yeyote kiwango hicho na asiulizwe zimetoka wapi?
Tuwe wakweli wa maouvu. Hakuna haja ya kumtetea mtu muovu hata kama yuko kimya.
unaelewa maana ya watumishi hewa??Bora hata ungesema vyeti fekiHao watumishi hewa anaoshughulikia wameajiriwa ktk dhama zake? Mengi anayoyashughulikia yalifanyika awamu zilizopita, usimtetee na hilo linamuhusu aangaike nalo. Tofauti na hapo uchungu na nchi yake siuoni mkuu
Umesahau aliposema anajuta kugombea urais.Magufuli hadi namuonea huruma kiukweli kama atagusa huu moto !!
Mambo magumu kweli naona anaanza kuzeeka kabla ya 2020 tutafika 2025?Umesahau aliposema anajuta kugombea urais.
Nywele zinakuwa nyeupe kuanzia kichwani mpaka kidevuni, sidhani kama ana lala masaa nane mkuu.Mambo magumu kweli naona anaanza kuzeeka kabla ya 2020 tutafika 2025?
Jibu sahii Ni hili soma ile hukumu Tena:
"
"SCB-HK understands that PAP used $75 million of the funds obtained from the escrow account to pay VIP Engineering and Marketing Limited (owned by Tanzanian businessman James Rugemalira) for its 30 per cent shareholding in IPTL," says part of the 100-page ruling.
"The funds held in the escrow account that should have been available to satisfy TANESCO's payment obligations to IPTL under the PPA (power purchase agreement) have therefore been paid to two Tanzanian parties - VIP and PAP - neither of whom made any financial contribution to the construction of the facility," it adds."
Hizo pesa zilikuwa mkopo Siyo zawadi hiyo pesa hawakuitolea jasho. Ruge Na PAP wote wezi.
Nywele zinakuwa nyeupe kuanzia kichwani mpaka kidevuni, sidhani kama ana lala masaa nane mkuu.
Ni kama mzinga wa nyuki, uguse kwa tahadhari.Ni ngumu sana kushughulikia ufisadi ambao Rais aliyekutangulia kuna harufu ya kuhusika. Hasa hasa kama mlikuwa chama kimoja na katiba inasema hawezi shtakiwa hata akitoka madarakan.
Kitu ninachokiamini kwasasa ni Kuwa Rais ajaye hatokuwA na matatzo ya kushughulikia ufisadi wa kipindi cha magufuli. Hili ni fanikio letu kubwa kwetu watanzania.
Magufuli atatumia muda wake mwingi kuhangaishwA na ufisadi kuanzia wa kipindi mwinyi kama mambo ya ngorongoro, kipindi cha mkapa kama mambo ya uuzwaji WA mali za umma kwa bei chee mpaka kipindi cha kikwete kama escrow na nk.
Naamini kipindi chake magufuli hatotengeneza ufisadi. Safi sana.
Katika mradi huo sidhani Ruge alikuwa kachanga hata senti kununua ile mitambo na kuisimika,yeye katika ubia huo alikuwa katoa shamba lake la mihogo kama plot,
nadhaani malipo yalipotoka singer akaona uzito kugawana na ruge ambae hakuwa na mchango wa pesa katika mradi zaidi ya kiwanja na kuwa na connection serikalini.
Ni baada ya ruge kuona yeye kama mbia anaweza asiambulie kitu ndo kaenda mahakamani,na singer akaona isiwe tabu kama mradi ukiwa wake na akamudu kuzalisha megawat 500 atakula hela ndefu kuliko vile vijisenti,akaamua kununua zile asilimia 30 za hisa za Ruge kwa bilioni 75,akampay off,
Ruge ambaye alikuwa hajawahi kukamata kitita kama hicho akapagawa,akaanza kulipa fadhila,
sijui ile plot aliipataje,ruge akampa tibaijuka bilion moja,kumbuka kipindi hicho tibaijuka alikuwa waziri wa ardhi,nadhani ile haikuwa rushwa bali shukrani,akakumbuka pia maaskofu walikuwa wakimuombea na baraka zimefurika,akawapa mabilioni,akagawa makanisani na baadhi ya viongozi waliokuwa wakimnyooshea mambo yake,actually katika bilion 75 inawezekana alitumia bilion 5 tu kugawa takrima,bilioni 70 akatia kibindoni na kuachana na PAP.
SASA katika hela ya escrow ukitoa ile alilipwa ruge zinabaki ngapi vile?
Wanasheria wenyewe ni hawa wanaogalagazwa na Tundu au kuna wengine?Atakuambia ni utawala wa sheria acha vyombo husika vifanye kazi yake kwakua tyr washanzisha mahakama hzo huku wakisema wanasubiri rufan iliyokatwa na tanesco kuzaa matunda..
Hawana wengine zaidi ya mkonoWanasheria wenyewe ni hawa wanaogalagazwa na Tundu au kuna wengine?