jingojames
JF-Expert Member
- Mar 12, 2010
- 886
- 453
Tatizo la hili DUDE liitwalo ESCROW kila mtu aliyekuwa kwy SYSTEM alionjeshwa utamu wake hivyo hakuna wa kugusa dude hili! ?
Kwa kuwa mkuu tuliye naye "anaaminika" kwa kuchukua maamuzi magumu kwa maslahi ya taifa, na ni mpeni wa Mungu, nina hakika hili atalishughulikia tu ipasavyo. Ila kama wastaafu alioahidi kuwalinda wanahusika, itakuwa mtihani mkubwa kwake.Hii nzuri.... Maamuzi magumu yanatakiwa hapa....!!!
Wewe unamjua Ruge au unamsikia kwenye vijiwe Ruge huyu aliyekuwa ameshinda zabuni yaujenzi wa bandari ya bagamoyo trioni 54 unasema alipagawa na bilion 76?unajua hiyo ishu siyo kubwa kivile,singesinga kabla hajalipwa alikubali kuwa yakitokea matatizo yeye ndo atakuwa responsible,
na ujuwe wakati standard bank wanamkopesha mechmar,Tanzania haikuwepo na haihusiku na kuhakikisha mkopo wa mwekezaji bank unalipwa ama la.
Tanzania imelipa malipo ya umeme uliotumika fullstop,Tanzania haiwajibiki kumlipia mwekezaji deni alilokopa bank,na hata ikibidi kulipa basi kitakachofanyika malipo ya umeme ulionunuliwa toka PAP ,kuanzia 2015 hadi leo yanaweza kuelekezwa standard chartered.
Singer alitumia bilion 75 kumlipa Ruge,
logic tu inasema kuwa alibahakiwa na kiasi kidogo ambacho alikitumia kucover expense za kuendesha mitambo na kiasi kama faida yake,sasa angekuwa bwege sana eti hela aliyobakiza tena aipeleke stanbick na kuendelea kuzigawa kama sandakalawe utadhani yeye ni father xmasi,ndo maana mtasubiri sana orodha ya visado vya stanbick na hamtayaona kwani hayapo,singasinga ni mfanyabiashara mzoefu hawezi kugawa pesa holela kama yule nshomile
unajua hiyo ishu siyo kubwa kivile,singesinga kabla hajalipwa alikubali kuwa yakitokea matatizo yeye ndo atakuwa responsible,
na ujuwe wakati standard bank wanamkopesha mechmar,Tanzania haikuwepo na haihusiku na kuhakikisha mkopo wa mwekezaji bank unalipwa ama la.
Tanzania imelipa malipo ya umeme uliotumika fullstop,Tanzania haiwajibiki kumlipia mwekezaji deni alilokopa bank,na hata ikibidi kulipa basi kitakachofanyika malipo ya umeme ulionunuliwa toka PAP ,kuanzia 2015 hadi leo yanaweza kuelekezwa standard chartered.
Singer alitumia bilion 75 kumlipa Ruge,
logic tu inasema kuwa alibahakiwa na kiasi kidogo ambacho alikitumia kucover expense za kuendesha mitambo na kiasi kama faida yake,sasa angekuwa bwege sana eti hela aliyobakiza tena aipeleke stanbick na kuendelea kuzigawa kama sandakalawe utadhani yeye ni father xmasi,ndo maana mtasubiri sana orodha ya visado vya stanbick na hamtayaona kwani hayapo,singasinga ni mfanyabiashara mzoefu hawezi kugawa pesa holela kama yule nshomile
...and if "the talks contradict one another", what is he supposed to do. Mfano: one of his "talks" ni kulinda wastaafu ili waishi kwa amani (hata kama watu watachoooonga namna gani), sasa unadhani endapo hili sakata kuna mstaafu japo mmoja, atawezaje kusimamia misingi miwili inayopingana?huu mfupa unaweza ukamshinda
But if he goes after this, he leaves a legacy, kwamba kweli he walks the talk- kuhusu kupambana na ufisadi, and people might actually disregard his inaction on the lugumi scandal
huu mfupa unaweza ukamshinda
But if he goes after this, he leaves a legacy, kwamba kweli he walks the talk- kuhusu kupambana na ufisadi, and people might actually disregard his inaction on the lugumi scandal
Fisadi papa mbona ana nyumba za kifahari tena zaidi ya tano lakini hamgusii ata kidogo???Wewe unamjua Ruge au unamsikia kwenye vijiwe Ruge huyu aliyekuwa ameshinda zabuni yaujenzi wa bandari ya bagamoyo trioni 54 unasema alipagawa na bilion 76?
Ruge huyu anayemiliki jengo la gorofa 12 katikati ya mji tena posta unamuita alipagawa na hiyo pesa we umjui Ruge wewe Ruge anayeishi kwenye Nyumba ya kifahari south Africa tena Johannesburg?
Fanya utafiti kuhusu huyu bepari mkuu
mwinyi hakuleta IPTL mkuu,unajua kipindi kile mwaka 1995 yalikuwepo maongezi kati ya nchi zinazoendelea na zile nchi za tiger economy kushirikiana kiuchumi ili kuepukana na unyonyaji wa nchi za magharibi,enzi hizo kiongozi wa malasysia ndo alikuwa kama rule model ya kuitoa malay katika umasikini na kuwa nchi ya viwanda,mojawapo ya zao la maongezi hayo mwaka 1996 mwinyi akiwa tayari kashaachachia madaraka ndo kina ruge akaingia ubia na kampuni la malaysia la mechmar,hili kampuni linatengea boiler na pia power plant,wakaungana na Ruge na kuunda kampuni iliyoitwa IPTL,Humjui kabisa Rugemalira na umeishia kuandika uongo juu yake. IPTL ilihengwa wakati wa Rais Mwinyi hivi i kweli usemayo kuwa Tibaijuka alikuwa ni waziri ambaye alimpa kiwanja wakati huo?
Angeweza kama angepata Support. Kila kukicha ni kumkashifu,kumvunjia heshima, kudharau, kumdhalilisha kumtukana n.k Halafu eti unataka afukue vya mtangulizi wake kwa watu wasio na shukrani kama ninyi. Naamini na yy ameona ninyi si wa kuwakimbilia. Unafikiri nani atakuwa mfariji wake. Mimi nahakika Magu angeweza kufanya yasiyotarajiwa kwa kuwa ana uthubutu ila ss anamfanyia nani? Ss tuliowanafiki hata shukrani hatuna. .ili akikorofishana na wenzake tukae tumcheke. ..peleka huko upuuzi wako !!Hawezi kukata tawi alilokalia
untouchable at its finest!Wakuu habari za muda huu,kama ilivyo ada nawaletea facts tupu bila majungu wala upendeleo wowote.
Nawaomba tutumie muda tulivu kuyasoma na kuyachambua kwa umakini.
Ni hivi,muda wa kuweka mambo yote hadharani sasa umefika,hakuna la kuficha tena...Hili sakata ambalo kila kukicha watanzania wamekua wakipotoshwa na ukweli wa jambo,hasa kwa lengo la kutaka kuwalinda wahuskia wakuu,sasa umefika mwisho,nitaeleza kwa ufupi tu.
1. PESA ZILIVYO HAMISHWA/IBIWA BANK KUU.
Taarifa rasmi na za uhakika,pia kulingana na hukumu ya jaji UTAMWA kama inavyo onesha katika viambatanisho vya hukumu iyo hapo chini,pesa hizo zilihamishwa kutoka benki kuu tarehe 5 Desemba 2013.Pesa hizi zilihamishwa bila mbia mmojawapo alie kuwa akimiliki asilimia 30 ya hisa hizo kuwa na taarifa yoyote wala kujua kinacho endelea.
2:KIBALI NA SABABU YA KUHAMISHA PESA HIZO.
Taarifa za uhakika zinasema pesa hizo zilihamishwa bank kuu BoT bila mbia huyo kuwa na taarifa,zilipata kibali maalumu kutoka Ikulu (Rais wa kipindi husika),na hapa ndipo Gavana wa benki kuu alipo amua kujali maslahi ya kazi yake pasipo kujali weredi wa taaruma yake kwani hakutakiwa kuruhusu pesa hizo kuhama pasipo wabia wote wawili yani VIP na PAP kukubaliana.
Inasemekana mp-ango ulikua kuiba pesa hizo kwa makubaliano maalum ya Singa singa na taasisi hizo za juu alafu mbia wa upande mwingine afanyiwe 'MANYUVA'
3:NAMNA VIP ALIVYOPATA MALIPO YAKE YA HISA 30%.
Baada ya Rugemalira kushtuka kujua pesa zote tayari zilisha kombwa BoT bila taarifa,akakimbilia mahakamani tarehe 21 january 2014 (hapa ikumbukwe pesa ziliibiwa BoT tarehe 5 December 2013) ambayo ikawa msingi na sababu ya malipo yake halali.
Singa Singa alipoona jamaa kakimbilia mahakamani aliwaambia jamaa kuwa ni heri mumlipe jamaa madai yake bila hivyo kwa ninavyo mfahamu jamaa huyu (Ruge) hakitaeleweka!
Alikua akiwambia akina nani??bila shaka majibu mnayo taasisi kubwa kabisa kuliko zote....
4:KESI MAHAKAMANI.
Kesi ikaenda mahakamani,na madai ya Ruge kama yalivyo hainishwa katika viambatanishi hapo chini akitaka mahakama ikamate akaunti zote za PAP na mali zake zote popote pale zilipo na izizuie mpaka atakapo lipwa haki yake stahiki.
Madai yapo mengi mnaweza kusoma wenyewe chini.
5:MALIPO YA MBIA WA 30% (RUGE).
Baada ya mambo kuwa moto mahakamani,ni baada ya Ruge kuchachamaa,Singa singa na wezi wenzie walio shirikiana kuiba pesa BoT kwa kibali na baraka maalum wakaomba shitaka liondolewe mahakamani na warudi mezani wakae na kuyamaliza na Ruge.
Wakakaa na kukubaliana wamlipe jamaa ila chini ya mashariti ambayo pia mahakama iliyabariki kama mtakavyo ona ktk viambatanishi.
Walikubaliana kumlipa na yeye akataka pesa zake zote zilipwe kupitia benki ya mkombozi ambako aliamini zitakua salama kabisa.
Pia wakakubaliana Ruge aondoe mashitaka yote mahakamani lakini pia afunge mjadala na kibaya zaidi HARUHUSIWI KULIZUNGUMZIA POPOTE SUALA HILI LA ESCROW.
Hapa mtaelewa ndio maana ktk sakata zima mpaka kesho hujawahi kumsikia jamaa huyu RUGE akisema chochote wala kuzungumza mahala popote juu ya sakata hili la ESCROW ,ni kutokana na hukumu iyo ya mahakama ya jaji UTAMWA.
Mahakama pia kwa kujiridhisha kuwa pesa hizi zilikua halali kwake Mr Ruge wakamtaka pia mara tu baada ya kupata malipo yake basi wamkate kodi ya serikali ambayo ni karibu bil38,kodi hii ilikatwa juu kwa juu na bank mara tu malipo yalipo fanyika
Kwa maana hiyo,kimsingi na kisheria huyu jamaa RUGE hakuwa na pesa za ESCROW,pesa za ESCROW account zilisha ibiwa mda bila yeye kujua,yeye alijua baadae ndipo akaenda kudai haki mahakamani.Bila ivyo hasinge ambulia chochote.
Na kwa wale wanao fatilia mambo mtakubakiana kabisa na mimi,myonge mnyongeni haki yake mpeni,huyu jamaa ni mzalendo wa kutosha kabisa,kwanza nyuma alisha ishitaki hii IPTL ambayo naye alikua mbia kuwa inawalalia watanzania kwa kuwa na gharama kubwa za uendeshaji.
6:HITIMISHO
Baada ya malipo hayo ndipo jamaa akafanya yake kama anavyo laumiwa kuwa alitoa rushwa lakini kimsingi kuna maswali ya msingi ya kujiuliza:
>Kama jamaa alipata pesa alizo kuwa ameporwa bila kujua na akaja kupata mahakamani,na akalipa kodi ya serikali kama alivyo takiwa,wizi wake hapa uko wapi?
>Upande wa pili ambao ulikua na hisa zaidi ya 70% ambao ndio walio husika kuiba pesa hizo kwa msaada wa Ikulu,lakini pia kwa kutumia benki ya Stanbic kugawa mabilioni ya pesa na mpaka sasa hakuna hata alie hoji wala kutaja orodha iyo ambako kuna semekana vigogo na vinara wakubwa wa wizi huo wako huko,na bank husika bado inafanya shughuli zake bila matatizo yoyote.Pia ikumbukwe huyu mbia alie miliki asilimia 70% pamoja na utapeli wote lakini pia hakulipa serikalini kodi hata senti moja??Je kuna nini upande huo??
Swali kubwa na la msingi sana,ni kuona na kutafakari kwanini kila kukicha kelele ni zile zile za watu wa Mkombozi Bank ambao pamoja na yote mpaka sasa mahakama zimeshindwa kuwachukulia hatia kwasababu zimeona hakuna makosa aliyo fanyika kwani Ruge alikua na mamlaka ya kutumia pesa zake atakavyo.ila mbona kuna nguvu kubwa hisio ya kawaida inatumika kuwalinda hawa jamaa wa upade wa pili wakiongozwa na bwana Singa singa??
Wadau naomba niishie hapo kwa leo,tafadhari pitia hukumu hii kwa umakini hapa chini na tujadili.
Nawasilisha
View attachment 405593 View attachment 405594 View attachment 405595 View attachment 405596 View attachment 405597 View attachment 405593 View attachment 405593 View attachment 405594 View attachment 405595 View attachment 405596 View attachment 405597 View attachment 405598 View attachment 405599 View attachment 405600
Angeweza kama angepata Support. Kila kukicha ni kumkashifu,kumvunjia heshima, kudharau, kumdhalilisha kumtukana n.k Halafu eti unataka afukue vya mtangulizi wake kwa watu wasio na shukrani kama ninyi. Naamini na yy ameona ninyi si wa kuwakimbilia. Unafikiri nani atakuwa mfariji wake. Mimi nahakika Magu angeweza kufanya yasiyotarajiwa kwa kuwa ana uthubutu ila ss anamfanyia nani? Ss tuliowanafiki hata shukrani hatuna. .ili akikorofishana na wenzake tukae tumcheke. ..peleka huko upuuzi wako !!
uko sahihi mkuuHivi bado CCM wanayo moral authority ya kuongoza nchi hii kweli? Na sijui anajisikiaje kuwa mwenyekiti wa chama kama hiki huku yeye mwenyewe akijivisha joho la mtetezi wa wanyonge. I don't understand.Kwa bahati mbaya sana katika serikali hii bado tunaona dalili za wazi za kuwalinda mafisadi badala ya kuwashuhulikia kwa nguvu zote. Mahakama zipo, mahakimu wapo, mafisadi wapo, nini tatizo? Inakera kwa kweli.
Tumpe muda,labda anayapitia hayo mafail ili aelewe kwanza kabla ya kuongea,wapinzani wake wasijepata pa kuanziaHawezi kugusa
Ruge hakuwahi kukamata bilion 75,tena sasa kwa kuwekeza kiplot tu,hata ningekuwa mimi ningepagawa,mashehe wangekula bilion moja moja kama asante,mwalimu mkuu wangu angekula milion 500,waziri wa nishati mstaafu nisingemsahau kwani hakunifanyia roho mbaya katika mchakato wa kukamata kandarasi etc.
Biashara ya kuuza umeme ina pesa msifanye mchezo.
Hao IPTL Wanatuuzia megawat 100 za umeme,
megawat hizo ni sawa na Unit milion 100,
sasa zidisha unit milion mia moja mara sh 100 kama sikosei unapata Tsh bilion 10 kwa siku.
Halafu mnalalamika wao kulipwa milion 400 kwa siku?
Nasikia pia IPTL ndo wana bei chini kuliko hao Richmond
Kuwa mbia sio lazima uchangie pesa tu. Kwenye nchi za wenzetu unaweza kuwa shareholder kwa kuchangi Tenchology, Expertise, na kadhalika.Katika mradi huo sidhani Ruge alikuwa kachanga hata senti kununua ile mitambo na kuisimika,yeye katika ubia huo alikuwa katoa shamba lake la mihogo kama plot,
nadhaani malipo yalipotoka singer akaona uzito kugawana na ruge ambae hakuwa na mchango wa pesa katika mradi zaidi ya kiwanja na kuwa na connection serikalini.
Ni baada ya ruge kuona yeye kama mbia anaweza asiambulie kitu ndo kaenda mahakamani,na singer akaona isiwe tabu kama mradi ukiwa wake na akamudu kuzalisha megawat 500 atakula hela ndefu kuliko vile vijisenti,akaamua kununua zile asilimia 30 za hisa za Ruge kwa bilioni 75,akampay off,
Ruge ambaye alikuwa hajawahi kukamata kitita kama hicho akapagawa,akaanza kulipa fadhila,
sijui ile plot aliipataje,ruge akampa tibaijuka bilion moja,kumbuka kipindi hicho tibaijuka alikuwa waziri wa ardhi,nadhani ile haikuwa rushwa bali shukrani,akakumbuka pia maaskofu walikuwa wakimuombea na baraka zimefurika,akawapa mabilioni,akagawa makanisani na baadhi ya viongozi waliokuwa wakimnyooshea mambo yake,actually katika bilion 75 inawezekana alitumia bilion 5 tu kugawa takrima,bilioni 70 akatia kibindoni na kuachana na PAP.
SASA katika hela ya escrow ukitoa ile alilipwa ruge zinabaki ngapi vile?
yule mzee ni dalali mzuri sana kumbe hata ishu ya bandari ya bagamoyo yumo?,Wewe unamjua Ruge au unamsikia kwenye vijiwe Ruge huyu aliyekuwa ameshinda zabuni yaujenzi wa bandari ya bagamoyo trioni 54 unasema alipagawa na bilion 76?
Ruge huyu anayemiliki jengo la gorofa 12 katikati ya mji tena posta unamuita alipagawa na hiyo pesa we umjui Ruge wewe Ruge anayeishi kwenye Nyumba ya kifahari south Africa tena Johannesburg?
Fanya utafiti kuhusu huyu bepari mkuu