ESCROW sio siri tena, mambo yote hadharani

ESCROW sio siri tena, mambo yote hadharani

Hapa ndipo nilipo ona Udhaifu wa TISS...hata DG wa sasa alikuwa kule Bot na alikuwa kwenye kitengo cha Risk Management aliyajuwa haya yote.
 
Thubutu! Ikulu itawaka moto na nchi kupata tetemeko kubwa sana. Visingizio visivyokwisha ili kuendelea kuficha na kulinda maovu yao chungu nzima.
unajua hiyo ishu siyo kubwa kivile,singesinga kabla hajalipwa alikubali kuwa yakitokea matatizo yeye ndo atakuwa responsible,
na ujuwe wakati standard bank wanamkopesha mechmar,Tanzania haikuwepo na haihusiku na kuhakikisha mkopo wa mwekezaji bank unalipwa ama la.
Tanzania imelipa malipo ya umeme uliotumika fullstop,Tanzania haiwajibiki kumlipia mwekezaji deni alilokopa bank,na hata ikibidi kulipa basi kitakachofanyika malipo ya umeme ulionunuliwa toka PAP ,kuanzia 2015 hadi leo yanaweza kuelekezwa standard chartered.

Singer alitumia bilion 75 kumlipa Ruge,
logic tu inasema kuwa alibahakiwa na kiasi kidogo ambacho alikitumia kucover expense za kuendesha mitambo na kiasi kama faida yake,sasa angekuwa bwege sana eti hela aliyobakiza tena aipeleke stanbick na kuendelea kuzigawa kama sandakalawe utadhani yeye ni father xmasi,ndo maana mtasubiri sana orodha ya visado vya stanbick na hamtayaona kwani hayapo,singasinga ni mfanyabiashara mzoefu hawezi kugawa pesa holela kama yule nshomile
 
Mh Magufuli atawatumbua Sana watumishi wazembe kwa unyonge wao,atawafukuza na kuwa funga Sana watumishi hewa kwa unyonge wao na atawasurubisha Sana wanasiasa wa upinzani kwa Sababu ya unyonge wao lakini hapa kwenye ESCROW ndiyo break yake.

Hata uwe mtakatifu vipi bila kuikataa CCM na kazi zake zote ni lazima ugeuke kuwa mjusi,hata uwe mchapa kazi vipi bila kuikata CCM na kazi zake zote lazima uwe legelege,hata Kama uwe mbishi na mjuaji Sana bila kuikata CCM na kazi zake zote lazima ubadilike na kuwa mtu wa ndiyo mzee na hata kama uwe Moto Sana kiutendaji bila kuikataa CCM na kazi zake zote lazima urudi ukiwa baridi Kama kifaranga cha kuku kilichokosa Joto la mama yake.
Atakuambia ni utawala wa sheria acha vyombo husika vifanye kazi yake kwakua tyr washanzisha mahakama hzo huku wakisema wanasubiri rufan iliyokatwa na tanesco kuzaa matunda..
 
Watafutwe wote waliohusika kuanzia Maswi, Muhongo, Ndulu wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.
May be they should be skinned alive. This is the only way to get and fix more culprits. Absence of this the case gonna take centuries and at that time our grand grand children will have died
Thanks and enjoy the discussion.
 
Katika mradi huo sidhani Ruge alikuwa kachanga hata senti kununua ile mitambo na kuisimika,yeye katika ubia huo alikuwa katoa shamba lake la mihogo kama plot,
nadhaani malipo yalipotoka singer akaona uzito kugawana na ruge ambae hakuwa na mchango wa pesa katika mradi zaidi ya kiwanja na kuwa na connection serikalini.
Ni baada ya ruge kuona yeye kama mbia anaweza asiambulie kitu ndo kaenda mahakamani,na singer akaona isiwe tabu kama mradi ukiwa wake na akamudu kuzalisha megawat 500 atakula hela ndefu kuliko vile vijisenti,akaamua kununua zile asilimia 30 za hisa za Ruge kwa bilioni 75,akampay off,

Ruge ambaye alikuwa hajawahi kukamata kitita kama hicho akapagawa,akaanza kulipa fadhila,
sijui ile plot aliipataje,ruge akampa tibaijuka bilion moja,kumbuka kipindi hicho tibaijuka alikuwa waziri wa ardhi,nadhani ile haikuwa rushwa bali shukrani,akakumbuka pia maaskofu walikuwa wakimuombea na baraka zimefurika,akawapa mabilioni,akagawa makanisani na baadhi ya viongozi waliokuwa wakimnyooshea mambo yake,actually katika bilion 75 inawezekana alitumia bilion 5 tu kugawa takrima,bilioni 70 akatia kibindoni na kuachana na PAP.
SASA katika hela ya escrow ukitoa ile alilipwa ruge zinabaki ngapi vile?

Humjui kabisa Rugemalira na umeishia kuandika uongo juu yake. IPTL ilihengwa wakati wa Rais Mwinyi hivi i kweli usemayo kuwa Tibaijuka alikuwa ni waziri ambaye alimpa kiwanja wakati huo?
 
ANaweza kuzuia tu haya yasitokee tena inatosha!Kufukua mambo ambayo hukuwa na maamuzi nayo sioni kama kuna umuhimu!Kila zama na kitabu chake
Haaaa kwahio magu atulie tuuu ama nn, na hayo mabilion nan atalipa uktaka magu akaushe???.

walokula ndo walipe
 
Hili liko ndani ya uwezo wa uwezo wangu: umesema Ruge hakuwahi kukamata kitita kama kile? Yaani yale ndo mabilioni ya kwanza Ruge kushika??? Mmmm

Hamjui Rugemalira yeye amekuja kumtetea singasinga
 
Ni nania ya dhati ya kuwatumikia watanzania, na ni bora mnite mbaya... Ntakuaa Malaika mbinguni.... Nitanyoka nao Mbele.... It is the best time to prove these statements!!,

Escrow ni scandal iliyoumiza mio ya walalahoi wa nchi hii!! Toka niwe mtu mzima ndy wakat pekee nilipohate politicians...,,!!!!!!
 
Hili liko ndani ya uwezo wa uwezo wangu: umesema Ruge hakuwahi kukamata kitita kama kile? Yaani yale ndo mabilioni ya kwanza Ruge kushika??? Mmmm
Ruge hakuwahi kukamata bilion 75,tena sasa kwa kuwekeza kiplot tu,hata ningekuwa mimi ningepagawa,mashehe wangekula bilion moja moja kama asante,mwalimu mkuu wangu angekula milion 500,waziri wa nishati mstaafu nisingemsahau kwani hakunifanyia roho mbaya katika mchakato wa kukamata kandarasi etc.

Biashara ya kuuza umeme ina pesa msifanye mchezo.
Hao IPTL Wanatuuzia megawat 100 za umeme,
megawat hizo ni sawa na Unit milion 100,
sasa zidisha unit milion mia moja mara sh 100 kama sikosei unapata Tsh bilion 10 kwa siku.

Halafu mnalalamika wao kulipwa milion 400 kwa siku?
Nasikia pia IPTL ndo wana bei chini kuliko hao Richmond
 
Back
Top Bottom