Watumishi Ndio Punching Bag ya Rais!Mh Magufuli atawatumbua Sana watumishi wazembe kwa unyonge wao,atawafukuza na kuwa funga Sana watumishi hewa kwa unyonge wao na atawasurubisha Sana wanasiasa wa upinzani kwa Sababu ya unyonge wao lakini hapa kwenye ESCROW ndiyo break yake.
Hata uwe mtakatifu vipi bila kuikataa CCM na kazi zake zote ni lazima ugeuke kuwa mjusi,hata uwe mchapa kazi vipi bila kuikata CCM na kazi zake zote lazima uwe legelege,hata Kama uwe mbishi na mjuaji Sana bila kuikata CCM na kazi zake zote lazima ubadilike na kuwa mtu wa ndiyo mzee na hata kama uwe Moto Sana kiutendaji bila kuikataa CCM na kazi zake zote lazima urudi ukiwa baridi Kama kifaranga cha kuku kilichokosa Joto la mama yake.
Wenzetu chochote wanachofanya wanahahakisha kina benefit kwa wananchi kwanza. Wana sign contract ambayo itawafaidisha wananchi lakini huku kwetu ni tofauti, maslahi yao mbele wananchi baadae!nakubaliana nawe,huyu mzee ni facilitater,au analobby kwenye makorido ya ofisi za serikali,haya mambo ya kufanya lobbying yapo hata washington na dunia nzima kwa ujumla,na pesa huwa inatumika kulobby mawaziri,masenetor ili fulani apate kandarasi etc,sema huku kwetu inaweza kuitwa rushwa na ufisadi
Watafutwe wote waliohusika kuanzia Maswi, Muhongo, Ndulu wafikishwe kwenye vyombo vya sheria.
mwinyi hakuleta IPTL mkuu,unajua kipindi kile mwaka 1995 yalikuwepo maongezi kati ya nchi zinazoendelea na zile nchi za tiger economy kushirikiana kiuchumi ili kuepukana na unyonyaji wa nchi za magharibi,enzi hizo kiongozi wa malasysia ndo alikuwa kama rule model ya kuitoa malay katika umasikini na kuwa nchi ya viwanda,mojawapo ya zao la maongezi hayo mwaka 1996 mwinyi akiwa tayari kashaachachia madaraka ndo kina ruge akaingia ubia na kampuni la malaysia la mechmar,hili kampuni linatengea boiler na pia power plant,wakaungana na Ruge na kuunda kampuni iliyoitwa IPTL,
KAMPUNI YA NJE ILI IWEKEZE ILIKUWA LAZIMA ISHIRIKIANE NA MZAWA,
ndo huyo Ruge akatoa kiwanja,kama mchango wake,mechmar wakachukua mkopo bank za malasia na kununua mitambo 10 ya kuzalisha umeme,mkopo ulikuwa dola milioni 100,
wakaleta mitambo na kuisimika katika plot ya Ruge,
hadi inafika mwaka 1998 ,IPTL haijaanza uzalishaji na mwinyi hakuwepo.
Sijasema waziri Tibaijuka ndo alimpa kiwanja Ruge,kwani kipindi mitambo inajengwa tibaijuka alikuwa bado yuko UN
nauli kutoka hapa mpaka malaysia kipindi kile haikuwa kubwa sana,na yule jamaa kasoma soma kidogo kwahiyo kufanya connection haikumpa tabu sanaSasa mkuu huoni kuwa unajivuruga mwenyewe, hivi mtu aliyepagawa na Bil 75 alipoziona alipata wapi hiyo connection ili awe partiner wa kampuni kubwa ya nje kama Mechmar au ndio mambo kama ya mmiliki wa LUGUMI, nilisoma mahali sijui alikuwa fundi viatu ila sina uhakika
yule mzee ni dalali mzuri sana kumbe hata ishu ya bandari ya bagamoyo yumo?,
ila si wanajenga wachina na oman,ila yeye anajua kuupepeta mdomo,nadhani ndo coordinator ya shughuli nzima.
Hebu taja vitega uchumi vikubwa anavyomilki huyu babu,iwe hapa Tanzania ama south africa,ukiachia VIP[/QUOTl