Nafikiri bango linamwambia Rais amuulize Aga Khan hilo swali.hapo ask ilitakiwa iwe asks
Asks ingemaanisha Rais amuuliza Aga Khani. Sidhani hili ndio lengo la bango kutoa taarifa.
Nafikiri bango linamwambia Rais amuulize Aga Khan hilo swali.hapo ask ilitakiwa iwe asks
Sasa utajuwaje kama na wao ni wasomi?Kwann msijikite kwenye Mada zaidi kuliko iko kiingilish
Yaani wewe hujui grammar!hapo ask ilitakiwa iwe asks
no please not correct. Rudia kusomahapo ask ilitakiwa iwe asks
Hilo ni bango,kwahiyo ni wazi kuwa shigongo anauliza,this means yuko sawa.Upo sahihi kama ndo magu kamuuliza agha khan, lakin kama shigongo anamuomba raisi amuulize agha kan bas shigongo yupo sahh
Is that a reported speech?hapo ask ilitakiwa iwe asks
Anaandika hivyo ana ushahidi au kujipendekeza at work ?Go direct to insta page yake.
![]()
Kwani ikiwa fast class hatutakiwi tujazane hukokwani Rais hajui hilo?
ile ni first class hospital kwa hapa tanzania, kuruhusu nhif kila mtu atakimbilia pale...
Na mimi nilivutiwa na ujasiri ule maana alienda direct nategemea kwanzaNdio tena akiwa Ikulu alihoji kwa nini gharama zenu ziko juu wakati mnapewa ruzuku..?
Alimwambia mtukufu wa Aghakan kuwa wakati mwingine ada yao inazidi shule na hospitali ambazo hazina ruzuku.
Mtukufu wa Aghakan alimjibu Mh.Magufuli Kuwa nitafanyia kazi.
Magufuli alionyesha nia ya kutoza kodi kwenye hiyo taasisi....ndio maana matukufu wao akatia timu kwa lazima Tanzania.
Na wamesahau "asks Saint "Kwanini iwe asks, is 'ask' gramatically wrong? Hapo ni anasema, "Rais, muulize..." ila wewe unataka aseme, "Rais amuuliza..", kwani wewe ndio ulitunga maudhui ya hilo bango?
Are you sure?hapo ask ilitakiwa iwe asks
Watu mbona mna vichwa vigumu hivi, hebu soma alichoandika uelewe sio kuleta ujuajiTulimwona kwenye TV, rais akiwa pamoja na Agha Khan akisema kwamba amemuuliza Agha Khan kwa nini gharama za huduma zitolewazo kwenye hospitali zao ziko juu sana na hawakubali bima ya afya ya taifa ili hali serikali inawasamehe kodi?
Hicho ndicho rais Magufuli alimuuliza Agha Khan. Hivyo Shigongo alitakiwa aandike asked na siyo ask wala asks!
Kwani ni kodi gani wanatakiwa walipe?.Corporate tax au gani labda?.Maana sina uhakika kama Hospitali na shule wanalipa Income tax,Sababu wako service oriented zaidi.Kumbe uwa hawalipi kodi... sikujua hili.
Je hospital nyinginekama Rabinsia memorial hospital, Hubert Kairuki, SARI International hospital nao hawalipi kodi?
Ni vigezo gani vinatumika katika kuamua nani alipe na nani asilipe?