Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 5,268
- 10,069
Anaushahidi, alimpeleka mama yakeAnaandika hivyo ana ushahidi au kujipendekeza at work ?
Anaushahidi, alimpeleka mama yakeAnaandika hivyo ana ushahidi au kujipendekeza at work ?
siyo kweli, hiyo ni request kabla Ya questionhapo ask ilitakiwa iwe asks
Well said hajakosea kabisaMkuu kingereza kilikuja na meli unakosoa kilicho sawa hajakosea kuandika ask na siyo asks kama unavyotaka.
Unajifanya unajua, na kumbe hujuihapo ask ilitakiwa iwe asks
Kumbe uwa hawalipi kodi... sikujua hili.
Je hospital nyinginekama Rabinsia memorial hospital, Hubert Kairuki, SARI International hospital nao hawalipi kodi?
Ni vigezo gani vinatumika katika kuamua nani alipe na nani asilipe?
Yupo sahihi hajakosea mkuuhapo ask ilitakiwa iwe asks
NHIF walikuwepo, ugomvi ulikuja kwenye bei za huduma, mpaka kuna kipindi NHIF nao walikuwa na ofisi pale pale kiasi kwamba kabla ya huduma unawapelekea wanathibisha kwenye dirisha lao.
Baadae naona wameshindwana.
ASK ndiyo iko sahihi kwani Shigongo anamwambia rais amwulize Agakhan,wewe ndiye umekosea.hapo ask ilitakiwa iwe asks
Hata mimi hapo nashangaaHata hapo mimi nashangaa
AiseeHata mimi hapo nashangaa
Hakuna kitu kama hicho kweli ndo maana wakenya wanatucheka sasa weka hizo scenario zote kisha isome kama italeta maana. Ukikosea kubali usijipongeze pasipostahili. Kwa ufikiri wako hizo doesn't na he zitaendelea kubaki kama zilivyo?yaan ipo sahihi katka scenario zote mbili[emoji15] [emoji15]
Yani upo sahh if magu ndo kauliza
Na yupo sahh if shigongo ndo kamtaka magu amuulize
acha mbwembwe hujui kiingereza, yupo sahihi.hapo ask ilitakiwa iwe asks
Mbona hata tuliokata bima ya afya bado magonjwa na tiba nyingine bima hawahusiki.kwani Rais hajui hilo?
ile ni first class hospital kwa hapa tanzania, kuruhusu nhif kila mtu atakimbilia pale...
Hapana hakuna hiyo sheriaYani huyu jamaa kakosea tu vyovyote maana kama ni Raisi kauliza basi kusingekuwa na alama ya kuuliza hapo mwishoni.
Kwa muundo wa hiyo sentensi ni dhahiri lilikuwa swali, hakuna mbadala, usijaribu kumsahihisha kwa kumpaka mafuta haha.
Baada ya kusema hayo, je, kuna sheria kuwa vituo vyote vya afya lazima viikubali bima ya afya itolewayo na NHIF?
Umeniangusha sanahapo ask ilitakiwa iwe asks
Tulia basi!mmmmh unaona ipo sahihi?
hapo ask ilitakiwa iwe asks