Erick Shigongo kailipua hospitali ya Aga Khan

Erick Shigongo kailipua hospitali ya Aga Khan

Kwann msijikite kwenye Mada zaidi kuliko iko kiingilish

Kwani Mtu kutokujua Kiingereza halafu akawa ' anawashwawashwa ' hakuwezi pia kuwa mada ndogo ndani ya mada kuu / husika? Kwani alilazimishwa ajifanye Yeye ni ' Wordsmith ' wakati kumbe kiuhalisia hayuko hivyo? Kila siku huwa nasisitiza humu kuwa tujikite sana katika kuwasiliana tu kwa Lugha yetu iliyotukuza, tuliyoizoea na tunayoiweza vyema ya Kiswahili lakini bado hamsikii na mnajifanya kutaka kuonekana mmesoma na kuja humu na ' Viingereza ' vyenu vya ' hovyo hovyo ' hadi mnatia aibu na mnajichoresha tu na wanaokijua ipasavyo halafu hata ' hawakishobokei '. Hakuna lugha ninayoipenda duniani kama Kiswahili.
 
Acha ukilaza, iyo tense iko Sawa

Mkuu kumbe na Wewe unajua Kiingereza? Safi sana na nitaomba kama utaweza nije unipige ' msasa ' nami niwe ' nondo ' kama Wewe na ikiwezekana hata nimzidi Mwenye lugha yake Mwalimu Ras Simba wa Mwenge.
 
Kama Raisi ndio amemuuliza upo sahihi,lakini kama shigongo anamuomba Rais amuulizee haupo sahihi.Hata hivyo kwa uelewa angu shigongo ndio kaauliza,angekuwa ni Raisi **** maneno yangeondoka hapo ili swali liwe indirect.
Mkuu nimependa hayo maneno ya kwenye status
 
Una uhakika mkuu kwamba kawaambia hvyo?
Ndio tena akiwa Ikulu alihoji kwa nini gharama zenu ziko juu wakati mnapewa ruzuku..?

Alimwambia mtukufu wa Aghakan kuwa wakati mwingine ada yao inazidi shule na hospitali ambazo hazina ruzuku.

Mtukufu wa Aghakan alimjibu Mh.Magufuli Kuwa nitafanyia kazi.

Magufuli alionyesha nia ya kutoza kodi kwenye hiyo taasisi....ndio maana matukufu wao akatia timu kwa lazima Tanzania.
 
Mbona Mh. Rais JPM alimuuliza Agha Khan kwa nini huduma za matibabu ziko juu na wakati wanapata Msamaha wa Kodi!? Na Agha Khan alitoa maelekezo mbele ya Mh. Rais kwa Viongozi wa Agha Khan Hoapital kulishughulikia hilo suala haraka iwezekanavyo. Sina hakika na hili suala la NHIF.....ila Mh. Rais wa JMT alizungumzia suala la gharama kubwa za matibabu Agha Khan Hospital kwa ujumla.
 
Kumbe uwa hawalipi kodi... sikujua hili.
Je hospital nyinginekama Rabinsia memorial hospital, Hubert Kairuki, SARI International hospital nao hawalipi kodi?
Ni vigezo gani vinatumika katika kuamua nani alipe na nani asilipe?
Hata hapo mimi nashangaa
 
IPO sahihi kama ndo magu kamuuliza agha khan, lakin kama shogongo anamuomba raisi amuulize agha kan bas yupo sahh
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Kumbe uwa hawalipi kodi... sikujua hili.
Je hospital nyinginekama Rabinsia memorial hospital, Hubert Kairuki, SARI International hospital nao hawalipi kodi?
Ni vigezo gani vinatumika katika kuamua nani alipe na nani asilipe?
Nadhani taasisi za kidini ziko exempted kulipa kodi
 
Go direct to insta page yake.

20171016_211607-png.610792

Nadhani angemwambia JPM apandishe huduma za hospital za umma kusiwe na haja ya kwenda agha khan
 
Kumbe uwa hawalipi kodi... sikujua hili.
Je hospital nyinginekama Rabinsia memorial hospital, Hubert Kairuki, SARI International hospital nao hawalipi kodi?
Ni vigezo gani vinatumika katika kuamua nani alipe na nani asilipe?
Hao ni Freemason group. Mengine ni blah blah.
 
Back
Top Bottom