Erick Shigongo kailipua hospitali ya Aga Khan

Erick Shigongo kailipua hospitali ya Aga Khan

Mkuu kingereza kilikuja na meli unakosoa kilicho sawa hajakosea kuandika ask na siyo asks kama unavyotaka.
Hiyo siyo reported speech wewe yuko sahihi kutoweka "s" coz anamuagiza Mr P amuulize/akamuulize agha khan siyo Mr P anamuuliza aghakhan

Mr P asks.....

Mr P ask.....

Mr P asked......
 
Yani upo sahh if magu ndo kauliza

Na yupo sahh if shigongo ndo kamtaka magu amuulize
Tulimwona kwenye TV, rais akiwa pamoja na Agha Khan akisema kwamba amemuuliza Agha Khan kwa nini gharama za huduma zitolewazo kwenye hospitali zao ziko juu sana na hawakubali bima ya afya ya taifa ili hali serikali inawasamehe kodi?

Hicho ndicho rais Magufuli alimuuliza Agha Khan. Hivyo Shigongo alitakiwa aandike asked na siyo ask wala asks!
 
kwani Rais hajui hilo?
ile ni first class hospital kwa hapa tanzania, kuruhusu nhif kila mtu atakimbilia pale...

NHIF walikuwepo, ugomvi ulikuja kwenye bei za huduma, mpaka kuna kipindi NHIF nao walikuwa na ofisi pale pale kiasi kwamba kabla ya huduma unawapelekea wanathibisha kwenye dirisha lao.

Baadae naona wameshindwana.
 
Tulimwona kwenye TV, rais akiwa pamoja na Agha Khan akisema kwamba amemuuliza Agha Khan kwa nini gharama za huduma zitolewazo kwenye hospitali zao ziko juu sana na hawakubali bima ya afya ya taifa ili hali serikali inawasamehe kodi?

Hicho ndicho rais Magufuli alimuuliza Agha Khan. Hivyo Shigongo alitakiwa aandike asked na siyo ask wala asks!

Shigongo mwaka huu ndo kasema anarudi shule kusoma, so msamehe kwa hilo.

Labda alimaanisha hicho ulichokisema, unless post iwe ya kabla ya Rais kukutana na huyo mtu.
 
Kwani Agakhan inatoa huduma gani tofauti na regency? Or kairuki? Or Rabininsia?
Mbona hizo ni hospital private nzuri tu na wanapokea kadi za NHIF?
Tena Iyo rabbinsia ni nzuri tu,,,watu wengine utawaweza mbwembwe
 
Kwanini iwe asks, is 'ask' gramatically wrong? Hapo ni anasema, "Rais, muulize..." ila wewe unataka aseme, "Rais amuuliza..", kwani wewe ndio ulitunga maudhui ya hilo bango?
Kwenye hilo bango hamna , baada ya President. Naona wengi wanasema alietaka iwe ASKS kakosea lakini kiuhalisia amepatia. Ingekuwa hivi

Mr President, ASK Agha Khan( hio alama , ndio ingeondoa S).......au
Mr President ASKS Agha Khan....


20171016_211607-png.610792
 
Si unajua tena kale kaugojwa tulikologwa na mwingereza, nafikiri huyo gavana aliyekuja Tanganyika naye alikuwa anaongea brocken tofauti na aliyeelekea Kenya na Uganda maana imeshaashindikana na hakuna jinsi tena. Usome ulaya, english medium, uwe professa, uishi hata nusu ya maisha yako ulaya lakini ukiambiwa ukiongee chenyewe tupu nusu saa lazima brocken za kufa mtu utaziona. Mbaya zaidi tunajifanya tunakijua unapoongea kiswahili ndio unayachanganya sasa ( kiswanglish) mfano kuna kakipindi kapo chanel one kanaitwa HOOPS kananiudhi kweli kweli vitangazaji vyake vinaongelea puani kiswahili eti vinajifanya vimarekani si waendeshe kipindi kizima kizungu tuwaone?. Na vidada vya sikuizi ndio vinajifanya vizungu vinaongea ka ishara sasa kabananishe ka flow chenyewe tupu uone ma you know kibao
Mkuu binafsi mimi ni shabiki wa basketball ila hao jamaa wa HOOPS wananikera vibaya sana kiingereza chao cha kubania puani.
 
Hiyo siyo reported speech wewe yuko sahihi kutoweka "s" coz anamuagiza Mr P amuulize/akamuulize agha khan siyo Mr P anamuuliza aghakhan

Mr P asks.....

Mr P ask.....

Mr P asked......
Unaongea na mimi au unaongea na simu....???
 
Back
Top Bottom