Hukusoma structure na wewe ?asks kwa nini?hapo ask ilitakiwa iwe asks
Mkuu kingereza kilikuja na meli unakosoa kilicho sawa hajakosea kuandika ask na siyo asks kama unavyotaka.hapo ask ilitakiwa iwe asks
Kama Raisi ndio amemuuliza upo sahihi,lakini kama shigongo anamuomba Rais amuulizee haupo sahihi.Hata hivyo kwa uelewa angu shigongo ndio kaauliza,angekuwa ni Raisi **** maneno yangeondoka hapo ili swali liwe indirect.hapo ask ilitakiwa iwe asks
Si unajua tena kale kaugojwa tulikologwa na mwingereza, nafikiri huyo gavana aliyekuja Tanganyika naye alikuwa anaongea brocken tofauti na aliyeelekea Kenya na Uganda maana imeshaashindikana na hakuna jinsi tena. Usome ulaya, english medium, uwe professa, uishi hata nusu ya maisha yako ulaya lakini ukiambiwa ukiongee chenyewe tupu nusu saa lazima brocken za kufa mtu utaziona. Mbaya zaidi tunajifanya tunakijua unapoongea kiswahili ndio unayachanganya sasa ( kiswanglish) mfano kuna kakipindi kapo chanel one kanaitwa HOOPS kananiudhi kweli kweli vitangazaji vyake vinaongelea puani kiswahili eti vinajifanya vimarekani si waendeshe kipindi kizima kizungu tuwaone?. Na vidada vya sikuizi ndio vinajifanya vizungu vinaongea ka ishara sasa kabananishe ka flow chenyewe tupu uone ma you know kibaohapo ask ilitakiwa iwe asks
mmmmh unaona ipo sahihi?Hukusoma structure na wewe ?asks kwa nini?
Upo sahihi kama ndo magu kamuuliza agha khan, lakin kama shigongo anamuomba raisi amuulize agha kan bas shigongo yupo sahhmmmmh unaona ipo sahihi?
yaan ipo sahihi katka scenario zote mbili[emoji15] [emoji15]IPO sahihi kama ndo magu kamuuliza agha khan, lakin kama shogongo anamuomba raisi amuulize agha kan bas yupo sahh
Yani upo sahh if magu ndo kaulizayaan ipo sahihi katka scenario zote mbili[emoji15] [emoji15]
hili lijamaa limejifanya kujua afu likaangukia puaHukusoma structure na wewe ?asks kwa nini?
ZuliSwali zuli na linahitaji majibu mazuri.
Vipi bibi tukinao..?? Vita yako ya akaunti ya mange imeisha???Hukusoma structure na wewe ?asks kwa nini?
Acha ukilaza, iyo tense iko Sawahapo ask ilitakiwa iwe asks