Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram, Mbunge wa Jimbo la Buhosa, Erick Shigongo, ameandika:
Taarifa Maalum.
Ndugu wananchi,
Watanzania wenzangu,
Napenda nichukue nafasi hii kuwataarifu juu ya kinachoendelelea kwenye suala letu la Bando kupotea.
Nilishindwa kufungua kesi yetu moja kwa moja mahakamani sababu sheria inataka kabla ya kufanya hivyo ni lazima kuwasilisha malalamiko rasmi Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania, kama itashindikana hapo ndipo mlalamikaji atapeleka shitaka Mahakamani…
Wiki iliyopita kupitia kwa mawakili wangu SLA LEGAL ADVISORY, niliwakilisha kwa niaba yenu barua ya malalamiko Mamlaka ya Mawasiliano(TCRA), Tumewapa siku 90 baada ya hapo ni mahakamani…
Asanteni sana.
Ni mimi Eric Shigongo James tukutane leo saa mbili usiku
Turn on post notification usiseme hukusikia..✍️
---------
Soma pia

- https://www.jamiiforums.com/threads...-ccc-isimamie-wananchi-wananungunika.2434585/
- https://www.jamiiforums.com/threads...net-katika-bando-la-mitandao-ya-simu.2448483/
- https://www.jamiiforums.com/threads...e-lihamishiwe-kwenye-kifurushi-kipya.2434616/