Huyu bwana namshangaa kidogo. Swali kwako mkuu; Umewahi kumtongoza mtoto wa mwenye nyumba? Ombi lako likikubaliwa utamwingizaje chumbani kwako kilicho opposite na cha mzee? Jibu ni rahisi tu, meeting point ni chooni. Umewahi kwenda kumtembelea rafiki yako ukamdaka shem? Meeting point ni wapi? Chooni.
Hakuna mahali palipo chaguliwa kwa kazi hiyo. Ni pale convinient na kwa wakati huo. Kama uliwahi kuiba, kwa ajili ya haraka chooni ndo penyewe, mapenzi yakikolea unaleta ndani