Epuka kufanya mapenzi bafuni au chooni

Epuka kufanya mapenzi bafuni au chooni

Wachangiaji, nadhani mtoa mada anamaanisha vitu visivyoonekana kwa maana ya viumbe vya kiroho. Kuna ushahidi usio na shaka kuwa kuna uhusiano kati ya choo/bafu na makazi ya majini/mapepo/roho chafu na ngono ni tendo la kimwili lenye athari za kiroho; fo sho majini hupenda kukaa kwenye matumbo ya uzazi ya wanawake.

Sidhani kama kumbeza ni vizuri. Uhusiano wa chumvi na alichokisema siufahamu ila naweza kuwa na picha ya anachotaka kusema. Kuna wakati niliwahi kuishi maeneo yenye ushirikina wa kiwango cha kati, wenyeji wanadai kuwa huwezi kufanya shughuli kama ujenzi ikafanikiwa; hivyo wakapendekeza kabla ya kuanza mradi unyunyize chumvi na kunuia mema kwa unachotaka kufanya.

Mti wa Chuma, ahsante kwa tahadhari!
 
sasa we na mleta mada kuna tofauti gani mkuu....
Hizo imani potofu tu...chumvi ya kuweka kwenye mboga bwana sio chooni, kumbuka fikra huumba.... namaanisha ukifanya chumvi kuwa ulinzi wako ipo siku hutaiweka hapo na utahisi kama kweli kuna tatizo,shetani hachelewi kukuvuruga hapo maana ameishajua udhaifu wako...

achana na hayo mambo..mtegemee Mungu tu.
 
Siku hz tunatishana sana asee,,mlianza kusema kuongea ukiwa bafun ama chooni ni vbaya,leo tena jipya tuacheni imani potofu
 
sasa we na mleta mada kuna tofauti gani mkuu....
Hizo imani potofu tu...chumvi ya kuweka kwenye mboga bwana sio chooni, kumbuka fikra huumba.... namaanisha ukifanya chumvi kuwa ulinzi wako ipo siku hutaiweka hapo na utahisi kama kweli kuna tatizo,shetani hachelewi kukuvuruga hapo maana ameishajua udhaifu wako...

achana na hayo mambo..mtegemee Mungu tu.
Wakristo mnanishangaza sana!

Hii ni taaluma kama zingine, isipokuwa imefichwa na huonekana ya ajabu... Biblia imetaja mara kadhaa uwepo wa uchawi na madhara yake... Kumtegemea Mungu sio kukaa tu na kusali kinafiki huku una madhambi lukuki, mzinzi, msengenyaji na kadhalika, la sivyo kusingekuwa na haja ya kufanya kazi, si tungemtegemea Mungu tu?

Imani potofu ni kwenda kuombewa Kanisani ambako hakuna hata diklopa ya mia na ukategemea upone UKIMWI. Iweni tayari kujifunza...
 
Mapenzi Ni Uchizi Kaka Yani Ile Feeling Ya Kwamba Ur Being Nasty Na Ule Uprivate Wa Kule Juu Dah Ilikua Inanoga Sana. Kuna Siku Akaniambia Huko Juu Leo Sipandi Nikawa Mpole Eti Baadae Akapanda Afu Ananiita.
Ivyo Ndo Vitu Namkumbuka Na Yy Ananikumbushiaga.
Ananiitaga Mzee Wa Dari.

Hahahah...mkuu umeua
 
Umefanya utafiti au unatudanganya?Tupatie taarifa za Kisayansi sisi siyo mbulula bana
 
Asilimia kubwa ya wachangiaji mmekata huu uzi niliyoposti lakini huu ni ukweli 100% kama hujawahi kufanya mapenzi bafuni/chooni fanya uchunguzi uapate uthibitisho. Mchukue mwanamke mkafanye yenu huko baada ya hapo chunguza nini kinakutokea? kila siku utapenda kwenda kusex huko au unakuwa na tamaa kwa kila mwanamke unayemwona hata kama ni dada yako au nguvu za kiume kupungua nk
 
Ninachofahamu ni kwamba:
1. Chumvi ni dawa ya kufukuza mambo ya giza yasikudhuru, kwani hata baadhi ya maaskofu/wachungaji huwa wanashauri kwamba mbali na maji ya baraka, pia kumwaga chumvi kuzungukia kitanda chako kabla ya kulala ni jambo jema.
2. Inasemekana kwamba katika nyumba, "mambo ya giza" hupendelea sana kukaa bafuni/chooni.

Nimetumia neno "mambo ya giza" kumaanisha yale yale anayojadili mtoa mada.

Vinginevyo tumweke mungu mbele, yeye ndiye mlinzi wetu wa ukweli na uhakika.

Jamani jamani mimi ni mkiristo tena msabato msoma neno! Naomba fungu kwenye biblia linaloonesha kuwa chumvi inasadia kufukuza nguvu za giza! Kuamini chumvi ni sawa na kuamini hirizi. Ewe Bwana Yesu njoo upesi tumechoka na manabii wa uongo! Nguvu za giza zinafukuzwa kwa jina kuu kuliko majina yote,jina la Yesu Kristo pekee!
 
Huyu mleta mada atakuwa ni MROzi abadani.
 
Last edited by a moderator:
Habari msomaji wa uzi huu.

Ni siku nyingine tena tumekutana jamvini.

Twende kwenye mada...

Watu wengi hupendelea kufanya mapenzi wakiwa bafuni au chooni wakiwa wanaoga, asilimia kubwa wanaofanya hivo ni vijana.

Kuna hatari kubwa unaweza kupata ukifanya mapenzi bafuni ama chooni. Bafu na choo si sehemu pazuri pia si mahala salama, huko kuna viumbe wasionekana kwa macho ya binadamu.

Hivyo ukifanya mapenzi huko kuna uwezekano 100% viumbe hao wakakuingia mwilini na kusabibisha mambo mabaya juu yako, yakiwemo kuingiliwa kimwili ndotoni usiku unapokuwa umelaa.

Kuwa na tamaa ya ngono, kupungua nguvu za kiume, kama u mjamzito mimba kuharibika, ndoa/mahusiano kuvunjika, kutojisikia raha/hamu ya kufanya mapenzi. Hivyo ni hatari kufanya mapenzi bafuni au chooni.

Pamoja na hivo kama unatumia bafu/choo cha ndani na unapenda kusex huko kabla hamjafanya mapenzi fanya hivi; Chukua chumvi mwaga kidogo mlangoni mwa bafu au choo mtakuwa salama.

Kwa mentality ulizonazo mleta mada inaonekana kuna
siku utakija kusema kuwa tukienda msalani kujisaidia haja
kubwa na ndogo tusivue nguo kwani kuna vitu huko shimoni
vitatuchungulia kunako ""maeneo nyeti"".
 
Habari msomaji wa uzi huu.

Ni siku nyingine tena tumekutana jamvini.

Twende kwenye mada...

Watu wengi hupendelea kufanya mapenzi wakiwa bafuni au chooni wakiwa wanaoga, asilimia kubwa wanaofanya hivo ni vijana.

Kuna hatari kubwa unaweza kupata ukifanya mapenzi bafuni ama chooni. Bafu na choo si sehemu pazuri pia si mahala salama, huko kuna viumbe wasionekana kwa macho ya binadamu.

Hivyo ukifanya mapenzi huko kuna uwezekano 100% viumbe hao wakakuingia mwilini na kusabibisha mambo mabaya juu yako, yakiwemo kuingiliwa kimwili ndotoni usiku unapokuwa umelaa.

Kuwa na tamaa ya ngono, kupungua nguvu za kiume, kama u mjamzito mimba kuharibika, ndoa/mahusiano kuvunjika, kutojisikia raha/hamu ya kufanya mapenzi. Hivyo ni hatari kufanya mapenzi bafuni au chooni.

Pamoja na hivo kama unatumia bafu/choo cha ndani na unapenda kusex huko kabla hamjafanya mapenzi fanya hivi; Chukua chumvi mwaga kidogo mlangoni mwa bafu au choo mtakuwa salama.

Mkuu mada yako ina lenga kufundisha watu mambo ya majini au athari za kufanya mapenzi bafuni?
Na je wakati unaandika hii thread yako ulizingatia hadhira yako ina mchanganyiko wa watu gani?
Kwani kwa uelewa wako wa haraka haraka unadhani kila mtu anafuga viumbe kwenye nyumba zao?
Na unafahamu kuwa wapo watu wameokoka ambao hao viumbe unaowataja hawataki kukaa kwenye nyumba zao?
Njoo msalabani upate kufunguliwa mkuu. Pole kwa kufuga viumbe ama kuwa na hofu ya viumbe.

Kauli mbiu:
Sio kila unalolipitia na kuliamini wewe wengine wanaliamini na kulipitia.
 
Kanisa moja hubariki maji yao na chumvi ili yawe maji ya baraka. Nahisi kuna ka ukweli kati ya chumvi na nguvu za giza au pepo wabaya. Hayo mengine ya mapenzi sijui mkuu
 
Kuna wakati niliwahi kuishi maeneo yenye #ushirikina_wa_kiwango_cha_kati , wenyeji wanadai kuwa huwezi kufanya shughuli kama ujenzi ikafanikiwa; hivyo wakapendekeza kabla ya kuanza mradi unyunyize chumvi na kunuia mema kwa unachotaka kufanya.

HAHAHAA. Mkuu Huo USHRIKINA WA KIWANGO CHA KATI NDO UKOJE HUO MKUU
 
Na Je wanaofanya mapenzi kwenye fukwe za baharini (beaches) ambako ndio kunasemekana vibwengo na majini yanaishi baharini...Je una ushauri gani kwao?
 
Haha this is very funny....eeeh tumwage michumvi mlangoni si uganga huo
 
Back
Top Bottom