ha ha ha ha ha ha nimecheka sana lol, kitu ambacho labda tunatakiwa kuamini ni kwamba majini yapo, na uchawi upo na na hata kwenye bible vimetajwa na qur'an imetajwa.
Kinachotakiwa kufanyika ni kwamba hatutakiwa kuamini na kuwapa nguvu kiasi hicho, huyo jini akikukosa chooni hata chumbani kwako anaweza akaingia kwani kuna kizuizi gani au umbali gani kutoka chooni???
kumbuka hata hao majini hutuogopa kama tunasimama katika misingi mizuri ya dini, jini ni kiumbe ameumbwa tu na amehasi usimpe uwezo wa kukutawala na kukupa hofu tofauti alopewa jini anao uwezo wa kuzisoma mpaka nafsi zetu akikuona mtu kama wewe una hofu na yeye ndo anazidi kukutia hofu lakin akikuona huna hata mawazo naye anakupotezea.
Hujiulizi kwanini africa ndo kunaogngoza kwa mapepo n.k. ni kwasabab mnayaendekeza na yameshawasoma nafsi zenu yanawachezea mbona mzungu hapandishi shetani hata siku moja lol.